Nawashwaaa naomba ushauri

naona na wewe ni kati ya wale wachache mkuu. Hadi sasa sijaona aliyechukua hatua ya kweli.

hapo mkuu umegusa mahala sensitive sana..kwani wadau tunataka kwanza jibu la hiyo premise kuona ni wapi pa kuanzia kumpa tiba mbadala ya mtu anayewashwa mashavu ya K.
 
WeeNtakulapua makofi ujuee!!
.....Aha ha ha!!, Mlapue tu!! Wee unawashwa halafu yeye anakuletea masikhara. Pole eeh Mdada, ndo maana leo nakuona utulii Ofisini kila muda unaenda chooni, nahisi utakuwa unaenda kujikuna lol!!.

Omba ruhusa uende kwa Daktari ila Daktari akikuambia aweke rungu lake halafu utapona, mkatalie!!
 

Si ndio hapo sasa anadhani kuwashwa mchezo ee tena kuwashwa maeneo hatarishi.. ni balaa eti
 
Pole, ila jiandae, hapo kama ni hospital, gynaecologist lazima akutumbukize vidole na pia apapase papase kidogo hayo mashavu! Akikusisimua, jikaze kisabuni.
 
Si ndio hapo sasa anadhani kuwashwa mchezo ee tena kuwashwa maeneo hatarishi.. ni balaa eti
....Pole eeh!! utapona wala usijali ni mambo ya kawaida hayo kwa wadada kutokana na maumbile yenu jinsi yalivyo. Kikubwa ni kuwahi fasta kumchek Daktari.

Huwa nafurahi wifi yako akiwa na muwasho lakini ule wa ndani kabisa sio kwenye mashavu na pia sio wa ugonjwa, huwa navaa "mavazi ya Kidaktari" mwenyewe na kuanza kumpa "matibabu"
 
we acha tu yani naweza jikuna mpaka nkachoka nkaamua kumpa mtu hiko kibarua akamaliza kabisaaa

hapo sasa.....natamani ningekuwa mimi ndo nimepewa hiyo kandarasi.
maana hapo pooo ingetegemea na kupoa kwa mashavu husika....lakini bahati mbaya "upele humuota mtu asiye na kucha". meaning thta, mashavu humuwasha mtu asiye na kikunaji.
 
nakubaliana na option za Zamiluni Zamiluni lakini kabla hujatumia hayo yote hebu nenda hospital kwanza itakuwa ni infection hususani kama woete mlikuwa mnashare toilet for two weeks, possibly ukawa umepata infection
 
Last edited by a moderator:
Wahi hospital wangu daaa pole sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…