Nawashwa kwenye koo! Nifanyeje?

Nawashwa kwenye koo! Nifanyeje?

Thomas Juma

Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
88
Reaction score
17
Natanguliza shukrani zangu Za dhati kwa wanaa jf wote ambao mmekuwa mkitusaidia kwa ushauri mbalimbali.
Mwenzenu nimekuwa nikiwashwa kwenye koo kwa muda sasa yaani pakianza kuwasha inabidi nitumie ulimi kujikuna kitu ambacho kinanikera Sana maana ulimi ukishindwa kukidhi inabidi nitoe sauti flani kwa ajili ya kufanya koromeo litetemeke/litikisike ndipo nipate ahueni.
Sasa wana jamvi wenzangu naomba anaefahamu nini kinanisumbua anijuze na nini cha kufanya.
Mwanzo nilihisi labda ni kawaida tu lakini shida inakuja muda unakuwa mrefu maana ni zaidi ya miezi mitatu na Mara nyingi linatokea usiku.
Msaada tafadhali.
 
Hii hari hata mimi ninayo halafu huwa inakuja mpaka karibu na masikioni sijui shida nini..

Yaani hadi nitumie hiyo sauti ndio najisikia poa.

Anza na specialist wa ENT akupe dawa
Dawa nazojua Ni pamoja na tidilor loratadine,prednisolone, Meloxicam,zokast 10 zitakusaidia sana
 
umeshajaribu vitu vikali?,mfano machozi ya simba?,inaweza saidia kama sio tatizo serious
 
Hii hari hata mimi ninayo halafu huwa inakuja mpaka karibu na masikioni sijui shida nini..

Yaani hadi nitumie hiyo sauti ndio najisikia poa.
Kwenye sikio utakuwa ume develop fangasi.unahitaji kufanyiwa srying na wax removal..nenda muhimbili au ekenywa Kama unatumia bima ya afya..kabla ya test ya allergy upate hizo dawa
 
Kama unapenda sana kuzama chumvini, punguza au acha kabisa.
 
Lemon juice
Natanguliza shukrani zangu Za dhati kwa wanaa jf wote ambao mmekuwa mkitusaidia kwa ushauri mbalimbali.
Mwenzenu nimekuwa nikiwashwa kwenye koo kwa muda sasa yaani pakianza kuwasha inabidi nitumie ulimi kujikuna kitu ambacho kinanikera Sana maana ulimi ukishindwa kukidhi inabidi nitoe sauti flani kwa ajili ya kufanya koromeo litetemeke/litikisike ndipo nipate ahueni.
Sasa wana jamvi wenzangu naomba anaefahamu nini kinanisumbua anijuze na nini cha kufanya.
Mwanzo nilihisi labda ni kawaida tu lakini shida inakuja muda unakuwa mrefu maana ni zaidi ya miezi mitatu na Mara nyingi linatokea usiku.
Msaada tafadhali.
 
Natanguliza shukrani zangu Za dhati kwa wanaa jf wote ambao mmekuwa mkitusaidia kwa ushauri mbalimbali.
Mwenzenu nimekuwa nikiwashwa kwenye koo kwa muda sasa yaani pakianza kuwasha inabidi nitumie ulimi kujikuna kitu ambacho kinanikera Sana maana ulimi ukishindwa kukidhi inabidi nitoe sauti flani kwa ajili ya kufanya koromeo litetemeke/litikisike ndipo nipate ahueni.
Sasa wana jamvi wenzangu naomba anaefahamu nini kinanisumbua anijuze na nini cha kufanya.
Mwanzo nilihisi labda ni kawaida tu lakini shida inakuja muda unakuwa mrefu maana ni zaidi ya miezi mitatu na Mara nyingi linatokea usiku.
Msaada tafadhali.
Tafuna tangawizi [emoji106]
 
Back
Top Bottom