Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa

Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa

shirowise

Member
Joined
Jul 24, 2007
Posts
26
Reaction score
21
Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa badala ya kukimbilia kutoa MATAMKO kwenye mitandao ya kijamii. Vijana UVCCM wamekosa Elimu ya siasa ambayo ilikuwa inawaanda kuwa viongozi wa baadae.

Wamekimbilia kutoa matamko mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ambayo yanaonekana kama wanajipendekeza ama kuwafurahisha viongozi wao.

Hii imeonekanaa sana kwenye kipindi cha uongozi wa awamu ya 5. Leo hii wanashangaa kwanini wameachwa! VIJANA UVCCM amkeni
 
Back
Top Bottom