DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
🤣🤣🤣Karibu MMU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Karibu MMU
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum
Karibu sana bwana Msigwa.Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum
WalekumsalamuAssalam Waleikhum
Nchi imejaa machawa na kunguni, kujikomba komba tu inashangaza sanaWatanzania sijui nani katuroga hawa viongozi wakija humu ndio pakutemea shida zetu ambazo zilikua ngumu kufika kwao lakini leo hii akitokea kiongozi humu wale wale waliokua wanatokwa mapovu na mishipa ya shingo kusimama kama punda vihongwe ndio wanaanza ,
Za siku mjuu mimi John tulisoma wote igunda so what? Mara huyu nakukubali sana kiongozi, mara yule hakuna kama wewe gombea uraisi mkuu watu wanakupenda sanaa🤣🤣🤣
Mwingine utasikia mkuu ulivaa suti juzi ulitoka kali saaanaaa (rejea uzi wa waziri Gwajima)
Mwenzenu nilishawahi toa la moyoni hapa kesho yake tu nikaona mshike mshike kwenye ile ofisi nyie sifieni sifieniii tuuu au mmesomewa Kurjuaaaan eeenh
Ila walimu banaMkuu wewe upo karibu na watawala, tafadhari wasihi basi waajiri waalimu katika ngazi mbalimbali.
Serikali imekuwa ikijenga shule na kututangazia kua imefanikiwa kujenga shule nyingi,lakini hatuoni waalimu tukiajiriwa,huoni shida mkuu?
Kikawaida, mwalimu mmoja anatakiwa kufundisha wanafunzi 45, lakini sasa hali haiko hivyo,hata kama haiko hivyo, shauri serikali iajiri tafadhari, walau teaching loads kwa waalimu ipungue.
Dada Yangu Doriss amewashtua nini kuwa huku ndio habari ya mjini!Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum
Umesema vyema. Wape madini waondoe ujingaMkuu tatizo huwa hampendi kuwasikiliza watu wenye akili na UJINGA umekuwa ni sehemu ya maisha yetu, kitu ambacho hata Mwl J.K Nyerere alikibainisha kama ni adui wa maendeleo...
Tatizo namba moja linalosumbua Afrika, Tanzania ikiwemo ni UJINGA (ukosefu wa maarifa)...
Taifa lenye watu wajinga, lenye kukumbatia ujinga ni hakika litaangamia...
Biblia imeandika, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, kwa kuwa pasipo maarifa hakuna hatua...
Hivyo basi, badala ya viongozi kusubiri waelezwe shida za wananchi, wanapaswa watafute namna ya kuondoa UJINGA...
Nitakupa mfano mmoja, mtaa ninaoishi una barabara nzuri kabisa imejengwa kwa kiwango cha zege, lakini hii barabara haipitiki nyakati za jioni kwa sababu nusu ya barabara inageuka kuwa parking ya bajaj, bodaboda na watu binafsi...
Mfano mwingine ni maeneo kama Mbezi Mwisho ambapo kuna barabara nzuri kabisa zilizojengwa kuondoa kero ya msongamano wa magari, lakini kwa sasa barabara zile zimemegwa nusu na wachuuzi kiasi kwamba ni sawa na kutokuwa na barabara...
Kuna mengi ya kueleza lakini itakuwa ni kazi bure kama hatutakubali kuachana na UJINGA...
Amesema vema maana kitendo ya yule kwenda sisiemu. Ni upuuziUmesema vyema. Wape madini waondoe ujinga
Naaam aseme aseme Gerson, yuko wapi......😹Nilijua utamuuliza uko wap😁😁