Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Huyo Chama ameipa Simba mafanikio yapi!?Huyo gagarino unayemsifia aliipa simba mafanikio gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Chama ameipa Simba mafanikio yapi!?Huyo gagarino unayemsifia aliipa simba mafanikio gani?
Aende akapige pesa tu huko, ila swala la mpira taratibu ameanza kuagana nalo.Kwa tetesi za sasa Yanga wanasingiziwa, Chama yupo kwenye rada za Yusuph Bakheresa.
CHAMA ana kiburi cha mafanikio, na ukishakuwa na hicho kiburi kinachofuata ni anguko tu.Simba SC ni Kubwa kuliko Clatous Chama na kama ni Kumvumilia kwa Dharau na Kiburi chake sasa imetosha.
Taarifa za Ndani na za uhakika GENTAMYCINE nilizonazo ni kuwa Mchezaji Clatous Chama ameshaingiziwa Pesa zake zote kulingana na Mkataba katika Akaunti yake ( tena akiwa bado Kwao ) nchini Zambia.
Cha Kusikitisha na Kushangaza Mchezaji Clatous Chama tokea atue nchini badala ya Kuushukuru Uongozi wa Simba SC kwa kumlipa Yeye Fedha zake zote Kimkataba akaanza kuleta Uhuni na Upuuzi wake.
Fujo hizi zote ambazo Mchezaji Clatous Chama anazifanya sasa Kimsingi kumbe wala haziko katika Mkataba wake Yeye na Uongozi wa Simba SC.
Leo hii Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama anawaambia Viongozi wa Simba SC kuwa alizungumza Friendly ( Nje ya Mkataba ) tena na aliyekuwa CEO Barbara Gonzalez kuwa ataongozewa Maslahi yake pale tu akiisaidia Simba SC Kimafanikio.
Baada ya Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama kujua kuwa Ameshalikoroga na Kakosea pakubwa kwani Madai yake ya sasa yako Nje ya Makubaliano yake ya Kimkataba na Simba SC na kwamba Kisheria tayari ameshalipwa Fedha zake zote Akili zake alizoshikiwa na Kiongozi Mmoja wa Yanga SC na Mbunge ( Mtoto wa Kiongozi Mstaafu ambaye ni Rafiki yake mkubwa ) zinaanza Kumrudia.
Taarifa ikufikie kuwa Juzi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama alitaarifiwa kuhusu Safari ya Leo pamoja na Wenzake kwenda nchini Uturuki Kambini Kuungana na Wenzake na alipopigiwa Simu Jana Kukumbushwa tena ajiandae kwa Dharau na Nyodo zake hakupokea Simu.
Hivyo basi kwa Dharau na Nyodo zake hizo hizo Leo hii tokea Alfajiri hadi Asubuhi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama amekuwa busy Kuwapigia Simu Viongozi wa Simba SC ila hakuna aliyempokelea Simu na wala hawana tena Habari nae na sasa wameamua Kumkazia na GENTAMYCINE nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa hili.
Na Sisi Watu wa Mpira ( hasa huu wa Kibongo ) ambao GENTAMYCINE si tu naujua bali naushiriki pia nina Taarifa za uhakika kuwa Klabu ya Yanga SC imemtengea Tsh Milioni 500 na Wao kwa 100% ndiyo wako nyuma ya Kumharibia Chama pasipo kujua kuwa si tu Wanamponza bali Wanamharibja na atakuja Kujuta / Kujutia mbele ya Safari.
Na wala Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama asizunguke sana Ukweli ni kwamba kwa Usajili Kabambe wa sasa Simba SC na Vyuma vilivyotua ( tena vya uhakika hata Kumzidi Yeye ) huku akijua kuwa Mfumo wa Kocha Robertinho wa Kasi, Kukaba na Kushambulia muda Wote Yeye haumfai na hauwezi anachokifanya sasa ni kutaka sababu ili aondoke na aende huko kwa Kocha Muajentina Gamondi ambaye anahisi atakuwa akimdekeza na kumuona ni Mfalme kuliko Wachezaji wote wa Yanga SC.
Na kwa asichokijua Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama ni kwamba aina yake ya Soka hata Mchezaji Saido Ntibanzokinza anaweza Kuicheza tena zaidi yake hivyo asidhanj anavyotujambisha wana Simba SC basi tutajamba kweli na badala yake sasa atajamba Yeye.
Mwambieni Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama kuwa hawa Watu wa Simba SC anaowafanyia huu Ujinga na Upumbavu wake ndiyo hawa hawa alipofiwa na Mkewe ( japo ana Mahawara zake wengi Dar es Salaam na Mmoja ni Muathjrijka aishiye Bahari Beach ) ndiyo Walijichangisha Fedha na Kukodi Mabasi kutoka Dar es Salaam na kuwapitia Wengine Mkoani Morogoro na Mbeya kwenda Kumzika Mkewe nchini Zambia hadi Wazazi wake Wakawashukuru na Kuishukuru mno Klabu ya Simba.
Na GENTAMYCINE namalizia tena nikijiamini kabisa kuwa Simba SC hadi leo haijawahi kuwa na Mchezaji wa Kiungo mwenye Kipaji kikubwa ( na hata huyu Mchezaji Mpuuzi wenu Clatous Chama ) hata tu 50% yake hajamfikia ni Marehemu Hamis Tobius Gaga "Gagarino" ambaye alikuwa akinifanya nipigwe sana Virungu kwa Kuruka Ukuta Uwanja wa Karume Ilala na wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) kwenda Kumtizama akikichafua katikati kwa upande wa Simba SC huku akiwa na Mpinzani wake kutoka Yanga SC Athumani Abdallah China.
Simba SC ni Kubwa kuliko Chama!!!!
Ndivyo ilivyo mchezaji akiwa anakaribia kuzeeka lazima ademand hela,kama Azam wakimpa hela nzuri maana yake anastaff vizuri.Aende akapige pesa tu huko, ila swala la mpira taratibu ameanza kuagana nalo.
Akija kushtuka hakuna team inayomtaka tena Tz na kitakachofata ni kurudi kwenye ligi yao ya Zambia.
Wengine tumemwona, alikuwa ana kipaji sana kwa nyakati zake lakini hakuwa na uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza magoli kama Chama,ingawa naungana naye kuhusu Chama ni mchezaji mpuuzi!Mkuu waliofanikiwa kumuona Gagarino akisakata kabumbu wanasema ni Zidane kabisa... Unaweza kuwa na kipaji kikubwa na timu ikakosa makombe
🤣🤣🤣🤣Tutaelewana tuKuna wale tuliokuwa tunaleta ushabiki kipindi Fei anaisumbua Yanga Basi tuanze kufanya utani huohuo na kwa Chama wamuache akatafute maslahi kwingine(Chama pambania maslahi yako)
Charismatic fella😃😃 game changerMimi ndiyo GENTAMIYCINE The King!!!!
PapapuuuupaaaaaSimba SC ni Kubwa kuliko Clatous Chama na kama ni Kumvumilia kwa Dharau na Kiburi chake sasa imetosha.
Taarifa za Ndani na za uhakika GENTAMYCINE nilizonazo ni kuwa Mchezaji Clatous Chama ameshaingiziwa Pesa zake zote kulingana na Mkataba katika Akaunti yake ( tena akiwa bado Kwao ) nchini Zambia.
Cha Kusikitisha na Kushangaza Mchezaji Clatous Chama tokea atue nchini badala ya Kuushukuru Uongozi wa Simba SC kwa kumlipa Yeye Fedha zake zote Kimkataba akaanza kuleta Uhuni na Upuuzi wake.
Fujo hizi zote ambazo Mchezaji Clatous Chama anazifanya sasa Kimsingi kumbe wala haziko katika Mkataba wake Yeye na Uongozi wa Simba SC.
Leo hii Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama anawaambia Viongozi wa Simba SC kuwa alizungumza Friendly ( Nje ya Mkataba ) tena na aliyekuwa CEO Barbara Gonzalez kuwa ataongozewa Maslahi yake pale tu akiisaidia Simba SC Kimafanikio.
Baada ya Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama kujua kuwa Ameshalikoroga na Kakosea pakubwa kwani Madai yake ya sasa yako Nje ya Makubaliano yake ya Kimkataba na Simba SC na kwamba Kisheria tayari ameshalipwa Fedha zake zote Akili zake alizoshikiwa na Kiongozi Mmoja wa Yanga SC na Mbunge ( Mtoto wa Kiongozi Mstaafu ambaye ni Rafiki yake mkubwa ) zinaanza Kumrudia.
Taarifa ikufikie kuwa Juzi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama alitaarifiwa kuhusu Safari ya Leo pamoja na Wenzake kwenda nchini Uturuki Kambini Kuungana na Wenzake na alipopigiwa Simu Jana Kukumbushwa tena ajiandae kwa Dharau na Nyodo zake hakupokea Simu.
Hivyo basi kwa Dharau na Nyodo zake hizo hizo Leo hii tokea Alfajiri hadi Asubuhi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama amekuwa busy Kuwapigia Simu Viongozi wa Simba SC ila hakuna aliyempokelea Simu na wala hawana tena Habari nae na sasa wameamua Kumkazia na GENTAMYCINE nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa hili.
Na Sisi Watu wa Mpira ( hasa huu wa Kibongo ) ambao GENTAMYCINE si tu naujua bali naushiriki pia nina Taarifa za uhakika kuwa Klabu ya Yanga SC imemtengea Tsh Milioni 500 na Wao kwa 100% ndiyo wako nyuma ya Kumharibia Chama pasipo kujua kuwa si tu Wanamponza bali Wanamharibja na atakuja Kujuta / Kujutia mbele ya Safari.
Na wala Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama asizunguke sana Ukweli ni kwamba kwa Usajili Kabambe wa sasa Simba SC na Vyuma vilivyotua ( tena vya uhakika hata Kumzidi Yeye ) huku akijua kuwa Mfumo wa Kocha Robertinho wa Kasi, Kukaba na Kushambulia muda Wote Yeye haumfai na hauwezi anachokifanya sasa ni kutaka sababu ili aondoke na aende huko kwa Kocha Muajentina Gamondi ambaye anahisi atakuwa akimdekeza na kumuona ni Mfalme kuliko Wachezaji wote wa Yanga SC.
Na kwa asichokijua Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama ni kwamba aina yake ya Soka hata Mchezaji Saido Ntibanzokinza anaweza Kuicheza tena zaidi yake hivyo asidhanj anavyotujambisha wana Simba SC basi tutajamba kweli na badala yake sasa atajamba Yeye.
Mwambieni Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama kuwa hawa Watu wa Simba SC anaowafanyia huu Ujinga na Upumbavu wake ndiyo hawa hawa alipofiwa na Mkewe ( japo ana Mahawara zake wengi Dar es Salaam na Mmoja ni Muathjrijka aishiye Bahari Beach ) ndiyo Walijichangisha Fedha na Kukodi Mabasi kutoka Dar es Salaam na kuwapitia Wengine Mkoani Morogoro na Mbeya kwenda Kumzika Mkewe nchini Zambia hadi Wazazi wake Wakawashukuru na Kuishukuru mno Klabu ya Simba.
Na GENTAMYCINE namalizia tena nikijiamini kabisa kuwa Simba SC hadi leo haijawahi kuwa na Mchezaji wa Kiungo mwenye Kipaji kikubwa ( na hata huyu Mchezaji Mpuuzi wenu Clatous Chama ) hata tu 50% yake hajamfikia ni Marehemu Hamis Tobius Gaga "Gagarino" ambaye alikuwa akinifanya nipigwe sana Virungu kwa Kuruka Ukuta Uwanja wa Karume Ilala na wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) kwenda Kumtizama akikichafua katikati kwa upande wa Simba SC huku akiwa na Mpinzani wake kutoka Yanga SC Athumani Abdallah China.
Simba SC ni Kubwa kuliko Chama!!!!
Mimi ni simba damu but truth be told, I'm no longer interested with triple C after his return from morroco! Ni wa kawaida sana baada ya kutoka huko MoroccoMashabiki wengi wamemgeuka na sasa hawamtaki tena [emoji1787]
Naungana na observation yako. Triple C wa leo siyo yule tuliyekuwa naye kabla hakakwenda Morocco. Chama AMELOWA hata nchini kwake anaitwa tu Timu ya Taifa lakini hayuko kwenye FIRST 11.Mimi ni simba damu but truth be told, I'm no longer interested with triple C after his return from morroco! Ni wa kawaida sana baada ya kutoka huko Morocco
Afu tuwe realistic, kwa Mpira Wa yanga ule Wa kasi na counter attack chama wapi wapi?? Hata Azam kama ndio wanampa kibri watajutia kumchukua, kwa sasa he's not the great as they think! Hata hapo simba akimakiza mkataba wake sizani kama watamuongeza kama vugu vugu la sasa litapita
Kuna kipindi nilikuwa nachambua mpira na mdau wangu Wa simba kuwa why tunaishia robo tu? Akadai uwezo Wa kina chama ndio umeishia pale(ni kweli) na hili tuvuke hatua ile basi tupate top player kama watatu au wanne ambao uwezo wao ni mkubwa kuliko hao kina CCC na hao kina chama wawe bench sio tena tegemezi na hili nakubaliana nalo 100%
Binafsi akiondoka inonga au Mo Hussein nitasikitika ila sio chama kwakweli, kwanza anapooza mpira
Yamekuwa ayo tena, Anadai haki yake mpeni na sio longo longo, Yale ya feisal yamewarudia muacheni akatafute changamoto mpyaChama hawezi kusajiliwa Yanga kwa style hiyo unayotaka kuaminisha watu, team itakayomtaka italazimika kufanya biashara tu hata kama itakuwa ni Yanga.
Lakini hata kama atabaki Simba Sc dawa yake ni kumpiga benchi kwa dharau mpaka pale mkataba wake utakapoisha ili aondoke.
Chama alikuja Simba Sc akiwa ni player wa kawaida kisha akaupatia umaarufu hapo na kinachommaliza ni kufuata praise za mashabiki wajinga kama wewe waliopo ndani na nje ya Simba Sc, nje ya Simba Sc Chama ni kilaza tu, ndiomaana Berkane akishindwa na hata team ya taifa huwa hana lolote la maana.
Dawa yake ni benchi ama wamuuze.
Kabla ajadai haki yake mbona aya madhaifu mlikuwa amjayataja? Leo hii amedai ndio mnatoa ya moyoni yote mnamaliza🤣🤣🤣,,,,uyu si ndio aliwekwa benchi na Robertinho mkataka kumtoa roho baba wa watu??? Leo hii amekuwa mchezaji wa kawaida? Kweli binadamu ni kazi aswaaaMimi ni simba damu but truth be told, I'm no longer interested with triple C after his return from morroco! Ni wa kawaida sana baada ya kutoka huko Morocco
Afu tuwe realistic, kwa Mpira Wa yanga ule Wa kasi na counter attack chama wapi wapi?? Hata Azam kama ndio wanampa kibri watajutia kumchukua, kwa sasa he's not the great as they think! Hata hapo simba akimakiza mkataba wake sizani kama watamuongeza kama vugu vugu la sasa litapita
Kuna kipindi nilikuwa nachambua mpira na mdau wangu Wa simba kuwa why tunaishia robo tu? Akadai uwezo Wa kina chama ndio umeishia pale(ni kweli) na hili tuvuke hatua ile basi tupate top player kama watatu au wanne ambao uwezo wao ni mkubwa kuliko hao kina CCC na hao kina chama wawe bench sio tena tegemezi na hili nakubaliana nalo 100%
Binafsi akiondoka inonga au Mo Hussein nitasikitika ila sio chama kwakweli, kwanza anapooza mpira
Ndiomaana mashabiki wa Simba sc tunataka aachwe kwasababu hana kitu chochote cha kumfanya atukuzwe.Yamekuwa ayo tena, Anadai haki yake mpeni na sio longo longo, Yale ya feisal yamewarudia muacheni akatafute changamoto mpya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba SC ni Kubwa kuliko Clatous Chama na kama ni Kumvumilia kwa Dharau na Kiburi chake sasa imetosha.
Taarifa za Ndani na za uhakika GENTAMYCINE nilizonazo ni kuwa Mchezaji Clatous Chama ameshaingiziwa Pesa zake zote kulingana na Mkataba katika Akaunti yake ( tena akiwa bado Kwao ) nchini Zambia.
Cha Kusikitisha na Kushangaza Mchezaji Clatous Chama tokea atue nchini badala ya Kuushukuru Uongozi wa Simba SC kwa kumlipa Yeye Fedha zake zote Kimkataba akaanza kuleta Uhuni na Upuuzi wake.
Fujo hizi zote ambazo Mchezaji Clatous Chama anazifanya sasa Kimsingi kumbe wala haziko katika Mkataba wake Yeye na Uongozi wa Simba SC.
Leo hii Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama anawaambia Viongozi wa Simba SC kuwa alizungumza Friendly ( Nje ya Mkataba ) tena na aliyekuwa CEO Barbara Gonzalez kuwa ataongozewa Maslahi yake pale tu akiisaidia Simba SC Kimafanikio.
Baada ya Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama kujua kuwa Ameshalikoroga na Kakosea pakubwa kwani Madai yake ya sasa yako Nje ya Makubaliano yake ya Kimkataba na Simba SC na kwamba Kisheria tayari ameshalipwa Fedha zake zote Akili zake alizoshikiwa na Kiongozi Mmoja wa Yanga SC na Mbunge ( Mtoto wa Kiongozi Mstaafu ambaye ni Rafiki yake mkubwa ) zinaanza Kumrudia.
Taarifa ikufikie kuwa Juzi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama alitaarifiwa kuhusu Safari ya Leo pamoja na Wenzake kwenda nchini Uturuki Kambini Kuungana na Wenzake na alipopigiwa Simu Jana Kukumbushwa tena ajiandae kwa Dharau na Nyodo zake hakupokea Simu.
Hivyo basi kwa Dharau na Nyodo zake hizo hizo Leo hii tokea Alfajiri hadi Asubuhi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama amekuwa busy Kuwapigia Simu Viongozi wa Simba SC ila hakuna aliyempokelea Simu na wala hawana tena Habari nae na sasa wameamua Kumkazia na GENTAMYCINE nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa hili.
Na Sisi Watu wa Mpira ( hasa huu wa Kibongo ) ambao GENTAMYCINE si tu naujua bali naushiriki pia nina Taarifa za uhakika kuwa Klabu ya Yanga SC imemtengea Tsh Milioni 500 na Wao kwa 100% ndiyo wako nyuma ya Kumharibia Chama pasipo kujua kuwa si tu Wanamponza bali Wanamharibja na atakuja Kujuta / Kujutia mbele ya Safari.
Na wala Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama asizunguke sana Ukweli ni kwamba kwa Usajili Kabambe wa sasa Simba SC na Vyuma vilivyotua ( tena vya uhakika hata Kumzidi Yeye ) huku akijua kuwa Mfumo wa Kocha Robertinho wa Kasi, Kukaba na Kushambulia muda Wote Yeye haumfai na hauwezi anachokifanya sasa ni kutaka sababu ili aondoke na aende huko kwa Kocha Muajentina Gamondi ambaye anahisi atakuwa akimdekeza na kumuona ni Mfalme kuliko Wachezaji wote wa Yanga SC.
Na kwa asichokijua Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama ni kwamba aina yake ya Soka hata Mchezaji Saido Ntibanzokinza anaweza Kuicheza tena zaidi yake hivyo asidhanj anavyotujambisha wana Simba SC basi tutajamba kweli na badala yake sasa atajamba Yeye.
Mwambieni Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama kuwa hawa Watu wa Simba SC anaowafanyia huu Ujinga na Upumbavu wake ndiyo hawa hawa alipofiwa na Mkewe ( japo ana Mahawara zake wengi Dar es Salaam na Mmoja ni Muathjrijka aishiye Bahari Beach ) ndiyo Walijichangisha Fedha na Kukodi Mabasi kutoka Dar es Salaam na kuwapitia Wengine Mkoani Morogoro na Mbeya kwenda Kumzika Mkewe nchini Zambia hadi Wazazi wake Wakawashukuru na Kuishukuru mno Klabu ya Simba.
Na GENTAMYCINE namalizia tena nikijiamini kabisa kuwa Simba SC hadi leo haijawahi kuwa na Mchezaji wa Kiungo mwenye Kipaji kikubwa ( na hata huyu Mchezaji Mpuuzi wenu Clatous Chama ) hata tu 50% yake hajamfikia ni Marehemu Hamis Tobius Gaga "Gagarino" ambaye alikuwa akinifanya nipigwe sana Virungu kwa Kuruka Ukuta Uwanja wa Karume Ilala na wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) kwenda Kumtizama akikichafua katikati kwa upande wa Simba SC huku akiwa na Mpinzani wake kutoka Yanga SC Athumani Abdallah China.
Simba SC ni Kubwa kuliko Chama!!!!
💯🤝Simba SC ni Kubwa kuliko Chama!!!!