Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kuna Karia nyuma yake.Hii klabu ya Simba inaendeshwa kihuni Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Karia nyuma yake.Hii klabu ya Simba inaendeshwa kihuni Sana.
Nakuhakikishia, sheria unazozisema zimekiukwa na Mhilu atacheza Simba kwa uhamisho wa 35M. Viongozi sio wajinga, na mimi najua principles za uongozi. Wakati mwingine inamlazimu kiongozi kuvunja sheria ili kuendana na deadline, wale watakaobaki wanalalamikia sheria wanaachiwa manyoyaSheria zinasemaje?
na kupitia uhuni huo imekomba makombe yote muhimu, na kuingia robo fainali ya CAF CL mara mbili ndani ya misimu mitatu iliyopita. Wakati mwingine inabidi ufanye uhuni ili kufikia lengo lako, asiye muhuni anabaki na sheria zake bila kombeHii klabu ya Simba inaendeshwa kihuni Sana.
Janja janja fc,soon wakati wenu wa kutembeza bakuli utafika,watu wanamlia timing mo tu tena wa huko mkiani kwenuNakuhakikishia, sheria unazozisema zimekiukwa na Mhilu atacheza Simba kwa uhamisho wa 35M. Viongozi sio wajinga, na mimi najua principles za uongozi. Wakati mwingine inamlazimu kiongozi kuvunja sheria ili kuendana na deadline, wale watakaobaki wanalalamikia sheria wanaachiwa manyoya
Ahaa, yaani povu lote hilo kumbe ni kuhusu Mo !! Sasa mbona umezunguka saana, ukaweka title ya Mhilu na Kagera Sugar yake, kumbe tatizo ni uwepo wa Mo! Ungebadili tu title ya uzi, lakini nakuhakikishia, ishu ya Mhilu ni ndogo saana, na kwa kukudokezea, Mhilu ananunua mkataba wake kwa less than 15M (ambazo ni mshahara wa kila mwezi kwa miezi 12 iliyobaki), halafu anasaini Simba akiwa mchezaji huru kama alivyokuwa Morrison, na jana Kagera na Mhilu walikuwa ofisi za TFF kwa ajili ya kuvunja mkataba. Endelea lingine tukupe za ndaniJanja janja fc, soon wakati wenu wa kutembeza bakuli utafika,watu wanamlia timing mo tu tena wa huko mkiani kwenu
Kama Mhilu amekubali kufanya hivyo basi atakuwa anakosea kwani kuna kesho. Anaweza kwenda Simba bahati mbaya akakosa nafasi ya kudumu baada ya mwaka mmoja wakamwacha. Kama ana mahusiano mazuri na Kagera anaweza rudi kwa mkopo. Sehemu yoyote unapoondoka ondoka kwa amani hujui ya kesho ndio maana kuna msemo unasema "usinyee kambi".Ahaa, yaani povu lote hilo kumbe ni kuhusu Mo !! Sasa mbona umezunguka saana, ukaweka title ya Mhilu na Kagera Sugar yake, kumbe tatizo ni uwepo wa Mo! Ungebadili tu title ya uzi, lakini nakuhakikishia, ishu ya Mhilu ni ndogo saana, na kwa kukudokezea, Mhilu ananunua mkataba wake kwa less than 15M (ambazo ni mshahara wa kila mwezi kwa miezi 12 iliyobaki), halafu anasaini Simba akiwa mchezaji huru kama alivyokuwa Morrison, na jana Kagera na Mhilu walikuwa ofisi za TFF kwa ajili ya kuvunja mkataba. Endelea lingine tukupe za ndani
Senzo amemkuta Chama Simba labda uzungumzie mikataba ya Sarpong aliyoingia utopoloSiku zote ukiona timu inaingia ktk migogoro ya kiusajili basi ujue Mtendaji mkuu hatimizi wajibu wake ipasavyo
Majuzi tu tulishuhudia kashikashi ya mkataba kwa akina Tshabalala, Kapombe na Manula. Leo tena la Yusuph Mhilu
Inaonesha wazi Barbara hafit vyema ktk nafasi ya u-CEO
Hii nafasi ilimfit sana Senzo, na hata matunda ya kuuza wachezaji Miquissone na Chama imetokana na mikataba waliyoingia toka enzi za Senzo akiwa Simba
😀😀 SarpongSenzo amemkuta Chama Simba labda uzungumzie mikataba ya Sarpong aliyoingia utopolo
Kafungue kesi cas kagera wameibiwa mchezaji na simbaSio kukazia,kanuni zinajulikana klabu iliyomsainisha mchezaji mwenye mkataba na klabu adhabu stahiki inayotakiwa kutolewa,lkn sababu ya tff simba uwa wanafanya watakavyo wakijua tff haiwezi kufuata sheria inavyotaka
Maulid kitenge kumbe upo humu jf😮Simba habari yao ilishakwisha Kwasasa nimwendo wamtifuano wa wenyewekea wenyewe.
Amenumenikosea sana kuniita uto ulaaniwe wewe na vizazi vyako
Simba wangekuwa wahuni wangekwisha shushwa daraja. Tatizo kuna watu mpira ushawashinda, wamebakiwa na makerere Kama wajane waliozulumiwa Mali za marehemu bila msaada (japo mfano sio rafiki Sana Ila ndio ukweli)na kupitia uhuni huo imekomba makombe yote muhimu, na kuingia robo fainali ya CAF CL mara mbili ndani ya misimu mitatu iliyopita. Wakati mwingine inabidi ufanye uhuni ili kufikia lengo lako, asiye muhuni anabaki na sheria zake bila kombe
Halafu anasaini simba!! Sasa anasaini mara ngapi?Ahaa, yaani povu lote hilo kumbe ni kuhusu Mo !! Sasa mbona umezunguka saana, ukaweka title ya Mhilu na Kagera Sugar yake, kumbe tatizo ni uwepo wa Mo! Ungebadili tu title ya uzi, lakini nakuhakikishia, ishu ya Mhilu ni ndogo saana, na kwa kukudokezea, Mhilu ananunua mkataba wake kwa less than 15M (ambazo ni mshahara wa kila mwezi kwa miezi 12 iliyobaki), halafu anasaini Simba akiwa mchezaji huru kama alivyokuwa Morrison, na jana Kagera na Mhilu walikuwa ofisi za TFF kwa ajili ya kuvunja mkataba. Endelea lingine tukupe za ndani
Sheria zinasemaje?
Nakuhakikishia, sheria unazozisema zimekiukwa na Mhilu atacheza Simba kwa uhamisho wa 35M. Viongozi sio wajinga, na mimi najua principles za uongozi. Wakati mwingine inamlazimu kiongozi kuvunja sheria ili kuendana na deadline, wale watakaobaki wanalalamikia sheria wanaachiwa manyoya
... nawashauri kagera sugara wakazie hiyohiyo milioni 200 wanayoitaka kwa sasa na aliyehusika na ujinga huo probably ni CEO aache mambo ya kitoto
Kapumbu Aendelee kukazia hapo hapo au alegeze??Yaani kweli mlishindwana 15 millions tu kuongezea iwe 50 millions waliyotaka kagera sugar? mbona kuna wakati magarasa ya nje ya nchi yanalipiwa hadi milioni 80?
huyo kijana sasa kakosa kibali hachezi champions league na mvutano unaenda kuwa mkubwa bila sababu za msingi
Upumbavu tu, nawashauri kagera sugara wakazie hiyohiyo milioni 200 wanayoitaka kwa sasa na aliyehusika na ujinga huo probably ni CEO aache mambo ya kitoto