Thomas Juma
Member
- Nov 9, 2010
- 88
- 17
Natanguliza shukrani zangu Za dhati kwa wanaa jf wote ambao mmekuwa mkitusaidia kwa ushauri mbalimbali.
Mwenzenu nimekuwa nikiwashwa kwenye koo kwa muda sasa yaani pakianza kuwasha inabidi nitumie ulimi kujikuna kitu ambacho kinanikera Sana maana ulimi ukishindwa kukidhi inabidi nitoe sauti flani kwa ajili ya kufanya koromeo litetemeke/litikisike ndipo nipate ahueni.
Sasa wana jamvi wenzangu naomba anaefahamu nini kinanisumbua anijuze na nini cha kufanya.
Mwanzo nilihisi labda ni kawaida tu lakini shida inakuja muda unakuwa mrefu maana ni zaidi ya miezi mitatu na Mara nyingi linatokea usiku.
Msaada tafadhali.