Nawashwaaa naomba ushauri

Mmmmh teh teh teh!, afuadhali mwanaume anaweza kujikuna kwa kuingiza mkono mfukoni, mwanamke jee!! ,nilishawai kumshuudia mdada mmoja mama ntilie akijikuna, tangu siku hiyo nilimwambia tajiri yake, kuwa huyu mfanyakazi wako asiniletee tena chakula.
 
Hahaha
Kuna comments zimenichekesha. Acheni maskhara bhana

Mamy nenda hospital,pole
 
Pole sana, jitahidi usikune sana nawa na maji safi vizuri zen paka mafuta mgando mazuri eneo linalowasha, paka mengi muwasho utatulia, hali ikizidi kuwa tete wahi kwa dr. (a.k.a kibamia)- kiding
 
mahondaw
NI KITU GANI HUSABABISHA KUWASHWA WASHWA SEHEMU ZA SIRI ZA WANAWAKE?






Kama kawaida, wanawake wengi wengi hupenda kuongelea jinsi ya kujitunza ili kupendeza. Kwa mfano; jinsi ya kutake care nywele, vipodozi vizuri kwa ngozi, mavazi, mazoezi ya mwili ili kupunguza uzito n.k. Lakini ni mara chache sana utakuta wanawake wakiongelea kuhusu usafi


haswaa wa mwili. Mfano; usafi kwenye sehemu muhimu za mwili. Nikawaida kupiga passport size ukiwa mtoto (kuoga chap chap na kutoka) lakini mtu ukishaanza kuwa mkubwa haswa wasichana ambapo kunakuwa na mabadiliko mengi ya mwili ni muhimu kujua jinsi ya kujisafisha mwili vizuri ili kuzuia harufu za ajabu ajabu kutoka katika mwili.

Anyways, leo katika peruzi peruzi zangu za kutaka kujifunza kuhusu afya, magonjwa na jinsi ya kuuweka mwili katika hali ya usafi (personal hygiene) nilikutana na haya yafuatayo; Kusabishwa kwa MWASHO katika sehemu za siri!

Kichwa cha habari hichi kilinikumbusha mbali sana wakati nikiwa mdogo. Nilisomaga shule ya boarding nikiwa mdogo and since shule yangu ilikuwa International School, tulikuwa na swimming time. Well, wakati wa kuswim ulikuwa ukifika watoto tulikuwa tunaenda resi mno kutokana na furaha ya kwenda swimming hivyo tulikuwa tunanyakuwa swim suti yoyote iliyokuwa inahang mbele ya macho. Yaani kwasababu ya utoto hatukuwa na muda wa kujiuliza kwamba "nani aliivaa hii swim suti kipindi cha mwisho tulichoenda swimming." Hence, kama studies zinavyoonysha kwamba


kila mwanamke hupatwa na ugonjwa wa kuwashwa sometime in their lifetime, mi wakati wangu wa kuwashwa ulishanitokea.....ingawa nilikuwa mdogo, I still count it. Na I am 100% sure ilitokana na kuvaliana swim suti wakati niko boarding school LOL. Ilikuwa zamani sana though.
Anyways, hiyo ni story yangu fupi iliyonijia since nilishawahi kuexperience kuwashwaga.

Kujisikia kuwashwa ama kuwaka moto katika sehemu nyeti za mwili (ukeni) husababishwa na vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na; Vijidudu waishio katika sehemu nyeti za mwanamke (Bacterial vaginosis), Magonjwa ya zinaa (Sexual Transmitted Diseases (STD), Yeast infection (fangasi), Menopause (wanawake ambao wanapitia kipindi cha kukata siku zao za mwezi kwasababu ya umri mkubwa), Kemikali mbalimbali, na Lichen Sclerosis (Kuvu uzulufu).

Sehemu nyeti (vagina) huwa na bacteria wasafi ambao huishi permenent katika vagina kwa ajili ya sababu za kiafya. Hawa bacteria ndo wanaosaidia vagina katika kupigana na vijidudu wabaya wanapoingilia haya makao. Lakini sasa, kama vagina imetawaliwa na vijidudu wabaya, hii situation ya vijidudu wabaya husababishia kuwashwa kwa vagina. Na wakati mwingine kuwashwa huku huletea mtu kujisikia kama vile moto umewashwa huko chini haswa wakati wa kwenda kukojoa (burning sensation) etc.
Pia magonjwa ya zinaa kama gonorea, kaswende n.k pia husababisha sehemu nyeti kuwasha.
Studies zinaonyesha kwamba, Yeast infection kama fangas, hutokea katika maisha ya kila wanawake once in a while.

Mara nyingi mwanamke akiwa ana yeast infection/fungus hutoa mucus nyeupe/njano/brown ambayo huwa nzito. Na wakati mwingine mucus hiyo hutoa harufu na pia kumfanya mtu ajisikie ananuka.
Mwanamke anapokuwa ana go through Menopause, mara nyingi ukuta wa sehemu nyeti kuwa mwembamba na mkavu hivyo kusababisha kuwashwa. Pia, utumiaji wa kemikali mfano; creams za kupaka kwenye vagina, store douches (kuosha sehemu nyeti kwa kutumia maji yaliyochanganywa na madawa), toilet paper zilizo na perfume, mipira (condoms), sabuni, kufukiza, vidonge vya kuzuia kupata mimba (contraceptive) n.k.

Condition nyingine inayoletea kuwashwa sehemu nyeti ni pamoja na Lichen Sclerosis - hii sababu hutokea kwa nadra sana ila, ikitokea mara nyingi kusababisha sehemu za uke/nyeti kupata vidoti doti (vikubwa/vidogo) vyeupe. Mara nyingi Lichen Sclerosis inatokea zaidi kwa wanawake walio pita menopause na huwa madoti hayo meupe hubakia kama makovu hata baada ya matibabu.

Hivyo matatizo ya kuwashwa sehemu nyeti ni kitu cha kawaida ILA, kama muwasho hauponi ni vizuri ukachukua tahadhari na kumwona dactari. Lakini mara nyingi miasho mingi ya sehemu nyeti huponyeshwa kwa kutumia antibiotics. Na pia ni vizuri kujua ni mwasho wa aina gani unaexperience sehemu zako za nyeti kwamaana wakati mwingine huweza kutumia vagina creams from over the counter (kwa kununua dukani tuu) na ukapona. Kama tatizo lako la kuwashwa sehemu nyeti ni kubwa, mara nyingi docta wako atashauri kuchukua vipimo vya mkojo na kufanya uchunguzi zaidi.


TIPS ZIFUATAZO NI ZA JINSI YA KUSAFISHA SEHEMU NYETI ILI KUZUIA/KUEPUSHA KUWASHWA

1. Osha sehemu za nje zaidi (vulva, clitoris, vagina lips) na sio ndani ya vagina kwasababu vagina yenyewe inauwezo wa kujiosha yenyewe wenzetu wa nnje husema (its a a self cleaning oven)

2. Osha sehemu nyeti mara moja kwa siku. Yaani kama umeamua kuosha ndani basi isiwe kila siku bali mara moja kwa siku.

3.Ukiwa kwenye period (siku za mwezi) ndo jaribu kuosha hata mara mbili haswa nje zaidi sio ndani labda mpaka utakapo maliza period (siku zako za mwezi)

4. Tumia mikono kujiosha na sio vitu kama taulo, kitambaa ama sponji.

5. Unapoosha na maji, usielekezee maji kwa juu moja kwa moja kwenye vagina bali elekezea maji kwa chini yaani yawe yanaosha kwa kwenda chini.

6. Hakikisha taulo unalotumia kujikaushia baada ya kujisafisha ni wewe tuu ndo mtumiaji wa taulo na sio taulo la kushea na watu wengine

7. Osha sehemu nyeti before na baada ya kufanya mapenzi

8. Ukienda choo kikubwa (kujisaidia) hakikisha unafuta kutoka kwenye vagina kwenda nyuma na sio nyuma kwenda kwenye vagina

9. Mara nyingi vaa chupi za zilizotengenezwa na pamba (cotton cloth)

10. Ukiwa mwezini, hakikisha unabadili pedi/tampon kila baada ya masaa 2 hadi 4 kwa siku

11. Ushauri mkuu unasema, kujamiiana wakati ukiwa mwezini ni nyia moja wapo kubwa inayosababisha infections hivyo ni vizuri kusubiri mpaka mwisho wa period. Chanzo.
NI KITU GANI HUSABABISHA KUWASHWA WASHWA SEHEMU ZA SIRI ZA WANAWAKE?
 
Last edited by a moderator:
Eeeh hizi mada zengine sijui nikushaurije ila nenda hochipital tafadhali utajua huko
 
Pole, ila jiandae, hapo kama ni hospital, gynaecologist lazima akutumbukize vidole na pia apapase papase kidogo hayo mashavu! Akikusisimua, jikaze kisabuni.

Haaaaa kutibu gani huko kwa kupapasana jamani! !!!!!!!!!
 
hapo sasa.....natamani ningekuwa mimi ndo nimepewa hiyo kandarasi.
maana hapo pooo ingetegemea na kupoa kwa mashavu husika....lakini bahati mbaya "upele humuota mtu asiye na kucha". meaning thta, mashavu humuwasha mtu asiye na kikunaji.

Mwenzio naumwa nduguu usilete utani ujueee! !!!
 
nakubaliana na option za Zamiluni Zamiluni lakini kabla hujatumia hayo yote hebu nenda hospital kwanza itakuwa ni infection hususani kama woete mlikuwa mnashare toilet for two weeks, possibly ukawa umepata infection

Yeah ukizingatia hiyo staili yenu ya kukojoa nyie ME mtu anasimama hapa kojo linaruka kuleee yani hata pa kukanyaga ilikua ni shida
 
Last edited by a moderator:
Pole sana hujui dawa.

Nshajua na kuanza kutumia hapa khali naona imeanza kutulia jana nlikua napost jf huku nipo maeneo ya duka la dawa kuna members walinishauri dawa ya kutumia kwakweli wabarikiwe mingi mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…