ninjajr
Senior Member
- Sep 16, 2023
- 170
- 173
Asilimia kubwa ya wanachama wa hii kampeni ni jinsia ya Me, na nimefatilia sababu kubwa hasa ya hii kampeni ni kupigwa jeki kwenye tendo la ndoa Kwa hao wapenzi wao.
Hii jinsia Ke imeingia kwenye mtego wa kulaumiwa kuwa ndio chanzo hasa cha kuchepuka na kuleta mgogoro na mtikisiko Kwa mume wake mpk kufikia hatua ya kuichukia ndoa yenyewe
But la hasha Kwa mtazamo wangu hii kampeni ilibidi ianzishwe na jinsia Ke,kwasababu hawa ndio victim namba 1 ambapo moja ya sababu kubwa mm kusema hao ni victim ni juu ya wao kuingizwa kweye vita ya jinsia Me wakioneshan ubabe ,Nani atakula pisi nyingi, Nani anakula pisi kali, Nan anaweza kula pisi ya boss, Nani anaweza kula mke wa mtu etc.... Na hapo ndipo mkeo/mpenzi wako anaingia na jinsia Me inachukua ushindi dhidi ya Me mwenzake
Natural As a man to feel that he won the battle agaists his fellow man it all depend on ur woman inner resistance but the less the resistance the less points for man,and you can imagine.In reality its Men vs Men.