Nawashauri Wasanii maarufu Bongo mjiondoe katika Mtandao wa YouTube, Tengenezeni Platform zenu wenyewe

Mkuu hizo platforms za bongo zinazolipa kidogo ni zipi. Na platforms zote za kimataifa hazina calculation inayojulikana fika ya malipo hata wasanii wenyewe huwa hawajui watalipwaje labda makadirio.

Msanii kuwa maarufu anahitaji kuzidi kubaki juu au kuendelea. Tena achana na wa mbele uko, hapa kila siku si unaona wanashindana trending in YouTube? Inawasaidia wao kuliko inavyowasaidia uko mambele. Mtu kama Kendrick Lamar akatoa Mr. Morale album akauza copies zake laki kadhaa akakusanya pesa, anasubiri shows, World tour, collaborations, deals kisha asubiri hizo streaming na hela ya mboga ya YT.

Bongo hapa kuna msanii atauza copies mtaani humu? Nani huyo labda Maalim Nash anayefanya delivery mtaani kwake. Vincent Kigosi "Ray" kaanza kuigiza sijaanza shule, last week namuona anakopeshwa milioni 40 alipe ndani ya 2yrs. Hivi msanii mkongwe na star wa Bongo Movie kama yule ni wa kukopeshwa 40M zimsaidie kikazi? Watu walitoa kazi zikaishia kutolewa nakala vibanda umiza.
Sasa uanzishe platform ulipishe watu wa jamii hiyo kweli utegemee ishindane na YouTube.
 
Unaenda unarudi huelewiki yaan. Kuhus halftime show mwanzon umeongea vingine now unakuja na gia nyingine

Mambo umesema mwenyewe sshv unayakataa.

Anyway, uko na fixed mindset. Sasa kisa kitu kashindwa soulja boy ndio kila mtu ashindwe? Nikupe mfano mdg, umeisikia chatGPT, chatBot inayosumbua dunia kwa sasa? Google wamekaa miaka na miaka wanafanyia uchunguzi wa technology ya Artificial intelligence lkn wamekuja kuzidiwa na kampuni yenye waajiriwa nane tu, na inajiendesha kwa misaada. Google haohao wakatengeneza product kuipiku chatGPT lkn product ikafail kwenye uzinduzi wake. Sasa usije kudhan kitu kama kashindwa fln basi kila mtu atashindwa.

Toa hio fixed mindset ndo uendelee ku-argue na mimi.
 
Labda wakina Didy na Jiga wa mchafukoge.
 
Na
Hao Watu Watu Wapo Ndo Maana Nimesema Kwa Wachache, Mfano Out Of 8m Alikiba Fans Ndani Ya Instagram Akawa Na Loyal Fans 1m, Hawa Wakanunua Wimbo Wake Kwa 200/=, Huyu Msanii Anatengeneza 200m Ambayo Anaweza Asiipate Kwa Nyimbo Zake Zote Pale Youtube.
Hao followers milion kadhaa kumbuka Kuna ma roboti na roboti hatutoi hela tupo kuongeza namba
 
Hesabu zako Mtoa mada nimekumbuka motivational speakers wa biashara ya matikiti.
 
Kwabongo Hii sijui labda mbele huko sijui kama wataweza kuzuia wale watao kwenda kudownld na nakueka YouTube,mtu akiona ipo YouTube huko kwenye kulipishwa haji,mf Beyoncé album yake ya Lemonade ilikua tidal tu ndio unapata walizuia platforms zote baadae wakaeka kwenye Apple Music na baadae akaeka baadhi ya video YouTube.
 

provided that wasanii wamezitupa kazi zao wenyewe dj mwanga hana kosa.
lakini kama wakiwa na platform zao, akina dj mwanga watapotea either kwa sheria au wao wenyewe.
na platform zikiwa na security nzuri hata hao wanaouza mitaani watapata changamoto kuzi access.
 
Wewe ndio hutaki kuelewa makusudi. Nilichoandika kwenye Super Bowl na ulichopinga ukaja andika ni vilevile.

Na hiyo ChatGPT unayosema si ndio haohao Microsoft inaenda invest $10 billion kwa OpenAI baba wa ChatGPT. Yani wameachia tool haina hata miezi sita Microsoft ashajiweka pale. Na lazima wakubali deal, kwanini wasiache wabaki wenyewe.
Sasa tofauti ya Google kushindwa hiyo AI na ikaja kutumika na Microsoft si ni yaleyale. Na bado Google inakuja na solution yake sema kwa kuchelewa.

Walioanzisha Instagram, YouTube na WhatsApp wangekaa nazo ila waliziuza. Sasa wasanii wetu hawa bongo wasianzishe kitu ili wakishindwa wauze kwani wao sio watu wa makompyuta. Ni rahisi wao kuanzisha ila tunazungumza kuendelea na kuleta matunda.

Jux alianzisha brand ya nguo ile African Boy akauza, kuuza nguo tu kwa wasanii wetu ni mtiti tena huyo ana elimu nzuri sembuse hawa wasiojua kuandika barua.
 
Usikimbie point!

Wewe umesema kama soulja boy kashindwa hawa wengine ni kina nani waweze?

Na ndipo nakwambia sasa usichukulie sababu Icon fln kashindwa basi kila mtu atashindwa. Na ndo maana nikakupa mfano wa OpenAI walivoipiku Google kwenye AI.

Af google mbona washaleta hio AI yao toka wiki zimepita wanaiita "Bard AI" na ikatoa majibu ya uongo walipokua wanatest kwenye lauch event yake? Na zaidi ikapelekea shares za Google kushuka bei hadi asilimia 10 hata kabla ya trading session kuanza.

Never underestimate the hustle man, ikitokea jamaa mmoja akajipinda sawa sawa, hii idea anayoongelea jamaa hapa kwenye uzi inafanyika vizuri tu
 

jinga baba yako,
huwezi kuchangia bila kutoa matusi?
vitu vikipanda bei watu wanapiga kelele ndio lakini wanaonunua si wapo? Kwani kila mtu anamiliki hiyo gari ya kununulia mafuta?
pumbavu wewe. Halafu unaweza kuta umenizidi umri ila unaanzisha upumbavu humu.
kama huna cha kuchangia pita kimya kama wenzako.
 

ndio maana nikasema kwa wasanii maarufu waliojitengenezea majina tayari, hivi Wewe alikiba akisema kesho natoa ngoma mashabiki wake watasubiri waisikilize tiktok?
kwa show wanazopiga bongo wanapata pesa ya kawaida ndo maana na suggest namna ya kupata fedha nyingi ili waweze kuwa na nguvu ya kupambana kimataifa zaidi.
 
Huwezi kufanya biashara ya muziki bila big boys. Roc-a-Fella ilikuwa na deal na Def Jam. Hata sasa hivi Jay Z ana Roc Nation ambayo ni joint venture yake na Kampuni ya Live Nation.

Kuanzisha platform sio rahisi kama unavyodhani. Ingekuwa rahisi kila msanii angekuwa na ya kwake.
 
Niliwahi ona dizasta na stereo wanauza album kwa nyia ya email au WhatsApp unatumiwa baada ya kulipa ..

Sijui inawalipa au lah? Na dizasta sio maarufu hivyo ila anakiri kuwa anautegemea mziki.

So hikinkitu nahisi ni possible..
 
Mkuu hizo platforms z
Msanii kuwo kuliko inkacopies zake laki kadhorld tour, collaborations, deals kisha asubiri hizo streaming na hela ya mboga ya YT.

Bongo hapa kuna msanii atauza copies wake. Vdani ya
platform kama boomplay,youtube na audiomack ambazo wasanii wa bongo wanazitumia sana hazilipi vizuri na ndio maana hata calculation zake hazipo wazi. Ila platform za kimataifa kama spotify wanalipa vizuri na calculation zipo wazi mf. Spotify wanalipa dola 4000 kwa stream 1m. Sasa chukulia drake ana stream karibu 4b anapata karibu $ 20m hapo bado hajaenda apple,i tunes,tidal, n.k ambako nako kuna pesa na stream kibao. Hakuna msanii bongo anamiliki pesa kama hiyo kwa spotify tu,kabla hata hajafanya mambo mengine sio tajiri huyo?

sasa msanii wetu atafanya world tour kwa kuishia kuweka kazi youtube? Ataishia show za mikoani ambazo nazo zina pesa ndogo.
 
Unaongea kama umekatika kichwa hakuna nchi East Africa inaweza kudhibiti piracy. Hao cyber police wenyeww wanadownload nyimbo.


Endelea kujidanganya
 
Wewe jamaa ni taahira
 
Nani kakwambia hakuna sheria ya kudhibiti kazi za wasanii kutoibiwa
 
Nilipe tsh200 kusikiliza nyimbo za domo? Hata bure siwezi sikiliza nyimbo za kipuudhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…