Hiyo salamu ninaipinga kwa Jina la Yesu.Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum