mchimbamateKweli kabisa classma
mchimbamateKweli kabisa classma
Lisu alitaja mashahidi wake hata kabla mahakama haijasema kuwa anayo kesi ya kujibu.Hivi niulize wakati mahakama inasema TAL ana kesi ya kujibu je walijua au hawakujua kuwa mshtakiwa ataleta mashahidi gani wakati wa kujitetea kwake? je hao mashahidi ni siri ya mshitakiwa na anatawataja tu pale ikibainika ana kesi ya kujibu? wasiwasi wangu huko tunakoenda ''zimwi litafunguliwa kwenye chupa'' na likifunguliwa kulirudisha tena kwenye chupa inakuwa sawa na kukimbiza upepo.
Karibu lunguya mkuuIlogi mkuu
Haiwezekani, itakua ni Lunguya...😜Ilogi mkuu
Tena na mtu Hana cheo chochote 🤣 🤣 🤣 tuna wakuu wa vyombo vichekeshoAu wamekatazwa?