njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Unapoteza muda bure, Mhilu ameongea, amesaini na ametambulishwa Simba kabla hajamalizana na Kagera Sugar, lakini mwisho wa yote ataenda Simba na viongozi wa Kagera Sugar hawatalalamika tena ila wewe na wenzako wa aina yako ndio mtabaki na malalamiko yenu ya kanuni. Ruksa povu, ruksa kununua kesi ya Kagera Sugar... nawashauri kagera sugara wakazie hiyohiyo milioni 200 wanayoitaka kwa sasa
umenikosea sana kuniita uto ulaaniwe wewe na vizazi vyakoMuanzisha uzi "uto" wachangiaji "uto" hapa ni bubu na bubu mwenzie wanapiga story
siwezi kila siku kukaa kusifia na kutetea uongozi wa simba hata ukifanya madudu kama hayaUongozi wa Kagera sugar kupitia katibu wake washatoa tamko watakaa chini kuyamaliza,sasa wewe endelea kudemka wakati utaki kufatilia ili jambo linapoelekea.
Sio kukazia,kanuni zinajulikana klabu iliyomsainisha mchezaji mwenye mkataba na klabu adhabu stahiki inayotakiwa kutolewa,lkn sababu ya tff simba uwa wanafanya watakavyo wakijua tff haiwezi kufuata sheria inavyotakaYaani kweli mlishindwana 15 millions tu kuongezea iwe 50 millions waliyotaka kagera sugar? mbona kuna wakati magarasa ya nje ya nchi yanalipiwa hadi milioni 80?
huyo kijana sasa kakosa kibali hachezi champions league na mvutano unaenda kuwa mkubwa bila sababu za msingi
Upumbavu tu, nawashauri kagera sugara wakazie hiyohiyo milioni 200 wanayoitaka kwa sasa na aliyehusika na ujinga huo probably ni CEO aache mambo ya kitoto
Sheria zinasemaje?Uongozi wa Kagera sugar kupitia katibu wake washatoa tamko watakaa chini kuyamaliza,sasa wewe endelea kudemka wakati utaki kufatilia ili jambo linapoelekea.