Nawasihi Watanzania tuache kujiteka

Save your breath brother, hujamuelewa,soma kwa utulivu utamuelewa vizuri.
 
Kwa hiyo hao watoto, kutia huyo wa miaka 12, walisemwa wametekwa kwa kupinga serikali au sababu za kisiasa? Usichanganye mambo, na usiamini kirahisi namna hiyo kile kinachosemwa na Polisi
 
Wale maabusu (chuma ulete wa polisi) mlioenda kuwaficha kwenye vituo vya pembezoni kupisha ziara ya IGP, Wamerudishwa?.
 
Kama hujawahi kuingia kwenye mikono ya polisi wa kitanzania una haki ya kuandika huu uchafu.

Shida ilianzia pale kwenye TANU YOUTH LEAGUE.
Itakuchukua Muda kuelewa maandiko yangu Kwa akili nyepesi.
 
ukipitia michango humu unapata kuelewa aina za akili za watanzania na uvivu wa kusoma na kuelewa jambo kabla ya kulitolea maoni.
Nikiandika Kwa ajili ya akili kubwa kama ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…