PostGE2025 Nawashangaa baadhi ya viongozi na machawa wanaokejeli GEN Z kwa kutoandamana leo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Hii siku ni ndefu

Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi?

Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi

Hata sijui hii serikali wanataka nini? Maridhiano au mauaji.
Hali ya utulivu ikirejea mnaanza tambo na kutonesha waathirika?

Kwamba wauaji wanatambia ndugu, wazazi, wake na yatima wa Watanganyika waliokufa, kuwa Kiko wapi tuliwaua na Sasa hata Kuandamana tumewadhibiti

Hizi tambo sio za kuishabikia wala hamna mshindi hapa, wala sio mashindano kuwa polisi au serikali wanashindana na vijana wenye hoja za msingi kama Katiba mpya, kupinga ufisadi na Rushwa.
Kupinga utekaji na mauaji
Kupinga ulaghai kwenye chaguzi

Chungeni kauli zenu
Hii siku ni ndefu mno
Hakuna haja ya kutambia Watanganyika waliopata na madhira

Acha kabisa kutamba
Period
 
Acha kabisa kutambua
Period
Gen Z wenye guts walikufa tarehe 29 na 30.
 
Msitupigie kelelle.
Kama mnaandamana barabara ipo wazi. Ingieni

Kama mmeufyata kaeni kmya mbuzi nyie.

Jana kila mtza ananunua mahitaji ili tu asitoke.

Napenda maandamano ila sio ya kuvuruga na kuvunja mali za watu
😂😂😂😂😂
 
Hii siku ni ndefu

Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi?

Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi

Hata sijui hii serikali wanataka nini? Maridhiano au mauaji.
Hali ya utulivu ikirejea mnaanza tambo na kutonesha waathirika?

Kwamba wauaji wanatambia ndugu, wazazi, wake na yatima wa Watanganyika waliokufa, kuwa Kiko wapi tuliwaua na Sasa hata Kuandamana tumewadhibiti

Hizi tambo sio za kuishabikia wala hamna mshindi hapa, wala sio mashindano kuwa polisi au serikali wanashindana na vijana wenye hoja za msingi kama Katiba mpya, kupinga ufisadi na Rushwa.
Kupinga utekaji na mauaji
Kupinga ulaghai kwenye chaguzi

Chungeni kauli zenu
Hii siku ni ndefu mno
Hakuna haja ya kutambia Watanganyika waliopata na madhira

Acha kabisa kutambua
Period
Nakazia hamna mshindi hapa na zaidi pazia limefunguliwa rasmi ngoja tuone!
 
Wee nae umebaki kubwata mtandaoni, si utoke road ukapambane na wenye nchi yao.
Una kazi ya kuwasakizia GEN Z, kwani wao hawaogopi? Hawataki kuishiii?
Lol.
We shoga mbona unanifata fata
Nishakwambia me siwezi kuchimba mbolea yako
Tulia basi nijadili na wanaume marijali sio nyie wenye laana
 
Back
Top Bottom