Gerson Msigwa
Public Figure
- Jul 19, 2024
- 2
- 49
Usije ukaomba vocha kwa tajiriiiMsigwa, wakunyumba wewe
kamwene
Mwalimu mmoja watoto mia saba, hadi raha....Mkuu wewe upo karibu na watawala,tafadhari wasihi basi waajiri waalimu katika ngazi mbalimbali.
Serikali imekua ikijenga shule na kututangazia kua imefanikiwa kujenga shule nyingi,lakini hatuoni waalimu tukiajiriwa,huoni shida mkuu?
Kikawaida,mwalimu mmoja anatakiwa kufundisha wanafunzi 45,lakini sasa hali haiko hivyo,hata kama haiko hivyo,shauri serikali iajiri tafadhari,walau teaching loads kwa waalimu ipungue.
Hapo kunakua hakuna uelewano mzuri, kati ya mwalimu na wanafunzi wake,hivyo kupelekea mwalimu kutofikia malengo aliyokusudia kwa wanafunzi husika.Mwalimu mmoja watoto mia saba, hadi raha....
Karibu sanaNawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum