Nawashwaaa naomba ushauri

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
Wasalaaaaaam wana jamvi!

Kama mnavojua mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua. Juzi kati hapa nilikua kwenye semina flani hivi hukoo mahala kwa muda wa wiki mbili.

Kwa eneo ilipofanyika semina hiyo zile huduma zetu zile za long calls na short calls zote zilikua sehemu moja tu yani jinsia zote mbili ME &KE tulipata huduma sehemu moja tu just imagine jamani dah!

Sasa tangu nitoke seminani kuna hali flani hivi ya muwasho imekuwa ikinipata kuleeee kwenye maeneo around K. Kwenye mashavu ya K kwa juu juu nawashwa sana mpaka nakosa raha ofisini hapakaliiki nyumbani kutwa kujikuna!

Je nitumie dawa gani ambayo haitanidhuru kule pangoni bandugu as you know the area is so sensitive??

Nawasilisha.
 
Pole sana mkuu.

Huenda unepata STI au ni Fangas tu hawa Candida..

Vizuri kwanza ukafika hospital ya kueleweka, ukaangaliwa vizuri na kupata msaada zaidi.
 
Muwasho as days goes unahisi unaongezeka? Then ndan kuna changes zozote kuuma au kuwasha pia?

Possible kuwa na infections za kawaida tokana na maji au mabadiliko ya hali ya hewa au ratiba ya usafi wa mwili binafsi au uliipata before but ukaibuka ulipofika huko....kama mabadiliko ya ongezeko la muwasho au maumivu muone Dr or pm kwa maelezo

Thank you na pole pia

Reminds you girls kwa reproductive diseases ni risk sana kwan dalili huja baadae sana so kama ndio unaziona never delay go for further alternatives
 
una fangasi mamii,je eneo limekuwa jekundu ? je kunawaka moto? na kunatoka vitu kama cottage cheese like?mabondebonde meupe?
 
ahahaa....Mbona prof. pix yako haiendani na maneno yako unayo yatoa
by the way ....ntalia mpaka utanionea huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…