Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

Emanuel Okwi na Chama, yupi kamzidi mwenzake usumbufu dhidi ya Simba?
 
Mkuu pamoja na maelezo yako yaliyo shiba, lakini para ya mwisho ya hoja yako umetu kumbusha mbali sana na kutupa raha na faraja ulipo tukumbusha juu ya mchezaji ambaye kweli alikuwa na kipaji hasa cha kuzaliwa nacho cha mpira wa miguu; Marehemu "Gagarino". huyu nadhani alituteka wengi kwa uchezaji wake hapa Simba kama vile Gaucho wa Baca, R.I.P Hamis Gaga.
 
Mlisimama na FEI kwa mambo kama haya yalipokuwa yanawatokea YANGA. Sasa zamu yenu, acheni kulialia..!!

Yaani Mwamba wa Lusaka kutopokea simu, umeona ni nyodo na dharau, LAKINI VIONGOZI WA SIMBA KUTOPOKEA SIMU YA CHAMA UNAWASIFIA..!! Kweli akili hupimwa kwa matendo na maneno ya mtu
 
Mkuu huo ndio ukweli kwa wakati huo.
 
Hatimaye yametimia
 
GENTAMYCINE kaongea kwa uchungu sana. Poleni wana makolo wote, lakini siamini kama kuna kiongozi wa Yanga atakuwa mpuuzi kumsajili Chama. Ila nakubaliana na wewe Gagarino na China ni katika viungo bora kabisa kuwahi kucheza mpira hapa East Africa.
"Siamini kama kuna kiongozi wa yanga atakuwa mpuuzi kumsajili chama"
 
Popoma alikuwa sahihi 100%. Mnamdharau lakini muda mwingine anatoa taarifa za kweli.
 
Mwisho wa siku mmemsajili konokono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…