Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

Aende akapige pesa tu huko, ila swala la mpira taratibu ameanza kuagana nalo.

Akija kushtuka hakuna team inayomtaka tena Tz na kitakachofata ni kurudi kwenye ligi yao ya Zambia.
Atakuwa kama morison maproo wajifunze kupitia huyu toto tundu
 
Haki gani unaweza kutuorodheshea hayo madai yake?
 
Sasa hayo mambo ya hawara muathirika tena.....duh kwahiyo chama afya yake nayo mashakani au ndio hasira ?

Enewei ww hauna hawara muathirika?
 
Hana mkataba kwa mujibu wa taarifa zipi? Kama hauna chanzo cha kuaminika cha taarifa hizo, basi utueleze kama wewe ni hawara yake kiasi kwamba unaweza kuwa na taarifa ambazo wengi hawazijui.
Umeumia eehhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajifariji tu, eti Simba haimuhutaji Chama, tangu lini? Alafu ukaendelea kujifariji kwamba eti soka la Yanga ni la kasi na counter attack Chama hawezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro unaiongelea Yanga ipi wewe? Hivi kuna timu imemzidi Yanga kwa soka safi la pasi nyingi misimu hii miwili? Acha kujifariji, accept the truth then move on.
 
Azam FC wapo nyuma ya hili wasipo dhibitiwa wataleta kilio kwenye football ya bongo kila timu itakinywea kikombe cha mateso
 
Upo sahih braza popoma
 
β€œHata tu 50% yake hajamfikia ni Marehemu Hamis Tobius Gaga "Gagarino" ambaye alikuwa akinifanya nipigwe sana Virungu kwa Kuruka Ukuta Uwanja wa Karume Ilala na wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) kwenda Kumtizama akikichafua katikati kwa upande wa Simba SC huku akiwa na Mpinzani wake kutoka Yanga SC Athumani Abdallah China”

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kweli aache kutuvuruga...kwa sasa ni kama hatumuoni vile maana Simba imekamilika...
Asituletee weusi wake...
 
Azam FC wapo nyuma ya hili wasipo dhibitiwa wataleta kilio kwenye football ya bongo kila timu itakinywea kikombe cha mateso
Chama yupo sana Simba, wameshamalizana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…