Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashauri wapigwe ban na nyuzi zao za kinaa zifutwe, ili kulinda heshima ya jf.Unakaribishwa Karibu Sana kwenye jukwaa hili.
Lakini kutokana na uzoefu wangu binafsi nilionao, naamini ya kwamba utakuwa Mjumbe wa kusoma Maoni ya wachangiaji wengine tu wa jukwaa hili kama ilivyo kwa Watu wengine wenye kaliba kama yako ambao nao wapo humu kwenye Jukwaa hili bila ya Wewe mwenyewe kutoa Maoni yako binafsi.
Ni Waziri Dkt. Dorothy Gwajima peke yake ndiye mwenye uthubutu wa kutoa Maoni yake pamoja na kutoa ufafanuzi wa Hoja mbalimbali ambazo zimekuwa zikijadiliwa kwenye Jukwaa hili la JF sambamba na kuchukua na kuzifanyia kazi baadhi ya Constructive Comments zinazotolewa na Wachangiaji wa Jukwaa hili. Wengine wote wamekuwa wakijisajili kwenye Mtandao huu na kisha wanakimbia au wanakaa kimya kabisa bila kuchangia kitu chochote kile.
Watatoka wote tu kama nyoka na hatuchagui CCM this timeJoto la uchaguzi linawatoa shimoni Moja moja
Nape Mosses Nauye typing...Watatoka wote tu kama nyoka na hatuchagui CCM this time
Namtupia lawama Ephen kwa kutomwambia jamaa yake awe ana-summarize.Hizi nyuzi lucas angekua anatuma voice note hadi angekua anapaliwa na mate....make kazi aliyonayo 🙌🙌
ephen_
Pale kwa mkapa kwa macho ya nyama tu kama nimuendaji wa uwanjani huhitaji maelezo mengi ile budget walisema watakarabati pitch, miundombinu, na viti pia lakini niaibu kwa kweli pitch some how now mvua ikinyesha maji hayatuami tena nankingine kilichoongezeka ni zile LED screen zamatangazo ila hata screen ya ku display matokeao ilishindikana labda kama wamefanya baada ya ligi lakini kimsingi CAG anahusika pale kwa special AuditNikukaribishe na swali!
Kuna taarifa kuhusu uwanja wa mpira wa Benjamin Mkapa kukarabatiwa kwa pesa nyingi zaidi ya zikizotumika kukarabati uwanja ule wa Zanzibar ila Uwanja wa Zanzibar umekarabatiwa kwa viwango zaidi ya huu wa kwetu!
Je kuna ukweli wowote?
Mnapaswa kuandaa vijana na kuwa na academy nyingi,nyie mnashabikia masimba na mayanga,hayatusaidii timu ya taifaNawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum
Clock is ticking to 2025Kipindi hiki JF tunapata ugeni mzito mzito tu.....
Karibu supu
Big up mkuuKaribu sana hapa jukwaani mkuu.
Mimi nachoomba upitie maandiko yangu:
1. Kuongeza Ufanisi na Kukuza Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania: Mapendekezo ya Kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi
2. Kwanini hatuna Wizara ya mafuta na gesi kama mataifa mengine yenye gesi na mafuta
3. Tuunganishe nguvu tuwavutie wawekezaji kwenye haya maeneo ya mafuta na gesi tusiichie serikali pekee inatingwa
4. Vituo vya kujaza CNG kwenye magari vinavyotembea vitasaidia kujaza CNG kwenye magari kwenye mikoa mbalimbali
5. Kukabiliana na Changamoto za Upungufu wa Dola na Kuongezeka kwa Bei za Mafuta serikali ifanye mambo yafuatayo
6. Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini
7. Ni hatari sana bei ya mafuta ya taa ikiwa chini sana kuliko bei ya petroli na dizeli
8. Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati.
9. Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli
10. Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati.
11. Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG
12. Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania
13. Maeneo muhimu ambayo wataalamu wa Serikali wanapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo zidi makampuni ya mafuta na gesi
14. Maeneo muhimu ambayo serikali zetu zinapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo yao na makampuni ya mafuta ya mafuta na gesi
15. Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni
16. Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) Ndiyo Mwarobaini wa Bei ya Mafuta Tanzania
17. Kukokotoa punguzo la bei ya mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi wa sita 2022 baada ya kuongezewa ruzuku ya billioni 100 (100B)
18. Mchanganuo wa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa Mei 2022
19. Kama ulikuwa hujui hii ndio mikataba ya Utafutaji wa mafuta na gesi na ugawanaji mapato
20. An Open Letter to Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania
21. An Open Letter to President Dr. Samia Suluhu: Proposal for the Establishment of a High Education Graduates Bank (HEGB)
22. Barua ya wazi kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
23. Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Dotto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi
24. SoC03 - Mwarobaini wa Tatizo la Upungufu wa Maji Jijini Dar es Salaam ni Serikali yenyewe: Jukumu la Serikali na Maazimio ya Kutatua Tatizo hilo
25. SoC03 - Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili
26. SoC03 - Ni jinsi gani Viongozi wa sasa wanaweza kurejesha Tanzania ya Viwanda ya Mwalimu Nyerere?
27. SoC03 - Je, Serikali inawezaje Kuweka Msingi Bora kwa Vijana ili Kutengeneza Timu Bora ya Taifa itakayoweza kushiriki na kushinda michuano ya kimataifa?
28. Uhusiano wa Katiba Bora, ukuaji wa uchumi na hali ya maisha ya raia wa Tanzania
29. SoC03 - Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania
30. Tufanye yafuatayo ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika bandari yetu ya Dar es Salaam (TPA)
31. SoC03 - Faida za Kubinafsisha Bandari ya Dar es Salaam ni Nyingi. Lakini Changamoto Tatu (3) Zinapaswa Kudhibitiwa Ili Tuweze Nufaika Zaidi
32. Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu
33.
Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu
Ni ukweli usiopingika kwamba sekta ya mafuta na gesi imefungua fursa kwa wawekezaji wakubwa na wadogo katika taifa letu, na kutoa mwanya kwa wale wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta hii. Sekta hii imendelea kutengeneza utajiri kwa wawekezaji mbalimbali waliojizatiti kuwekeza hasa...www.jamiiforums.com
34. Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli
35. Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu
36. Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
37. Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)
38. Tukiibadilisha Gesi Asilia (CH4) iliyopatikana Tanzania kuwa Mbolea za kilimo tutainua uchumi wa nchi
39. Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako na jinsi utakavyo okoa fedha nyingi
40. Kwako Mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART): Katatue changamoto zifuatazo…
Gerson, huo utangulizi wa Salam yako unatukwaza wengine..kwa jina la jamhuri ya muungano ndio nini?? Wewe ni mkristo kweli..huwezi kubadilisha Salam ya kiimani ukaipeleka hivyo..hivi, nikisema nakusalimu kwa jina la gerson msigwa kwako unaona imekaa sawa? Usije sema hukujua..nimekukumbusha! aliyeianzisha anaweza kuwa hajui alichokuwa anatamka!Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum