njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Yaani kweli mlishindwana 15 millions tu kuongezea iwe 50 millions waliyotaka kagera sugar? mbona kuna wakati magarasa ya nje ya nchi yanalipiwa hadi milioni 80?
huyo kijana sasa kakosa kibali hachezi champions league na mvutano unaenda kuwa mkubwa bila sababu za msingi
Upumbavu tu, nawashauri kagera sugara wakazie hiyohiyo milioni 200 wanayoitaka kwa sasa na aliyehusika na ujinga huo probably ni CEO aache mambo ya kitoto