Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Mgeni kaja kwako hata hajapumzika tayari umesha anza kumwambia shida zako.. Wabongo bhanaMkuu wewe upo karibu na watawala, tafadhari wasihi basi waajiri waalimu katika ngazi mbalimbali.
Serikali imekuwa ikijenga shule na kututangazia kua imefanikiwa kujenga shule nyingi,lakini hatuoni waalimu tukiajiriwa,huoni shida mkuu?
Kikawaida, mwalimu mmoja anatakiwa kufundisha wanafunzi 45, lakini sasa hali haiko hivyo,hata kama haiko hivyo, shauri serikali iajiri tafadhari, walau teaching loads kwa waalimu ipungue.