Hasa sisi wazee wa kuhusisha 'imagery" just imagine mashavu yakiwa yana washa.
naona na wewe ni kati ya wale wachache mkuu. Hadi sasa sijaona aliyechukua hatua ya kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa sisi wazee wa kuhusisha 'imagery" just imagine mashavu yakiwa yana washa.
naona na wewe ni kati ya wale wachache mkuu. Hadi sasa sijaona aliyechukua hatua ya kweli.
.....Aha ha ha!!, Mlapue tu!! Wee unawashwa halafu yeye anakuletea masikhara. Pole eeh Mdada, ndo maana leo nakuona utulii Ofisini kila muda unaenda chooni, nahisi utakuwa unaenda kujikuna lol!!.WeeNtakulapua makofi ujuee!!
.....Aha ha ha!!, Mlapue tu!! Wee unawashwa halafu yeye anakuletea masikhara. Pole eeh Mdada, ndo maana leo nakuona utulii Ofisini kila muda unaenda chooni, nahisi utakuwa unaenda kujikuna lol!!.
Omba ruhusa uende kwa Daktari ila Daktari akikuambia aweke rungu lake utapona mkatalie!!
.....Mkuu, huyajui au?......'Mashavu'...
....Pole eeh!! utapona wala usijali ni mambo ya kawaida hayo kwa wadada kutokana na maumbile yenu jinsi yalivyo. Kikubwa ni kuwahi fasta kumchek Daktari.Si ndio hapo sasa anadhani kuwashwa mchezo ee tena kuwashwa maeneo hatarishi.. ni balaa eti
hii ni lugha ya picha wachache sana wataing'amua.
we acha tu yani naweza jikuna mpaka nkachoka nkaamua kumpa mtu hiko kibarua akamaliza kabisaaa
Shost acha tu yani naweza jikuna mpaka nkachoka nkaamua kumpa mtu hiko kibarua akamaliza kabisaaa
poa, upone !!Asante rafiki