Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Gerson Msigwa

Public Figure
Joined
Jul 19, 2024
Posts
2
Reaction score
49
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.

Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.

Assalam Waleikhum
 
Mkuu wewe upo karibu na watawala, tafadhari wasihi basi waajiri waalimu katika ngazi mbalimbali.

Serikali imekuwa ikijenga shule na kututangazia kua imefanikiwa kujenga shule nyingi,lakini hatuoni waalimu tukiajiriwa,huoni shida mkuu?

Kikawaida, mwalimu mmoja anatakiwa kufundisha wanafunzi 45, lakini sasa hali haiko hivyo,hata kama haiko hivyo, shauri serikali iajiri tafadhari, walau teaching loads kwa waalimu ipungue.
 
Mkuu wewe upo karibu na watawala,tafadhari wasihi basi waajiri waalimu katika ngazi mbalimbali.

Serikali imekua ikijenga shule na kututangazia kua imefanikiwa kujenga shule nyingi,lakini hatuoni waalimu tukiajiriwa,huoni shida mkuu?

Kikawaida,mwalimu mmoja anatakiwa kufundisha wanafunzi 45,lakini sasa hali haiko hivyo,hata kama haiko hivyo,shauri serikali iajiri tafadhari,walau teaching loads kwa waalimu ipungue.
Mwalimu mmoja watoto mia saba, hadi raha....
 
Back
Top Bottom