Iko siku nature itaamuaI expect nothing life goes on
Hilo zoezi la kuiondoa CCM madarakani lilihitaji kujipanga zaidi ya namna October 29 ilivyoanza na kudhibitiwa.Why Nawashanga watu kuiponda ripoti ya 29 wakati mliujua ukweli kabla ya utafiti huo kufanyika na haya ni baadhi ya maswali tulikuwa tunajiuliza baada ya kuteuliwa kwa tume yenyewe.
1. Nani aliunda hiyo tume ! Jibu kila moja anajua.
2.je unadhani tume italinda maslahi ya nani !jibu tunalo
3.je nani haswa ndo chanzo cha yaliyotokea !majibu kila mwananchi anayo
Ongeza mengine
Je ulitengemea kuona nini ! Wakati tulijua fika kabisa tumempa beka kazi ya kumfutilia bakary kuhusu wizi wa pembejeo za kilo Afghanistan
Naunga mkono hoja.
I second you
N'loy Mangi
N'kwei N'gosi
Vigezo vinavyotumika kuteua tume (mfano Tanzania)Ili tume ipitishwe huwa ni vigezo gani hutumika kuchagua
Umesema vyema je hii tume ina sifa tajwa?Vigezo vinavyotumika kuteua tume (mfano Tanzania)
1. Mamlaka ya kisheria
Tume huundwa na mamlaka halali (mara nyingi Rais) kwa mujibu wa Katiba au sheria.
Lazima iwe na hadidu za rejea (terms of reference) zinazoeleza kazi yake.
2. Utaalamu wa wajumbe
Huchaguliwa watu wenye taaluma husika:
Wanasheria (hasa majaji au wastaafu)
Wataalamu wa sekta inayochunguzwa
Watafiti au wasomi
👉 Lengo: kuhakikisha uchunguzi unakuwa wa kitaalamu, si wa hisia.
3. Uadilifu na sifa binafsi
Wajumbe wanapaswa kuwa:
Waaminifu
Wasio na historia ya rushwa au migogoro
Hii huongeza imani ya umma kwa tume.
4. Kutokuwa na mgongano wa maslahi
Mtu hatakiwi kuteuliwa kama ana uhusiano wa moja kwa moja na suala linalochunguzwa.
Mfano: huwezi kuchagua mtu anayehusiana na tukio au taasisi inayochunguzwa.
5. Uwiano wa kijamii
Mara nyingi huangaliwa:
Jinsia (wanaume na wanawake)
Uwakilishi wa makundi tofauti ya jamii
Ili kuepuka upendeleo na kuongeza uhalali.
6. Uzoefu wa kazi (track record)
Watu waliowahi kushika nafasi za juu au kufanya kazi zinazohusiana
Mfano: majaji wastaafu, makamishna wa zamani, n.k.
7. Uhuru wa kufanya kazi
Huchaguliwa watu wanaoweza kufanya kazi bila shinikizo la kisiasa au binafsi
Hii ni muhimu sana kwa matokeo ya haki.
Muhimu kufahamu
Kwa tume kama unayotaja ya “Oktoba 29”:
Uteuzi wake unategemea zaidi uamuzi wa mamlaka ya juu (hasa Rais)
Vigezo hapo juu hutumika kama mwongozo wa kuhakikisha:
Tume inaaminika
Matokeo yake yanakubalika na jamii
Ukweli wa wazi kidogo
Kivitendo (practically), mbali na vigezo rasmi:
Wakati mwingine siasa na mazingira ya nchi vinaweza kuathiri uteuzi
Ndio maana baadhi ya watu huhoji au kuunga mkono tume kulingana na imani zao
Chanzo kikubwa ni Samia kutoheshimu katiba ya nchi na ya Chama.Why Nawashanga watu kuiponda ripoti ya 29 wakati mliujua ukweli kabla ya utafiti huo kufanyika na haya ni baadhi ya maswali tulikuwa tunajiuliza baada ya kuteuliwa kwa tume yenyewe.
1. Nani aliunda hiyo tume ! Jibu kila moja anajua.
2.je unadhani tume italinda maslahi ya nani !jibu tunalo
3.je nani haswa ndo chanzo cha yaliyotokea !majibu kila mwananchi anayo
Ongeza mengine
Je ulitengemea kuona nini ! Wakati tulijua fika kabisa tumempa beka kazi ya kumfutilia bakary kuhusu wizi wa pembejeo za kilo Afghanistan
Everything was planned 😌Chanzo kikubwa ni Samia kutoheshimu katiba ya nchi na ya Chama.
Cha pili Uchaguzi usiokuwa na tija ; Kanuni za Uchaguzi zinamfanya mgombea wa CCM kuwa ni kocha, Refa na Mchezaji huku akishindana na wengine .
Consenquences
Samia atoa AMRI watu kuuliwa
Tume kudanganya kuwa maiti zilizokuwa MWANANYAMALA ni AI: huu ni UONGO ambao Chande will pay . You should also know i am a specialist Medical Doctor. Ili ukiwa unajaribu kutetea ishu za maiti mahospital ujue unaongea na nani .Kila mwaka lazima nije TZ kutoa training mostly kwenye hizo RRH.
Tume imedanganya pia idadi ya watu waliokufa,
Tume imedanganya makaburi ya halaiki. TZ Na tume ya Samia hamna tech ya kuizidi CNN kwenye investigation na satellite…. You are all stupida
Now and since she is not smart, Samia ameingia kwenye a very complicated Life ……. Ataunda tume moja baada ya nyingine kuchujguza criminals ambazo yeye ndio initiator. What a lazy lady , sadly , ana less than 3 years kwenye kiti chake . Hatoweza kuacha alama zozote za maendeleo kwenye nchi . Kazi kubwa kwenye awamu yake ni kusolve matatizo aliyoyaumba yeye na timu yake .
Thanks to Mpango who chose not to attend the biggest time wastage
Malaria Sugu anamezea mate hicho kitoweo.