Haya mmeshinda nyieMsitupigie kelelle.
Kama mnaandamana barabara ipo wazi. Ingieni
Kama mmeufyata kaeni kmya mbuzi nyie.
Jana kila mtza ananunua mahitaji ili tu asitoke.
Napenda maandamano ila sio ya kuvuruga na kuvunja mali za watu
Binafsi na mwonya Gent,Situnex,Mushamba na wahuni wengine.Tena kwangu nauita uchochezi.Jueni Watanzania wanayosubira ya kutosha.Hii siku ni ndefu
Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi?
Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi
Hata sijui hii serikali wanataka nini? Maridhiano au mauaji.
Hali ya utulivu ikirejea mnaanza tambo na kutonesha waathirika?
Kwamba wauaji wanatambia ndugu, wazazi, wake na yatima wa Watanganyika waliokufa, kuwa Kiko wapi tuliwaua na Sasa hata Kuandamana tumewadhibiti
Hizi tambo sio za kuishabikia wala hamna mshindi hapa, wala sio mashindano kuwa polisi au serikali wanashindana na vijana wenye hoja za msingi kama Katiba mpya, kupinga ufisadi na Rushwa.
Kupinga utekaji na mauaji
Kupinga ulaghai kwenye chaguzi
Chungeni kauli zenu
Hii siku ni ndefu mno
Hakuna haja ya kutambia Watanganyika waliopata na madhira
Acha kabisa kutambua
Period
😂😂😂😂😂😂We shoga mbona unanifata fata
Nishakwambia me siwezi kuchimba mbolea yako
Tulia basi nijadili na wanaume marijali sio nyie wenye laana
Inaonekana hamkuingiza wakenya round hii na kuja kuwafungia kwenye makanisa ya TEC?Wanajifariji tuu
Toka nani amekuzuia.Haya mmeshinda nyie
Wauaji, wezi , mafisadi na wahuni
Wezi wa uchaguzi
Hii siku ni ndefu
Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi?
Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi
Hata sijui hii serikali wanataka nini? Maridhiano au mauaji.
Hali ya utulivu ikirejea mnaanza tambo na kutonesha waathirika?
Kwamba wauaji wanatambia ndugu, wazazi, wake na yatima wa Watanganyika waliokufa, kuwa Kiko wapi tuliwaua na Sasa hata Kuandamana tumewadhibiti
Hizi tambo sio za kuishabikia wala hamna mshindi hapa, wala sio mashindano kuwa polisi au serikali wanashindana na vijana wenye hoja za msingi kama Katiba mpya, kupinga ufisadi na Rushwa.
Kupinga utekaji na mauaji
Kupinga ulaghai kwenye chaguzi
Chungeni kauli zenu
Hii siku ni ndefu mno
Hakuna haja ya kutambia Watanganyika waliopata na madhira
Acha kabisa kutamba
Period
Me ni kidume rijali😂😂😂😂😂😂
Nikufatee kwa kipiii? Km huna utuhubutu wa kutoka road, we na mie tuna utofauti gani?
Malijari huwa hawajadili siku ya tukio, ni vitendo na utekelezaji tyuuh, au wee hukuwepo kwenye mipango? Ulikuwa wapiii?
Shost bhana, kelele nyingi, vitendo 0.
Poleeeee wee, 😂😂😂😂😂
Hii siku ni ndefu
Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi?
Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi
Hata sijui hii serikali wanataka nini? Maridhiano au mauaji.
Hali ya utulivu ikirejea mnaanza tambo na kutonesha waathirika?
Kwamba wauaji wanatambia ndugu, wazazi, wake na yatima wa Watanganyika waliokufa, kuwa Kiko wapi tuliwaua na Sasa hata Kuandamana tumewadhibiti
Hizi tambo sio za kuishabikia wala hamna mshindi hapa, wala sio mashindano kuwa polisi au serikali wanashindana na vijana wenye hoja za msingi kama Katiba mpya, kupinga ufisadi na Rushwa.
Kupinga utekaji na mauaji
Kupinga ulaghai kwenye chaguzi
Chungeni kauli zenu
Hii siku ni ndefu mno
Hakuna haja ya kutambia Watanganyika waliopata na madhira
Acha kabisa kutamba
Period
Akili zenu mabwabwa mnadhani Leo kulikuwa na maandamano.Toka nani amekuzuia.
Uliwahi kuona wote wanaoigania haki.
We toka pambana kadri uwezavyo ukamtoe kizimkazi.
Hapa unatupigia kelelle mpuuzi 1. Angali umelala kwa shemeji yako.
😂😂😂😂😂 kwanza nichekeMe ni kidume rijali
Nina akili na nguvu nyingi mno
Napenda haki, nachukia dhulumat
Napinga mashetani mashoga kama wewe
Mbinu ya maandamano ilikwisha Toka tarehe 29 oktoba na ilifanikiwa mno.
Sasa tarajia masokolo mageni
Akili hamna. Kwao maandamano wanaona kama Simba na Yanga. Kwamba kutambiana na kukejeriana.Hii siku ni ndefu
Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi?
Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi
Hata sijui hii serikali wanataka nini? Maridhiano au mauaji.
Hali ya utulivu ikirejea mnaanza tambo na kutonesha waathirika?
Kwamba wauaji wanatambia ndugu, wazazi, wake na yatima wa Watanganyika waliokufa, kuwa Kiko wapi tuliwaua na Sasa hata Kuandamana tumewadhibiti
Hizi tambo sio za kuishabikia wala hamna mshindi hapa, wala sio mashindano kuwa polisi au serikali wanashindana na vijana wenye hoja za msingi kama Katiba mpya, kupinga ufisadi na Rushwa.
Kupinga utekaji na mauaji
Kupinga ulaghai kwenye chaguzi
Chungeni kauli zenu
Hii siku ni ndefu mno
Hakuna haja ya kutambia Watanganyika waliopata na madhira
Acha kabisa kutamba
Period
Muungwana akivuliwa nguo huchutama mkuu.Akili zenu mabwabwa mnadhani Leo kulikuwa na maandamano.
Hiyo iliisha MO29
Hata huo mpango haupo mlijazwa mkajazika tu
Dunia imejua
Sasa tukutane ICC, Kuna digital evidence
Mkuu ndiyo maana tunasema Maandamano ya amani. Hakuna mtu mwenye akili timamu anashabikia uharobifu wa miundombinu.Muungwana akivuliwa nguo huchutama mkuu.
Tukubari hakuna asiyeyapenda maisha yake. Na sio kila vita upigane.
Tatizo lenu mmesoma lakini maalifa hakuna mnaendeshwa na mihemuko ya kisiasa.
Swali dogo tu. Kama wewe sio kiongozi wa siasa. Nani anafaa kuiongoza Nchi kama wanasiasa wote ajira yao ni kamudomo (kuongopa)?
Fikiria leo unampigania X kwasababu ameshawishi na nimpinzani vipi kesho akibadili uelekeo wa kisiasa? Utafanya nini huku umepata ukilema au umefungwa hata wakati mwingine umeuawa?
KWA WAAANDAMANAJI SIJAONA Mzalendo kama mzalendo ni huyo Mange! Duuuh bado sana.
Zaidi zaidi mnawapatia watu shida na tunazidi kujiharibia wote sa sijui lengo lenu tukose wote?
Mtu unaandamana juu ya haki bado unaenda kuchoma huduma ambayo kesho unaihitaji!
Kuvunja mali ya mtu ambaye ameajiri ? Hizo ni akili au matope?
Kunasehemu wamechoma shule! Just imagine unakomoa nani hapo? Mtoto asisome?
It's true viongozi wanashindwa kusimamia rasilimali, rushwa n.k soln nini? Maandamano lakini yaratibiwe vizuri no matter kesho or lini but kuwe na clear organisation.
Haya mmeshinda nyie
Wauaji, wezi , mafisadi na wahuni
Wezi wa uchaguzi
Nasikia ni Artificial IntelligenceMwanza wametoka
Huenda wapo wanaojifanya wako upande wake ila Mioyoni wanatamani Ang'olewe..
Kuwa barabarani siyo kuandamana!Wengi waliokufa walikuwa barabarani pia ,ingawa hata ambao hawakuandamana pia walikufa.