Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

Mwenzie WA private school bus yambeba .Hahangaiki kutafuta material na tuition haendi walimu wake wanamwambia tulia tulichokufunza kinatosha .Relax
Hata akili zinarelax, wakikutana Form 5 au Chuo wanapelekwa vibaya sana na hao wa kayumba. Yani mtoto aliyesoma kayumba akifaulu ni amefaulu na anajua kweli.
Kuna ndugu yangu nilimshauri amuache mtoto wake hizo shule za kawaida ila azingatie kumpa mahitaji yote. Wakati wa likizo wenzie wakienda tuition na yeye anaenda. Yani form 4 alipasua vizuri kabisa kuliko hao wa English medium, sasa yupo form 6 PCB. Tunaamini ataendelea kufanya vizuri kwenye mtihani wa mwisho.
 
Mnadanganyana sasa hivi private sector wawekezaji ndio wanalipa vizuri mno kuliko serikali kwa graduates .Graduate flesh from school minimum salary private sector yaweza anzia milioni mbili na laki Tano wakati serikalini wengi wanaanzia laki saba Hadi Hadi milioni moja na laki mbili Kwa fresh graduate kutegemea fani

Oral Interview na written interview kama ya kujieleza ndio huangusha wengi waliosoma kayumba .Hopeless kingereza na lugha za kigeni zingine wako ziro

Wanagombania tu ajira za serikalini

Mwekezaji yeyote akija akiitisha ajira anafurahi sana akikuta mtu ana digrii na anaongea lugha ya kwake fluently

Kayumba kingereza tu mgogoro n

Wa kayumba akienda interview ze ze nyingi kingereza hawezi wakati kampuni za kimataifa waliowekeza Tanzania wenye matawi duniani kote kama za madini huhitaji MTU fluent kwa foreign languages kama kingereza , kifaransa,kiarabu na kichina

Hao WA.kayumba ni local product mzazi akisomesha kayumba anaendaa mtoto kiajiriwa halmashauri na manispaa local job makert ambayo tayari imejaa

Wanaosomesha shule za bei mbaya wanawaandaa kwa soko la ajira la kimataifa hata wote wasome Chuo kimoja UDSM mwingine katoka Kayumba mwingine shule za bei mbaya WA kayumba lugha Tu itakuwa haipandi kwenye interview ya ajira ya kampuni ya kimataifa

Ze ze ze zitakuwa nyingi mno hadi wafanya interview za kampuni za kimataifa wanakuwa wanamporomoshea matusi ya nguoni kimoyomoyo na marks za interview wote watampa zero kuwa wewe local product kajaribu ajira halmashauri wanalipa graduate laki Saba bwege wewe
Hata akili zinarelax, wakikutana Form 5 au Chuo wanapelekwa vibaya sana na hao wa kayumba. Yani mtoto aliyesoma kayumba akifaulu ni amefaulu na anajua kweli.
Kuna ndugu yangu nilimshauri amuache mtoto wake hizo shule za kawaida ila azingatie kumpa mahitaji yote. Wakati wa likizo wenzie wakienda tuition na yeye anaenda. Yani form 4 alipasua vizuri kabisa kuliko hao wa English medium, sasa yupo form 6 PCB. Tunaamini ataendelea kufanya vizuri kwenye mtihani wa mwisho.
Kifupi kayumba watakuwa wapiga kura tu miaka nenda rudi

Mihimili yote mawaziri ,majaji na wabunge , viongozi wakuu wa vyama vyote vya siasa iwe CCM, Chadema,Act wazalendo,CUF nk mbona watoto wao hawasomi kayumba bwege wewe kama huko Kuko vizuri Kwa Nini hawasomeshi watoto wao kayumba ?

Akili huna mjinga wewe

Endelea kusomesha mwanao kayumba aishie tu kuwa chawa wa waliosoma shule za kueleweka

Endelea kuandaa chawa wa kupigia makofi wa watoto waliosoma shule za kueleweka ambazo sio kayumba
 
Hata akili zinarelax, wakikutana Form 5 au Chuo wanapelekwa vibaya sana na hao wa kayumba. Yani mtoto aliyesoma kayumba akifaulu ni amefaulu na anajua kweli.
Kuna ndugu yangu nilimshauri amuache mtoto wake hizo shule za kawaida ila azingatie kumpa mahitaji yote. Wakati wa likizo wenzie wakienda tuition na yeye anaenda. Yani form 4 alipasua vizuri kabisa kuliko hao wa English medium, sasa yupo form 6 PCB. Tunaamini ataendelea kufanya vizuri kwenye mtihani wa mwisho.
Mnadanganyana sasa hivi private sector wawekezaji ndio wanalipa vizuri mno kuliko serikali kwa graduates .Graduate flesh from school minimum salary private sector yaweza anzia milioni mbili na laki Tano wakati serikalini wengi wanaanzia laki saba Hadi Hadi milioni moja na laki mbili Kwa fresh graduate kutegemea fani

Oral Interview na written interview kama ya kujieleza ndio huangusha wengi waliosoma kayumba .Hopeless kingereza na lugha za kigeni zingine wako ziro

Wanagombania tu ajira za serikalini

Mwekezaji yeyote akija akiitisha ajira anafurahi sana akikuta mtu ana digrii na anaongea lugha ya kwake fluently

Kayumba kingereza tu mgogoro ze ze ze nyingiiiii

Wa kayumba akienda interview ze ze nyingi kingereza hawezi wakati kampuni za kimataifa waliowekeza Tanzania wenye matawi duniani kote kama za madini huhitaji MTU fluent kwa foreign languages kama kingereza , kifaransa,kiarabu na kichina

Hao WA.kayumba ni local product mzazi akisomesha kayumba anaandaa mtoto kuajiriwa halmashauri na manispaa local job makert ambayo tayari imejaa

Wanaosomesha shule za bei mbaya wanawaandaa kwa soko la ajira la ndani na la kimataifa hata wote wasome Chuo kimoja UDSM mwingine katoka Kayumba mwingine shule za bei mbaya WA kayumba lugha Tu itakuwa haipandi kwenye interview ya ajira ya kampuni ya kimataifa

Ze ze ze zitakuwa nyingi mno hadi wafanya interview za kampuni za kimataifa wanakuwa wanamporomoshea matusi ya nguoni kimoyomoyo na marks za interview wote watampa zero kuwa wewe local product kajaribu ajira halmashauri wanalipa graduate laki Saba bwege wewe
Hata akili zinarelax, wakikutana Form 5 au Chuo wanapelekwa vibaya sana na hao wa kayumba. Yani mtoto aliyesoma kayumba akifaulu ni amefaulu na anajua kweli.
Kuna ndugu yangu nilimshauri amuache mtoto wake hizo shule za kawaida ila azingatie kumpa mahitaji yote. Wakati wa likizo wenzie wakienda tuition na yeye anaenda. Yani form 4 alipasua vizuri kabisa kuliko hao wa English medium, sasa yupo form 6 PCB. Tunaamini ataendelea kufanya vizuri kwenye mtihani wa mwisho.
Kifupi kayumba watakuwa wapiga kura tu miaka nenda rudi

Mihimili yote mawaziri ,majaji na wabunge , viongozi wakuu wa vyama vyote vya siasa iwe CCM, Chadema,Act wazalendo,CUF nk mbona watoto wao hawasomi kayumba bwege wewe kama huko Kuko vizuri Kwa Nini hawasomeshi watoto wao kayumba ?

Akili huna mjinga wewe
 
Kifupi kayumba watakuwa wapiga kura tu miaka nenda rudi
Malengo tu ndio yanatofautiana. Wengine wanasoma ili waajiriwe na wengine wanasoma ili wajiajiri. Kupanga ni kuchagua hivyo kila mmoja achague njia yake anayoona inamfaa.
Lakini pia unaweza kuwa mzungumzaji wa kiingereza lakini kichwani hamna kitu yaani maarifa hamna kabisa. Mfano, wote tunaongea kiswahili lakini wote hatuna maarifa sawa.
 
Naongelea kusoma lugha na ukiwa na fani

Wengi mfano waliosoma China mfano na injinia ni rahisi sana kufanya kazi popote duniani kama managers au directors Kwa mishahara ya kutishia minimum milioni mia moja Kwa mwezi

Kampuni za kimataifa za kifaransa kama za mafuta ziwe shell au Total ukijua lugha zao waweza pewa u kurugenzi kampuni ya total au Shell Kongo sio lazima ukae Tanzania hata kama uliajiriwa na hiyo kampuni Tanzania waweza kupeleka hata makao makuu ya kampuni ufaransa wakikupandisha cheo kuwa mkurugenzi mkuu wa makampuni ya Total au Shell bara la ulaya au ulimwenguni

Hiyo facility Aliyesoma kayumba hawezi PATA ataishia kuwa meneja kituo Cha mafuta Tanzania akilipwa million sana sana Tano wakati mwenzie wamemaliza wote UDSM analipwa milioni 150 Kwa mwezi akiwa makao makuu kisa tu yeye kifaransa Yuko fluent hakusoma shule ya kayumba japo wote walimaliza digrii ileile Mwaka mmoja
 
Labda nikunong'oneze wawekezaji wote wanaokuja Tanzania kazi hutoa Kwa watu wanaojua lugha yao vizuri hasa graduates wenye digrii

Mfano post ya kazi ikitangazwa na mwekezaji mwingereza,Mfaransa ,Mgerumani,mchina nk kama una digrii ya fani husika na unemalliza UDSM mfano kazi kupata dakika tu hata hawakuhoji uwezo wako kikazi watakupa on job training

Interview watakuhoji tu kilugha chao kuona kama on job training ya kilugha chao utaweza Wala hawakupi practical wanaamini tu UDSM kuwa ilikupika vizuri sababu mfano wachina wanafundisha kichina UDSM Kupitia kitivo Cha Confucius Institute Cha UDSM
 
Kupanga ni kuchagua ndugu. Mbona wengi tu walisoma hizo kayumba na wanaongea vizuri tu. Kwani nyakati hizi shida ni nini hadi wasiweze kuongea hiyo lugha.
 
Story ndefu sana ila cha kukusaidia ni kwamba kama mtoto wako ni ndezi ivyo usizani watoto wote watakua ivyo pole sana sisi tutapeleka tu kwenye izo shule za mamilioni ili watoto wapate elimu iliyo nzuri wewe kama wakwako amerithi umalaya wako pole sana kua mvumilivu.
Kuna mzazi mmoja niliwahi kumshauri awe makini na mienendo ya binti yake (alikuwa na miaka 14). Yule Mzazi alicheka kicheko cha dharau kilichoashiria kumuamini binti yake na kuniona kama nisiyejielewa

Huyu mzazi ni kiongozi wa kisiasa wa juu ngazi ya mkoa. Nyumba yake alivyoijenga ni aina ya zile nyumba ambazo baadhi ya vyumba watu wengine hawawezi kujua kinachoendelea ndani mpaka aende ndani na anayetoka halazimiki kupita sebuleni lakini nyumba haina uzio

Binti yake alikuwa analala peke yake chumbani na kutokana na ubize na muda wa wazazi wake kurudi haueleweki alikuwa na uwezo wa kutoka na kurudi usiku bila wazazi kujua

Wakati nampa tahadhari huyo mzazi, ni baada ya kukutana na binti yake zaidi ya mara tatu na wanaume tofauti maeneo hatarishi ikiwemo lodge. Hawa ni wanaume sio vijana wa umri wake

Mzazi alikuwa anajiamini na anaamini kabisa kwa namna alivyomlea binti yake hawezi kufanya upuuzi akiwa kidato cha tatu

Siku yalipomtokea puani ni siku ambayo binti alienda anakoenda na kuzamia huko huko! Yaani akiwa kidato cha nne alinogewa na dushe akaamua aishi nalo huko huko kwa takribani siku nne bila kurudi nyumbani (takribani miezi mitano baada ya mimi kumpa tahadhari)

Hapo wazazi wameshasumbua walimu na wanafunzi marafiki wa huyo binti vya kutosha, wamekagua kila aina ya maiti zilizokuwa mochwari, wamekagua kila aina ya wagonjwa mahututi, mahabusu, na kila ndugu kapigiwa simu

Baada ya siku tatu msg ikaingia kwenye simu ya Mama yake "Mama msinitafute mimi ni mzima na mnisamehe kwa kutoroka nyumbani"

Fikiria stress walizopata hao wazazi. Tusijiapize kwa hawa watoto kutuaibisha ni sekunde
 
Kupanga ni kuchagua ndugu. Mbona wengi tu walisoma hizo kayumba na wanaongea vizuri tu. Kwani nyakati hizi shida ni nini hadi wasiweze kuongea hiyo lugha.
Sina shida mzazi ndie anatakiwa aamue je mtoto wake anataka awe local product ya kutafuta ajira locally halmasgauri nk au anataka awe international product kutafuta ajira popote duniani?

Hayo maamuzi mzazi ndie anatakiwa kufanya kabla kuamua mtoto asome kayumba au la ?

Mzazi ndie mtengeneza future ya mtoto

Mzazi lazima azingatie Hilo kabla kumpeleka shule ya chekechea sababu hata serikalli inazo na kabla kumpeleka shule ya msingi je anataka kuzalisha local product au international product.makertable international ly ? Chekechea,msingi na secondary?

Uamuzi ni WA mzazi anataka Nini?
 
Kuna mzazi mmoja niliwahi kumshauri awe makini na mienendo ya binti yake (alikuwa na miaka 14). Yule Mzazi alicheka kicheko cha dharau kilichoashiria kumuamini binti yake na kuniona kama nisiyejielewa

Huyu mzazi ni kiongozi wa kisiasa wa juu ngazi ya mkoa. Nyumba yake alivyoijenga ni aina ya zile nyumba ambazo baadhi ya vyumba watu wengine hawawezi kujua kinachoendelea ndani mpaka aende ndani na anayetoka halazimiki kupita sebuleni lakini nyumba haina uzio

Binti yake alikuwa analala peke yake chumbani na kutokana na ubize na muda wa wazazi wake kurudi haueleweki alikuwa na uwezo wa kutoka na kurudi usiku bila wazazi kujua

Wakati nampa tahadhari huyo mzazi, ni baada ya kukutana na binti yake zaidi ya mara tatu na wanaume tofauti maeneo hatarishi ikiwemo lodge. Hawa ni wanaume sio vijana wa umri wake

Mzazi alikuwa anajiamini na anaamini kabisa kwa namna alivyomlea binti yake hawezi kufanya upuuzi akiwa kidato cha tatu

Siku yalipomtokea puani ni siku ambayo binti alienda anakoenda na kuzamia huko huko! Yaani akiwa kidato cha nne alinogewa na dushe akaamua aishi nalo huko huko kwa takribani siku nne bila kurudi nyumbani (takribani miezi mitano baada ya mimi kumpa tahadhari)

Hapo wazazi wameshasumbua walimu na wanafunzi marafiki wa huyo binti vya kutosha, wamekagua kila aina ya maiti zilizokuwa mochwari, wamekagua kila aina ya wagonjwa mahututi, mahabusu, na kila ndugu kapigiwa simu

Baada ya siku tatu msg ikaingia kwenye simu ya Mama yake "Mama msinitafute mimi ni mzima na mnisamehe kwa kutoroka nyumbani"

Fikiria stress walizopata hao wazazi. Tusijiapize kwa hawa watoto kutuaibisha ni sekunde
Hizo ni case peculiar na umbeya tu bwege wewe lofa usiye na pesa

Mo Dewji alisoma Bweni Toka ana miaka mitatu chekechea Arusha shule ya kimataifa ya Bweni na hajawahi soma day school na hajawahi haribika na mzazi Mzee Dewji hajawahi PATA stress same Kwa watoto wa Bahkresa wazazi hawajawahi PATA stress
 
Sina shida mzazi ndie anatakiwa aamue je mtoto wake anataka awe local product ya kutafuta ajira locally halmasgauri nk au anataka awe international product kutafuta ajira popote duniani?
Tatizo linaanzia hapo unapomuandaa mtoto wako kuajiriwa. Watu wanaajiriwa nje ya nchi lakini bado wanarudi nchini.
Ili ufanikiwe katika maisha ukiwa umeajiriwa lazima uwe mwizi katika eneo unalofanyia kazi.
Kwa hiyo mzazi anatakiwa kutumia hekima ya kuandaa watoto wake kama anavyotaka wawe.
Kwani ni wangapi walisoma hizo shule mwanzo mwisho lakini wanahangaika mtaani.
Angalia makampuni ya wahindi utakuta nafasi zote za kazi zenye mishahara muzuri wameajiri watoto wao. Wengine wataajiriwa kwenye vibarua na kazi za mikataba.
Tukiendelea na mitaala hii ya kutengeneza waajiriwa unafikiri nani atatengeneza ajira kwa ajili ya wengine.
 
Yaan sis tuwachungie watoto? Kwa salary ipi? Kila mtu achunge mzigo wake.
Kila mzazi ampeleke mtoto wake shule anayoona inamfaa na anamudu gharama zake.Swala la maadili haijalishi mtoto anasoma private au shule za umma.Wazazi tutimize wajibu wetu kwa watoto.Shule ni shule.
 
Hizo ni case peculiar na umbeya tu bwege wewe lofa usiye na pesa

Mo Dewji alisoma Bweni Toka ana miaka mitatu chekechea Arusha shule ya kimataifa ya Bweni na hajawahi soma day school na hajawahi haribika na mzazi Mzee Dewji hajawahi PATA stress same Kwa watoto wa Bahkresa wazazi hawajawahi PATA stress
Nakuona wewe mwenye pesa unajibizana na kina Dewji hapa kwenye huu mjadala. Kumbe siku hizi vichaa wenye machicha kichwani kama wewe badala ya ubongo wanaweza kuandika. Hongera kwa kufuga pipa lililojaa machicha badala ya kichwa
 
Haijalishi ndugu uzuri ni kwamba watoto hawafanani kama wewe wakwako alikua ivyo usizani watoto wote wako hivyo wewe pambana na wakwako na usimwamini kisha acha wengine pia wapambane na wakwao na wawa amini
Kuna mzazi mmoja niliwahi kumshauri awe makini na mienendo ya binti yake (alikuwa na miaka 14). Yule Mzazi alicheka kicheko cha dharau kilichoashiria kumuamini binti yake na kuniona kama nisiyejielewa

Huyu mzazi ni kiongozi wa kisiasa wa juu ngazi ya mkoa. Nyumba yake alivyoijenga ni aina ya zile nyumba ambazo baadhi ya vyumba watu wengine hawawezi kujua kinachoendelea ndani mpaka aende ndani na anayetoka halazimiki kupita sebuleni lakini nyumba haina uzio

Binti yake alikuwa analala peke yake chumbani na kutokana na ubize na muda wa wazazi wake kurudi haueleweki alikuwa na uwezo wa kutoka na kurudi usiku bila wazazi kujua

Wakati nampa tahadhari huyo mzazi, ni baada ya kukutana na binti yake zaidi ya mara tatu na wanaume tofauti maeneo hatarishi ikiwemo lodge. Hawa ni wanaume sio vijana wa umri wake

Mzazi alikuwa anajiamini na anaamini kabisa kwa namna alivyomlea binti yake hawezi kufanya upuuzi akiwa kidato cha tatu

Siku yalipomtokea puani ni siku ambayo binti alienda anakoenda na kuzamia huko huko! Yaani akiwa kidato cha nne alinogewa na dushe akaamua aishi nalo huko huko kwa takribani siku nne bila kurudi nyumbani (takribani miezi mitano baada ya mimi kumpa tahadhari)

Hapo wazazi wameshasumbua walimu na wanafunzi marafiki wa huyo binti vya kutosha, wamekagua kila aina ya maiti zilizokuwa mochwari, wamekagua kila aina ya wagonjwa mahututi, mahabusu, na kila ndugu kapigiwa simu

Baada ya siku tatu msg ikaingia kwenye simu ya Mama yake "Mama msinitafute mimi ni mzima na mnisamehe kwa kutoroka nyumbani"

Fikiria stress walizopata hao wazazi. Tusijiapize kwa hawa watoto kutuaibisha ni sekunde
 
Hii adithi ni ya kitoto sana, utafiti wako umeishia hapo? ST Kayumba hakuna watoto wenye tabia mbaya? Je wote waliosoma English medium uharibikia mashuleni?. Umasikini ni kitu kibaya sana na kibaya zaidi ni pale unapoingia kichwani, ni kama njaa, njaa ikishaingia kichwani ni ngumu kushiba.
 
Imeandikwa kwa uelewa wa chini Sana. Tukiwa kayumba enzihizo mwalimu wa madhe alikuwa anakula karibu wadada wazuri wote darasani. Watatu walimaliza na mimba za kisiri Siri.

Mtoto maadili hajifunzi kayumba au green green. Anafundishwa nyumbani.

Mtoto apelekwe atakapopata elimu bora afunguke mapema kiuelewa. Sio Ile shule jirani yangu hapa. Darasani watoto 200 mwalimu wawili hadi uti wa mgongo wa ticha unacrack
Kweli kabsa mpaka mnaambiana yule na yule teacher mkuu anakula au wenyewe kwa wenyewe wanadudana.
 
Back
Top Bottom