Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wache wajilee wenyewe kama wanayaweza hayo makubwa.Hivi nyie watoto mna waunderrate Wana uwezo wa kufanya makubwa
Hata akili zinarelax, wakikutana Form 5 au Chuo wanapelekwa vibaya sana na hao wa kayumba. Yani mtoto aliyesoma kayumba akifaulu ni amefaulu na anajua kweli.Mwenzie WA private school bus yambeba .Hahangaiki kutafuta material na tuition haendi walimu wake wanamwambia tulia tulichokufunza kinatosha .Relax
Mnadanganyana sasa hivi private sector wawekezaji ndio wanalipa vizuri mno kuliko serikali kwa graduates .Graduate flesh from school minimum salary private sector yaweza anzia milioni mbili na laki Tano wakati serikalini wengi wanaanzia laki saba Hadi Hadi milioni moja na laki mbili Kwa fresh graduate kutegemea faniHata akili zinarelax, wakikutana Form 5 au Chuo wanapelekwa vibaya sana na hao wa kayumba. Yani mtoto aliyesoma kayumba akifaulu ni amefaulu na anajua kweli.
Kuna ndugu yangu nilimshauri amuache mtoto wake hizo shule za kawaida ila azingatie kumpa mahitaji yote. Wakati wa likizo wenzie wakienda tuition na yeye anaenda. Yani form 4 alipasua vizuri kabisa kuliko hao wa English medium, sasa yupo form 6 PCB. Tunaamini ataendelea kufanya vizuri kwenye mtihani wa mwisho.
Kifupi kayumba watakuwa wapiga kura tu miaka nenda rudiHata akili zinarelax, wakikutana Form 5 au Chuo wanapelekwa vibaya sana na hao wa kayumba. Yani mtoto aliyesoma kayumba akifaulu ni amefaulu na anajua kweli.

Malengo tu ndio yanatofautiana. Wengine wanasoma ili waajiriwe na wengine wanasoma ili wajiajiri. Kupanga ni kuchagua hivyo kila mmoja achague njia yake anayoona inamfaa.Kifupi kayumba watakuwa wapiga kura tu miaka nenda rudi
Naongelea kusoma lugha na ukiwa na faniMalengo tu ndio yanatofautiana. Wengine wanasoma ili waajiriwe na wengine wanasoma ili wajiajiri. Kupanga ni kuchagua hivyo kila mmoja achague njia yake anayoona inamfaa.
Lakini pia unaweza kuwa mzungumzaji wa kiingereza lakini kichwani hamna kitu yaani maarifa hamna kabisa. Mfano, wote tunaongea kiswahili lakini wote hatuna maarifa sawa.

Labda nikunong'oneze wawekezaji wote wanaokuja Tanzania kazi hutoa Kwa watu wanaojua lugha yao vizuri hasa graduates wenye digriiMalengo tu ndio yanatofautiana. Wengine wanasoma ili waajiriwe na wengine wanasoma ili wajiajiri. Kupanga ni kuchagua hivyo kila mmoja achague njia yake anayoona inamfaa.
Lakini pia unaweza kuwa mzungumzaji wa kiingereza lakini kichwani hamna kitu yaani maarifa hamna kabisa. Mfano, wote tunaongea kiswahili lakini wote hatuna maarifa sawa.
Kupanga ni kuchagua ndugu. Mbona wengi tu walisoma hizo kayumba na wanaongea vizuri tu. Kwani nyakati hizi shida ni nini hadi wasiweze kuongea hiyo lugha.Labda nikunong'oneze wawekezaji wote wanaokuja Tanzania kazi hutoa Kwa watu wanaojua lugha yao vizuri hasa graduates wenye digrii
Mfano post ya kazi ikitangazwa na mwekezaji mwingereza,Mfaransa ,Mgerumani,mchina nk kama una digrii ya fani husika na unemalliza UDSM mfano kazi kupata dakika tu hata hawakuhoji uwezo wako kikazi watakupa on job training
Interview watakuhoji tu kilugha chao kuona kama on job training ya kilugha chao utaweza Wala hawakupi practical wanaamini tu UDSM kuwa ilikupika vizuri sababu mfano wachina wanafundisha kichina UDSM Kupitia kitivo Cha Confucius Institute Cha UDSM
Kuna mzazi mmoja niliwahi kumshauri awe makini na mienendo ya binti yake (alikuwa na miaka 14). Yule Mzazi alicheka kicheko cha dharau kilichoashiria kumuamini binti yake na kuniona kama nisiyejielewaStory ndefu sana ila cha kukusaidia ni kwamba kama mtoto wako ni ndezi ivyo usizani watoto wote watakua ivyo pole sana sisi tutapeleka tu kwenye izo shule za mamilioni ili watoto wapate elimu iliyo nzuri wewe kama wakwako amerithi umalaya wako pole sana kua mvumilivu.
Sina shida mzazi ndie anatakiwa aamue je mtoto wake anataka awe local product ya kutafuta ajira locally halmasgauri nk au anataka awe international product kutafuta ajira popote duniani?Kupanga ni kuchagua ndugu. Mbona wengi tu walisoma hizo kayumba na wanaongea vizuri tu. Kwani nyakati hizi shida ni nini hadi wasiweze kuongea hiyo lugha.
Hizo ni case peculiar na umbeya tu bwege wewe lofa usiye na pesaKuna mzazi mmoja niliwahi kumshauri awe makini na mienendo ya binti yake (alikuwa na miaka 14). Yule Mzazi alicheka kicheko cha dharau kilichoashiria kumuamini binti yake na kuniona kama nisiyejielewa
Huyu mzazi ni kiongozi wa kisiasa wa juu ngazi ya mkoa. Nyumba yake alivyoijenga ni aina ya zile nyumba ambazo baadhi ya vyumba watu wengine hawawezi kujua kinachoendelea ndani mpaka aende ndani na anayetoka halazimiki kupita sebuleni lakini nyumba haina uzio
Binti yake alikuwa analala peke yake chumbani na kutokana na ubize na muda wa wazazi wake kurudi haueleweki alikuwa na uwezo wa kutoka na kurudi usiku bila wazazi kujua
Wakati nampa tahadhari huyo mzazi, ni baada ya kukutana na binti yake zaidi ya mara tatu na wanaume tofauti maeneo hatarishi ikiwemo lodge. Hawa ni wanaume sio vijana wa umri wake
Mzazi alikuwa anajiamini na anaamini kabisa kwa namna alivyomlea binti yake hawezi kufanya upuuzi akiwa kidato cha tatu
Siku yalipomtokea puani ni siku ambayo binti alienda anakoenda na kuzamia huko huko! Yaani akiwa kidato cha nne alinogewa na dushe akaamua aishi nalo huko huko kwa takribani siku nne bila kurudi nyumbani (takribani miezi mitano baada ya mimi kumpa tahadhari)
Hapo wazazi wameshasumbua walimu na wanafunzi marafiki wa huyo binti vya kutosha, wamekagua kila aina ya maiti zilizokuwa mochwari, wamekagua kila aina ya wagonjwa mahututi, mahabusu, na kila ndugu kapigiwa simu
Baada ya siku tatu msg ikaingia kwenye simu ya Mama yake "Mama msinitafute mimi ni mzima na mnisamehe kwa kutoroka nyumbani"
Fikiria stress walizopata hao wazazi. Tusijiapize kwa hawa watoto kutuaibisha ni sekunde
Yaan sis tuwachungie watoto? Kwa salary ipi? Kila mtu achunge mzigo wake.Peleka boarding. Huko waalimu watasaidia kuchunga watoto.
Tatizo linaanzia hapo unapomuandaa mtoto wako kuajiriwa. Watu wanaajiriwa nje ya nchi lakini bado wanarudi nchini.Sina shida mzazi ndie anatakiwa aamue je mtoto wake anataka awe local product ya kutafuta ajira locally halmasgauri nk au anataka awe international product kutafuta ajira popote duniani?
Kila mzazi ampeleke mtoto wake shule anayoona inamfaa na anamudu gharama zake.Swala la maadili haijalishi mtoto anasoma private au shule za umma.Wazazi tutimize wajibu wetu kwa watoto.Shule ni shule.Yaan sis tuwachungie watoto? Kwa salary ipi? Kila mtu achunge mzigo wake.
Nakuona wewe mwenye pesa unajibizana na kina Dewji hapa kwenye huu mjadala. Kumbe siku hizi vichaa wenye machicha kichwani kama wewe badala ya ubongo wanaweza kuandika. Hongera kwa kufuga pipa lililojaa machicha badala ya kichwaHizo ni case peculiar na umbeya tu bwege wewe lofa usiye na pesa
Mo Dewji alisoma Bweni Toka ana miaka mitatu chekechea Arusha shule ya kimataifa ya Bweni na hajawahi soma day school na hajawahi haribika na mzazi Mzee Dewji hajawahi PATA stress same Kwa watoto wa Bahkresa wazazi hawajawahi PATA stress
Mtawachunga kwa lazima na ole wenu mlete ukumbafuYaan sis tuwachungie watoto? Kwa salary ipi? Kila mtu achunge mzigo wake.
Kuna mzazi mmoja niliwahi kumshauri awe makini na mienendo ya binti yake (alikuwa na miaka 14). Yule Mzazi alicheka kicheko cha dharau kilichoashiria kumuamini binti yake na kuniona kama nisiyejielewa
Huyu mzazi ni kiongozi wa kisiasa wa juu ngazi ya mkoa. Nyumba yake alivyoijenga ni aina ya zile nyumba ambazo baadhi ya vyumba watu wengine hawawezi kujua kinachoendelea ndani mpaka aende ndani na anayetoka halazimiki kupita sebuleni lakini nyumba haina uzio
Binti yake alikuwa analala peke yake chumbani na kutokana na ubize na muda wa wazazi wake kurudi haueleweki alikuwa na uwezo wa kutoka na kurudi usiku bila wazazi kujua
Wakati nampa tahadhari huyo mzazi, ni baada ya kukutana na binti yake zaidi ya mara tatu na wanaume tofauti maeneo hatarishi ikiwemo lodge. Hawa ni wanaume sio vijana wa umri wake
Mzazi alikuwa anajiamini na anaamini kabisa kwa namna alivyomlea binti yake hawezi kufanya upuuzi akiwa kidato cha tatu
Siku yalipomtokea puani ni siku ambayo binti alienda anakoenda na kuzamia huko huko! Yaani akiwa kidato cha nne alinogewa na dushe akaamua aishi nalo huko huko kwa takribani siku nne bila kurudi nyumbani (takribani miezi mitano baada ya mimi kumpa tahadhari)
Hapo wazazi wameshasumbua walimu na wanafunzi marafiki wa huyo binti vya kutosha, wamekagua kila aina ya maiti zilizokuwa mochwari, wamekagua kila aina ya wagonjwa mahututi, mahabusu, na kila ndugu kapigiwa simu
Baada ya siku tatu msg ikaingia kwenye simu ya Mama yake "Mama msinitafute mimi ni mzima na mnisamehe kwa kutoroka nyumbani"
Fikiria stress walizopata hao wazazi. Tusijiapize kwa hawa watoto kutuaibisha ni sekunde
Kweli kabsa mpaka mnaambiana yule na yule teacher mkuu anakula au wenyewe kwa wenyewe wanadudana.Imeandikwa kwa uelewa wa chini Sana. Tukiwa kayumba enzihizo mwalimu wa madhe alikuwa anakula karibu wadada wazuri wote darasani. Watatu walimaliza na mimba za kisiri Siri.
Mtoto maadili hajifunzi kayumba au green green. Anafundishwa nyumbani.
Mtoto apelekwe atakapopata elimu bora afunguke mapema kiuelewa. Sio Ile shule jirani yangu hapa. Darasani watoto 200 mwalimu wawili hadi uti wa mgongo wa ticha unacrack