Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

Kwa tetesi za sasa Yanga wanasingiziwa, Chama yupo kwenye rada za Yusuph Bakheresa.
Aende akapige pesa tu huko, ila swala la mpira taratibu ameanza kuagana nalo.

Akija kushtuka hakuna team inayomtaka tena Tz na kitakachofata ni kurudi kwenye ligi yao ya Zambia.
 
Binafsi sijawahi kumkubali Chama huyu aliyerudi kutoka Uarabuni. Amekuwa mzito zaidi na anapoza mashambulizi mno. Akwende na kama haendi mwenyewe basi wamuuze tu.
 
CHAMA ana kiburi cha mafanikio, na ukishakuwa na hicho kiburi kinachofuata ni anguko tu.
 
Aende akapige pesa tu huko, ila swala la mpira taratibu ameanza kuagana nalo.

Akija kushtuka hakuna team inayomtaka tena Tz na kitakachofata ni kurudi kwenye ligi yao ya Zambia.
Ndivyo ilivyo mchezaji akiwa anakaribia kuzeeka lazima ademand hela,kama Azam wakimpa hela nzuri maana yake anastaff vizuri.
 
Mkuu waliofanikiwa kumuona Gagarino akisakata kabumbu wanasema ni Zidane kabisa... Unaweza kuwa na kipaji kikubwa na timu ikakosa makombe
Wengine tumemwona, alikuwa ana kipaji sana kwa nyakati zake lakini hakuwa na uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza magoli kama Chama,ingawa naungana naye kuhusu Chama ni mchezaji mpuuzi!
 
Sioni umuhimu Kwa Chama kusema asante baada ya kulipwa pesa zake halikuwa ombi ,ni Sheria

Muhimu
Alitakiwa atimize majukumu yake
 
Kuna wale tuliokuwa tunaleta ushabiki kipindi Fei anaisumbua Yanga Basi tuanze kufanya utani huohuo na kwa Chama wamuache akatafute maslahi kwingine(Chama pambania maslahi yako)
🤣🤣🤣🤣Tutaelewana tu
 
Mashabiki wengi wa Mpira ni wapuuzi wa kupuuzwa!
 
Papapuuuupaaaaa
 
Mashabiki wengi wamemgeuka na sasa hawamtaki tena [emoji1787]
Mimi ni simba damu but truth be told, I'm no longer interested with triple C after his return from morroco! Ni wa kawaida sana baada ya kutoka huko Morocco

Afu tuwe realistic, kwa Mpira Wa yanga ule Wa kasi na counter attack chama wapi wapi?? Hata Azam kama ndio wanampa kibri watajutia kumchukua, kwa sasa he's not the great as they think! Hata hapo simba akimakiza mkataba wake sizani kama watamuongeza kama vugu vugu la sasa litapita

Kuna kipindi nilikuwa nachambua mpira na mdau wangu Wa simba kuwa why tunaishia robo tu? Akadai uwezo Wa kina chama ndio umeishia pale(ni kweli) na hili tuvuke hatua ile basi tupate top player kama watatu au wanne ambao uwezo wao ni mkubwa kuliko hao kina CCC na hao kina chama wawe bench sio tena tegemezi na hili nakubaliana nalo 100%

Binafsi akiondoka inonga au Mo Hussein nitasikitika ila sio chama kwakweli, kwanza anapooza mpira
 
Naungana na observation yako. Triple C wa leo siyo yule tuliyekuwa naye kabla hakakwenda Morocco. Chama AMELOWA hata nchini kwake anaitwa tu Timu ya Taifa lakini hayuko kwenye FIRST 11.

Akibahatika kwenye Chpolopolo anaingia fakika ya 86 kutokea bench.
 
Yamekuwa ayo tena, Anadai haki yake mpeni na sio longo longo, Yale ya feisal yamewarudia muacheni akatafute changamoto mpya
 
Kabla ajadai haki yake mbona aya madhaifu mlikuwa amjayataja? Leo hii amedai ndio mnatoa ya moyoni yote mnamaliza🤣🤣🤣,,,,uyu si ndio aliwekwa benchi na Robertinho mkataka kumtoa roho baba wa watu??? Leo hii amekuwa mchezaji wa kawaida? Kweli binadamu ni kazi aswaaa
 
Yamekuwa ayo tena, Anadai haki yake mpeni na sio longo longo, Yale ya feisal yamewarudia muacheni akatafute changamoto mpya
Ndiomaana mashabiki wa Simba sc tunataka aachwe kwasababu hana kitu chochote cha kumfanya atukuzwe.

Aendelee kutumikia mkataba au aende sehemu nyingine, maana sio mara ya kwanza kuondoka..!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

CCC leo kawa mpuuzi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…