Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
hii ni lugha ya picha wachache sana wataing'amua.
Ha ha haaah,,,,,inawezekana kweli ni lugha ya picha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ni lugha ya picha wachache sana wataing'amua.
Asante mwaya!
hiyo Semina ilikuwa nzuriAsante mwaya!
hapo sasa.....natamani ningekuwa mimi ndo nimepewa hiyo kandarasi.
maana hapo pooo ingetegemea na kupoa kwa mashavu husika....lakini bahati mbaya "upele humuota mtu asiye na kucha". meaning thta, mashavu humuwasha mtu asiye na kikunaji.
nakubaliana na option za Zamiluni Zamiluni lakini kabla hujatumia hayo yote hebu nenda hospital kwanza itakuwa ni infection hususani kama woete mlikuwa mnashare toilet for two weeks, possibly ukawa umepata infection