Gen Z wenye guts walikufa tarehe 29 na 30.Hii siku ni ndefu
Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi?
Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi
Hata sijui hii serikali wanataka nini? Maridhiano au mauaji.
Hali ya utulivu ikirejea mnaanza tambo na kutonesha waathirika?
Kwamba wauaji wanatambia ndugu, wazazi, wake na yatima wa Watanganyika waliokufa, kuwa Kiko wapi tuliwaua na Sasa hata Kuandamana tumewadhibiti
Hizi tambo sio za kuishabikia wala hamna mshindi hapa, wala sio mashindano kuwa polisi au serikali wanashindana na vijana wenye hoja za msingi kama Katiba mpya, kupinga ufisadi na Rushwa.
Kupinga utekaji na mauaji
Kupinga ulaghai kwenye chaguzi
Chungeni kauli zenu
Hii siku ni ndefu mno
Hakuna haja ya kutambia Watanganyika waliopata na madhira
Acha kabisa kutambua
Period
UONGO. Waandamanaji kibao wa Oktoba 29 wako hai, na wasiohusika kibao waliuawa kikatili.Gen Z wenye guts walikufa tarehe 29 na 30.
Siyo kweli, wengi waliyo uawa hawakuandamana.Gen Z wenye guts walikufa tarehe 29 na 30.
Wengi waliokufa walikuwa barabarani pia ,ingawa hata ambao hawakuandamana pia walikufa.Siyo kweli, wengi waliyo uawa hawakuandamana.
Na shehe sharifu majini alikuwa Gen Z na mwandamanaji?Gen Z wenye guts walikufa tarehe 29 na 30.
πππππMsitupigie kelelle.
Kama mnaandamana barabara ipo wazi. Ingieni
Kama mmeufyata kaeni kmya mbuzi nyie.
Jana kila mtza ananunua mahitaji ili tu asitoke.
Napenda maandamano ila sio ya kuvuruga na kuvunja mali za watu
Nakazia hamna mshindi hapa na zaidi pazia limefunguliwa rasmi ngoja tuone!Hii siku ni ndefu
Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi?
Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi
Hata sijui hii serikali wanataka nini? Maridhiano au mauaji.
Hali ya utulivu ikirejea mnaanza tambo na kutonesha waathirika?
Kwamba wauaji wanatambia ndugu, wazazi, wake na yatima wa Watanganyika waliokufa, kuwa Kiko wapi tuliwaua na Sasa hata Kuandamana tumewadhibiti
Hizi tambo sio za kuishabikia wala hamna mshindi hapa, wala sio mashindano kuwa polisi au serikali wanashindana na vijana wenye hoja za msingi kama Katiba mpya, kupinga ufisadi na Rushwa.
Kupinga utekaji na mauaji
Kupinga ulaghai kwenye chaguzi
Chungeni kauli zenu
Hii siku ni ndefu mno
Hakuna haja ya kutambia Watanganyika waliopata na madhira
Acha kabisa kutambua
Period
We shoga mbona unanifata fataWee nae umebaki kubwata mtandaoni, si utoke road ukapambane na wenye nchi yao.
Una kazi ya kuwasakizia GEN Z, kwani wao hawaogopi? Hawataki kuishiii?
Lol.