Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

We jamaa LIKUD watu watakuelewa tu pole pole. Haya mambo haya bwana!!.
Sema mimk wanangu primary nitasomesha private ila mbele huko ni kayumba tuuu, my first born tayar sekondari, ninamsimamia kwa karibu sana.
Hawa watoto wa sasa WENGI WAO ni kwel wako tofaut sana na sisi. Hawana sana interest na shule. Hata hawa unaoona wanasoma ninkwakua wamepelejwa mazingura ya shule bora zinazowa motivate kusoma, ila hawana ile personal motivation kama tuliokua nayo sisi ya kukesha miguu kwenye maji akisoma bila kusimamiwa.

Hawa watoto wetu wa leo hawana hii kitu kabisa. Jaoo siwashangai, maana kwasasa elimu nayo imechujwa sana viwango japo umuhimu wake unabaki pale , kuna sababu lukuki zinazowatazamisha kwenye kutopenda shule zaid kuliko kusoma.

Watoto wengi now days wanapenda skills na biashara kwakua kwasasa that is all life is about..
Kwahiyo kuna umuhim mkubwa sana wa kuwatzama na kuwasoma kuwajua wanataka kuelekea wapi zaid kuliko kutupa pesa blindly.
 
100% correct
 
KATI YA PESA NA ELIMU CHAGUA PESA ILA KATI YA AKILI NA PESA CHAGUA AKILI...mzazi mwenye akili uwekeza zaidi katika maendeleo ya mali na pesa kuliko elimu kisha elimu ndiyo inafuatia...ukimwona mzazi anawekeza kwenye mambo ya elimu za bei kubwa wakati familia wanaishi kwenye umasikini ujue huyo ni mpumbavu.
 
Wakuu tupunguze mizaa katika jumbe za kutufanya tupate kitu, watu tuna watoto na tunasomesha.. Huu ujumbe binafsi umeniogopesha sana hii case ya dizaini hii niliwahi kuisikia kwa mama mmoja analalamika kuwa alikakuta ka binti kake ka darasa la 3 kajiingiza vidole katika uchi wake yule mama alikua anakachungulia mlangoni aisee anasema aliishiwa nguvu na vitu alivokua anaviona kwa mwanae mwisho tuongeze umakini katika malezi dunia ya sasa sio kama ile vyakula mitindo ya kuishi ni tofauti kabisa na zamani.
 
Hata Mimi naunga mkono hoja,that is nonsense
 
Upo sahihi kabisa.Hizo shule zinahitaji mtoto awe na utulivu wa asili na akili za kujitambua.Na mihuni ikiwaona hao watoto hasa wa kike,inajua imepata vitonga.Free p tu!
Mleta mada tafuta pesa
Mtoto anastahili kupata kila kitu kizuri na classic kuanzia elimu Bora ya hadhi ya juu akisona na watoto WA hadhi ya juu awaze mawazo ya juu na kukataa umaskini mawazo ya chini na maisha ya chini hata akitaka kuoa au kuolewa anawinda WA juu Tu sio malofa

Pili usimpangie Mzazi mwingine matumizi ya pesa zake hangaika na zako za mwingine mwachie mwenyewe hayakuhusu lofa mkubwa wewe pambana na ulofa wako


Tatu kila Mzazi ahangaike na mwanawe wacha kuhangaika na watoto WA watu wengine bwege wewe

Una pepo la umaskini wewe mleta mada nenda Kwa Mwamposya akalitoe

Ulivyoabdika NI wazi kichwa chako kuna mambo yanakuchabganya umepigika kimaisha .Wahi Mirembe hospital ya vocha .Una dalili zote za kurukwa akili.Mtu akikusoma between the lines anajua wazi huko salama kichwani
 
Hata Mimi naunga mkono hoja,that is nonsense
Maskini mnavyofarijiana na umaskini wenu ohhh mtoto Bora kudomesha kayumba .Poleni

Ndio maana matajiri hukaa vikao vyao wenyewe Tu hawataki maskini awepo kwenye kikao na wao matajiri hawataki kushiriki kikao cha watu maskini

Wewe na mleta mada NI maskini

Maskini ndie hupoteza pesa .Tajiri hapotezi pesa anazo za kutosha na ziada juu .Tajiri matumizi sio issue Kwa maskini kama mleta mada na wewe ni issue sababu vipato vyenu dunia kiasi mnaona kutoa milioni kudomesha NI kama kujiua
 
Kuna shule moja ya gvt watoto wa advance wanaliwa na walimu wao mpka siyo poa.Yaan nikiona msichana kajiunga pale namhurumia. Nipo jirani na hiyo shule nashuhudia mambo mengi sana.
Uwepo wa P2 kwenye pharmacy umefuta kabisa kifungo cha miaka 30 jela
 
Usitake kulazimisha mawazo Yako yawe kama ya watu wengine,ingekuwa hivyo kusingekuwa na maendeleo au kungekuwa na maendeleo makubwa sana,maana tungekuwa tunawaza kitu kile kile.


By the way hao wazazi wa hao watoto Huwa wanakuomba ada? Acha kujipa umuhimu ambao haupo kwamba wewe ni mwamuzi wa shule zipi za kusomeshea watoto wetu.
 
Haina maana kwamba mwanao akisoma kayumba hataingia Kwny mahusiano Ondoa huo mtazamo potofu na hakuna uhusiano wowote wa private schools na mahusiano ya kimapenzi,watoto wetu siku hizi mabadiliko ya miili huanza mapema usiogope kuongea na mwanao juu ya elimu ya kijinsia kabla ya kudumbukia Kwny utitiri wa wapenzi.Hata kayumba ukiinda balaa kuna watoto wanaanza darasa la nne kabisa Tena na tumichepuko juu.Kosa la mzazi uliyesema ni kumnunulia simu mtoto mdogo wa Rika hilo Kwa kigezo Cha eti ya kusomea simu na kusomea tangu lini tuache uzungu Jamani waafrika hatuwezi kamharibu mtoto.
 
Ukiwa hauna hela vitu vya msingi unaona anasa tu yaani unakaa kujadili watoto wapate Elimu mbovu badala ya kusisitiza wapate Elimu bora kwenye shule bora..
Sahihi MTU akiwa Hana hela huwa na vi theory vya ajabu ajabu vya kimaskini mfano NI.mpeta mada
 
Kwanza faza utambue wazaz kweny hii genz wamechangia pakubwa sana kuharib watoto na kusema usasa imagine wengine tumetumia simu baad ya kumaliz form six lakin leo kitoto kipo la pili kina smart phone et usasa kanecheza game na bando kanawekewa wazaz mnaojiita wa kishua mmechangia pakubwa mno tena ukikgusa au kusem hiyo simu itunze mzaz wake anakujia juuu wew ndo baba ake wew unamlisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…