Nawasihi Watanzania tuache kujiteka

Kama hujawahi kuingia kwenye mikono ya polisi wa kitanzania una haki ya kuandika huu uchafu.

Shida ilianzia pale kwenye TANU YOUTH LEAGUE.
 
Nimeguswa sana na level ya unafiki uliojificha kwenye andiko lako.
 
Wananchi wana wajibu wa msingi na wa kwanza kabisa kujilinda. Polisi na vyombo vingine vya dola vinachukua nafasi ya pili, hivyo kuhitajika msaada wa wananchi.
Kwa hiyo, wananchi wasaidie polisi kupambana na watekaji kama wahalifu wengine.
Kwa teknolojia ya mawasiliano iliyopo, wananchi wanaweza kutoa msaada mkubwa kwa polisi.
 


Nesi mkunga ujiandae na Wewe kupewa million 35 zako za kujipongeza kwa kuvuta Bange iliyochangamka ikakupelekea ujitose baharini nna hakika ukipona pale Agha Khan Daktari Chura lazima akupongeze na Million 35 ukapige Bange zingine
 
Ama kweli bongo nyoooso.
 

Wambura aache ujinga. Hivi kweli kuna mtu au kundi la watu linaweza kutumia muda wake na resource zao kumkamata mtu Dar, wampeleke Arusha halafu kutoka Arusha waendeshe mpaka Sumbawanga ili kumuua mateka wao ....!! Utekaji Binafsi hauwezi kujiingiza kwenye gharama kubwa kama hizo bure .... lazima kuwe na faida.

Mtu au kikund cha watu wanapoamua kuua kuna onlu three motives; Money, Love or Revenge. Kwa yule bwana aliyetekwa na kwenda kupigiwa Risasi Katavi kulikuwa na motive gani.....!!?

Tuaasume anachokisema Wambura ni kweli ..... swali hapa, je jeshi la polisi liko wapi ...!!? Au linazidiwa maarifa na Watekaji? Kwa nini wameshindwa kusolve case yeyote ya utekaji....!!?
 
Naunga mkono hoja yani kwa ujanja ujanja wanajiteka hadi wanajipiga risasi na kujifunga pingu za polisi, na wengine kujiweka lock up za vituo vya polisi. Waache kujiteka.
Jamaa kasema vizuri tu mkuu kuwa jamaa wanajipenyeza wanaingia lock up wakati polisi wameenda kula. Hata yule mwingine alijivesha pingu polisi alikuwa amezisahau kwenye kiti
 
Hizi nazo ni akilizako kweli? Ivi unapoteza energy nyingi kuandika pumba kama izi kweli? Bora hata huo muda ungetumia kupiga nyeto ….. ivi unajua kujiteka wew au unaongea tu , tukikuliza ushahidi wa kujiteka utaweka hapa?
 
Ningetaka kukutukana lakini nikadhani aidha wewe ni msukule au askari polisi unayetumikia utumwa wa dola! Unalala kwenye yale mabanda ya kuku pale police line. Na ofisi yako ni pale OB ukinusa vinyesi na mikojo ya mahabusu muda wote! Ubongo wako umegeuka mavi na wenyewe!

Kama wambura kasema hivyo then ni wale wale wenye UNYANI "APEDOMIA"
Bado jamii tunaandaa risasi za kutosha kuwinda haya manyani wanaoteka watu wetu!
 
Hizi nazo ni akilizako kweli? Ivi unapoteza energy nyingi kuandika pumba kama izi kweli? Bora hata huo muda ungetumia kupiga nyeto ….. ivi unajua kujiteka wew au unaongea tu , tukikuliza ushahidi wa kujiteka utaweka hapa?
Umemuelewa vizuri mwandishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…