Nawasalimu baaada ya kimya cha miaka kadhaa. Nnimerudi wakuu

Nawasalimu baaada ya kimya cha miaka kadhaa. Nnimerudi wakuu

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Baaada ya kimya cha miaka kadhaa .
nimerudi wakuu. JF ni nyumbani, ingawa sikushiriki mijadala lakini nimekuwa mfuatiliaji wa hapa na pale kipindi chote hicho.

Nawakumbuka hawa ndugu zangu .Mkuu Aspirin, Mkuu Nyani Ngabu , Mkuu Teamo, Mkuu Kaizer, Mkuu Husninyo, Mkuu LD na bila kumsahau Mkulu ole Invincible.

Mwenyezi Mungu awape maisha marefu ikiwa bado mpo Duniani.
 
karibu sana kwa maranyingine tena kipindi hiki cha tozo.
 
Back
Top Bottom