Nawashaangaa sana wanao piga kampeni za kataa Ndoa

ninjajr

Senior Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
170
Reaction score
173
Asilimia kubwa ya wanachama wa hii kampeni ni jinsia ya Me, na nimefatilia sababu kubwa hasa ya hii kampeni ni kupigwa jeki kwenye tendo la ndoa Kwa hao wapenzi wao.

Hii jinsia Ke imeingia kwenye mtego wa kulaumiwa kuwa ndio chanzo hasa cha kuchepuka na kuleta mgogoro na mtikisiko Kwa mume wake mpk kufikia hatua ya kuichukia ndoa yenyewe

But la hasha Kwa mtazamo wangu hii kampeni ilibidi ianzishwe na jinsia Ke,kwasababu hawa ndio victim namba 1 ambapo moja ya sababu kubwa mm kusema hao ni victim ni juu ya wao kuingizwa kweye vita ya jinsia Me wakioneshan ubabe ,Nani atakula pisi nyingi, Nani anakula pisi kali, Nan anaweza kula pisi ya boss, Nani anaweza kula mke wa mtu etc.... Na hapo ndipo mkeo/mpenzi wako anaingia na jinsia Me inachukua ushindi dhidi ya Me mwenzake

Natural As a man to feel that he won the battle agaists his fellow man it all depend on ur woman inner resistance but the less the resistance the less points for man,and you can imagine.In reality its Men vs Men.
 
Men vs men ....ndo ajenda ya kataa ndoa ......dah tutafika tu
 
Wewe waza uwazavyo ila bado sisi tuta KATAA NDOA tu. Hivi wakuu ni kwanini mnateseka sana sisi wengine tusipooa?
 
You are totaly wrong, marriage cost more to men than women

Marriage is more of an achievement to a woman than a man.

The responsibility of marriage weighs more in a man than the woman.

Men suffer to make marriage beautiful than women.

Trust me in years to come marriage will be outdated to men and many women will suffer for it.

As a man, the burden and cist for running the marriage it will make you squeeze your face and have no reason to laugh.

KATAA NDOA otherwise hell awaits you.
 
maandiko yalishatabiri 🔥
 
Back
Top Bottom