Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

We jamaa LIKUD watu watakuelewa tu pole pole. Haya mambo haya bwana!!.
Sema mimk wanangu primary nitasomesha private ila mbele huko ni kayumba tuuu, my first born tayar sekondari, ninamsimamia kwa karibu sana.
Hawa watoto wa sasa WENGI WAO ni kwel wako tofaut sana na sisi. Hawana sana interest na shule. Hata hawa unaoona wanasoma ninkwakua wamepelejwa mazingura ya shule bora zinazowa motivate kusoma, ila hawana ile personal motivation kama tuliokua nayo sisi ya kukesha miguu kwenye maji akisoma bila kusimamiwa.

Hawa watoto wetu wa leo hawana hii kitu kabisa. Jaoo siwashangai, maana kwasasa elimu nayo imechujwa sana viwango japo umuhimu wake unabaki pale , kuna sababu lukuki zinazowatazamisha kwenye kutopenda shule zaid kuliko kusoma.

Watoto wengi now days wanapenda skills na biashara kwakua kwasasa that is all life is about..
Kwahiyo kuna umuhim mkubwa sana wa kuwatzama na kuwasoma kuwajua wanataka kuelekea wapi zaid kuliko kutupa pesa blindly.
 
100% correct
 
Mnapoteza pesa zenu tu bure kuwasomesha hawa watoto ambao mnawaita zoomers Generation( Gen Z)

Nimewachunguza hawa watu. Nimeenda hadi chuo kimoja cha kati kusoma kozi ya miezi mitatu ili niwasome hawa viumbe.

They have cut from a very different cloth.

Don't waste your money please.

Wapeleke Kayumba wasimamie vizuri hadi wafikie viwango vya mwisho vya elimu yao ila wafundishe kuhusu skills za maisha...

Kuna brother mmoja mtaani kwetu leo kataka kumuua mtoto wake wa kike( kamsomesha English Medium kuanzia la kwanza hadi la saba) Sekondady anasoma shule ya private hapa mjini ambayo jamaa analipa mamilioni.

Mtoto yupo form two. She was born in 2010..

Jamaa alimnunulia mtoto wake simu ( smart phone)kwa ajili ya kuitumia kujisomea, kufuatia ombi la mtoto mwenyewe.

Usiku mtoto aliacha simu kwenye Chaja sebuleni, jamaa alichelewa kurudi nyumbani usiku siku hiyo alirudi saa 7, akakuta simu sebuleni akasema ngoja nitazame nione kama mtoto wangu kuna " vimtu " vinamsumbua. Alichokutana nacho hakuamini. Meseji anazo chati mtoto na wanaume. Wanafunzi wenzake kwa watu wazima. Mzee kupitia chati ambazo mtoto anachati na wenzake akagundua kumbe mtoto wake kabikiriwa tangu yupo darasa la sita. Na ana ex boyfriend kama watatu hivi na kuna watu wengine ana wafahamu kabisa ( vijana wa mtaani wanamuita shemeji)

Mtoto anachati na wanaume zaidi ya kumi kati ya hao zaidi watatu wameshamla kwa nyakati tofauti.. na siku hiyo alikuwa katoka kudinywa na jamaa . Mtoto anamsifia jamaa " mboo yake tamu" na jamaa sio mtoto mwenzake ni bodaboda.

Kuna meseji nyingine za whatsapp mtoto anachati na jamaa mtoto anamwambia jamaa amtumie picha ya dushe. Jamaa anatuma picha ya dushe mtoto anamwambia hiyo ni ndogo kwake. Jamaa anasema yani nilipo one hiyo meseji nilichanganyikiwa kaka kwa sababu huyo jamaa anae ambiwa dushe yake ndogo Mimi kaizidi yangu mara mbili kwa hiyo mtoto anabeba mizigo mikubwa kuzidi mama ake.

Isingekuwa kwa juhudi zangu jamaa leo mngemsoma kwa Millard Ayo.

Nimekaa nae nimempa somo kuhusu watoto wa kike wa kizazi hiki hadi ame elewa somo. Nimempa na mifano kabisa. Mfano wa kwanza ni binti yangu mwenyewe ( kazaliwa 2007) niligundua ana boyfriend wakati yupo form two. Bahati nzuri alikuwa mwanafunzi mwenzake. Na nilimsomesha shule za mamilioni. Niliukubali ukweli nika move on. Sasa hivi hata akiniambia " baba nataka kwenda Kariakoo kununua urembo" Namwambia nenda lakini uwe umerudi kabla ya saa moja usiku. Na hapo ni saa2 asubuhi. Najua haendi Kariakoo wala nini. Anaenda kupelekewa moto. Akirudi atafanya kazi za nyumbani siku hiyo kama House girl vile.. Huu ni uhalisia ambao hatuwezi kuukwepa...

Jamaa kakubali kumsamehe mtoto wake ila anamuhamisha anampeleka shule ya kata na leo mtoto anapelekwa hospitali kupimwa kama ana magonjwa makubwa ya kuambukizwa...

Narudia tena wazazi wenye vipato vya kati ambao mna watoto waliozaliwa miaka ya elfu2, msijitese kutumia mamilioni kuwasomesha watoto wenu ENGLISH mediums. Mtaishia kujuta hapo baadae. Mfumo huo wa maisha ( kumsomesha mtoto shule ili aje awe mtu fulani sasa hivi sio valid tena)

Hiyo pesa bora wekeza kwenye assets. Msomeshe shule za kawaida. Msimamie. Mfundishe skills za maisha. Utakuja kunishukuru baadae..

Usijitese. Usiache kufurahia kwa sababu eti unatupa hela kwenye akaunti ya Mr. MGETTA in the name of Mgetta English Medium Nursery and Primary School.

Hujazaliwa ili uteseke. Usisahau kuishi. Kuna watu mpaka eti wanauza nyumba ili wawalipie watoto wao English Mediums.Duuh

Shule za English Mediums hazina umuhimu wowote kwenye maisha ya mtoto wako. Umuhimu umetengenezwa na Wamiliki wa shule hizo ili waweze kupata sababu ya kuchukua mamilioni kutoka kwako...
KATI YA PESA NA ELIMU CHAGUA PESA ILA KATI YA AKILI NA PESA CHAGUA AKILI...mzazi mwenye akili uwekeza zaidi katika maendeleo ya mali na pesa kuliko elimu kisha elimu ndiyo inafuatia...ukimwona mzazi anawekeza kwenye mambo ya elimu za bei kubwa wakati familia wanaishi kwenye umasikini ujue huyo ni mpumbavu.
 
Wakuu tupunguze mizaa katika jumbe za kutufanya tupate kitu, watu tuna watoto na tunasomesha.. Huu ujumbe binafsi umeniogopesha sana hii case ya dizaini hii niliwahi kuisikia kwa mama mmoja analalamika kuwa alikakuta ka binti kake ka darasa la 3 kajiingiza vidole katika uchi wake yule mama alikua anakachungulia mlangoni aisee anasema aliishiwa nguvu na vitu alivokua anaviona kwa mwanae mwisho tuongeze umakini katika malezi dunia ya sasa sio kama ile vyakula mitindo ya kuishi ni tofauti kabisa na zamani.
 
Mnapoteza pesa zenu tu bure kuwasomesha hawa watoto ambao mnawaita zoomers Generation( Gen Z)

Nimewachunguza hawa watu. Nimeenda hadi chuo kimoja cha kati kusoma kozi ya miezi mitatu ili niwasome hawa viumbe.

They have cut from a very different cloth.

Don't waste your money please.

Wapeleke Kayumba wasimamie vizuri hadi wafikie viwango vya mwisho vya elimu yao ila wafundishe kuhusu skills za maisha...

Kuna brother mmoja mtaani kwetu leo kataka kumuua mtoto wake wa kike( kamsomesha English Medium kuanzia la kwanza hadi la saba) Sekondady anasoma shule ya private hapa mjini ambayo jamaa analipa mamilioni.

Mtoto yupo form two. She was born in 2010..

Jamaa alimnunulia mtoto wake simu ( smart phone)kwa ajili ya kuitumia kujisomea, kufuatia ombi la mtoto mwenyewe.

Usiku mtoto aliacha simu kwenye Chaja sebuleni, jamaa alichelewa kurudi nyumbani usiku siku hiyo alirudi saa 7, akakuta simu sebuleni akasema ngoja nitazame nione kama mtoto wangu kuna " vimtu " vinamsumbua. Alichokutana nacho hakuamini. Meseji anazo chati mtoto na wanaume. Wanafunzi wenzake kwa watu wazima. Mzee kupitia chati ambazo mtoto anachati na wenzake akagundua kumbe mtoto wake kabikiriwa tangu yupo darasa la sita. Na ana ex boyfriend kama watatu hivi na kuna watu wengine ana wafahamu kabisa ( vijana wa mtaani wanamuita shemeji)

Mtoto anachati na wanaume zaidi ya kumi kati ya hao zaidi watatu wameshamla kwa nyakati tofauti.. na siku hiyo alikuwa katoka kudinywa na jamaa . Mtoto anamsifia jamaa " mboo yake tamu" na jamaa sio mtoto mwenzake ni bodaboda.

Kuna meseji nyingine za whatsapp mtoto anachati na jamaa mtoto anamwambia jamaa amtumie picha ya dushe. Jamaa anatuma picha ya dushe mtoto anamwambia hiyo ni ndogo kwake. Jamaa anasema yani nilipo one hiyo meseji nilichanganyikiwa kaka kwa sababu huyo jamaa anae ambiwa dushe yake ndogo Mimi kaizidi yangu mara mbili kwa hiyo mtoto anabeba mizigo mikubwa kuzidi mama ake.

Isingekuwa kwa juhudi zangu jamaa leo mngemsoma kwa Millard Ayo.

Nimekaa nae nimempa somo kuhusu watoto wa kike wa kizazi hiki hadi ame elewa somo. Nimempa na mifano kabisa. Mfano wa kwanza ni binti yangu mwenyewe ( kazaliwa 2007) niligundua ana boyfriend wakati yupo form two. Bahati nzuri alikuwa mwanafunzi mwenzake. Na nilimsomesha shule za mamilioni. Niliukubali ukweli nika move on. Sasa hivi hata akiniambia " baba nataka kwenda Kariakoo kununua urembo" Namwambia nenda lakini uwe umerudi kabla ya saa moja usiku. Na hapo ni saa2 asubuhi. Najua haendi Kariakoo wala nini. Anaenda kupelekewa moto. Akirudi atafanya kazi za nyumbani siku hiyo kama House girl vile.. Huu ni uhalisia ambao hatuwezi kuukwepa...

Jamaa kakubali kumsamehe mtoto wake ila anamuhamisha anampeleka shule ya kata na leo mtoto anapelekwa hospitali kupimwa kama ana magonjwa makubwa ya kuambukizwa...

Narudia tena wazazi wenye vipato vya kati ambao mna watoto waliozaliwa miaka ya elfu2, msijitese kutumia mamilioni kuwasomesha watoto wenu ENGLISH mediums. Mtaishia kujuta hapo baadae. Mfumo huo wa maisha ( kumsomesha mtoto shule ili aje awe mtu fulani sasa hivi sio valid tena)

Hiyo pesa bora wekeza kwenye assets. Msomeshe shule za kawaida. Msimamie. Mfundishe skills za maisha. Utakuja kunishukuru baadae..

Usijitese. Usiache kufurahia kwa sababu eti unatupa hela kwenye akaunti ya Mr. MGETTA in the name of Mgetta English Medium Nursery and Primary School.

Hujazaliwa ili uteseke. Usisahau kuishi. Kuna watu mpaka eti wanauza nyumba ili wawalipie watoto wao English Mediums.Duuh

Shule za English Mediums hazina umuhimu wowote kwenye maisha ya mtoto wako. Umuhimu umetengenezwa na Wamiliki wa shule hizo ili waweze kupata sababu ya kuchukua mamilioni kutoka kwako...
Hata Mimi naunga mkono hoja,that is nonsense
 
Upo sahihi kabisa.Hizo shule zinahitaji mtoto awe na utulivu wa asili na akili za kujitambua.Na mihuni ikiwaona hao watoto hasa wa kike,inajua imepata vitonga.Free p tu!
Mleta mada tafuta pesa
Mtoto anastahili kupata kila kitu kizuri na classic kuanzia elimu Bora ya hadhi ya juu akisona na watoto WA hadhi ya juu awaze mawazo ya juu na kukataa umaskini mawazo ya chini na maisha ya chini hata akitaka kuoa au kuolewa anawinda WA juu Tu sio malofa

Pili usimpangie Mzazi mwingine matumizi ya pesa zake hangaika na zako za mwingine mwachie mwenyewe hayakuhusu lofa mkubwa wewe pambana na ulofa wako

Tatu kila Mzazi ahangaike na mwanawe wacha kuhangaika na watoto WA watu wengine bwege wewe

Una pepo la umaskini wewe mleta mada nenda Kwa Mwamposya akalitoe

Ulivyoabdika NI wazi kichwa chako kuna mambo yanakuchabganya umepigika kimaisha .Wahi Mirembe hospital ya vocha .Una dalili zote za kurukwa akili.Mtu akikusoma between the lines anajua wazi huko salama kichwani
 
Hata Mimi naunga mkono hoja,that is nonsense
Maskini mnavyofarijiana na umaskini wenu ohhh mtoto Bora kudomesha kayumba .Poleni

Ndio maana matajiri hukaa vikao vyao wenyewe Tu hawataki maskini awepo kwenye kikao na wao matajiri hawataki kushiriki kikao cha watu maskini

Wewe na mleta mada NI maskini

Maskini ndie hupoteza pesa .Tajiri hapotezi pesa anazo za kutosha na ziada juu .Tajiri matumizi sio issue Kwa maskini kama mleta mada na wewe ni issue sababu vipato vyenu dunia kiasi mnaona kutoa milioni kudomesha NI kama kujiua
 
Kuna shule moja ya gvt watoto wa advance wanaliwa na walimu wao mpka siyo poa.Yaan nikiona msichana kajiunga pale namhurumia. Nipo jirani na hiyo shule nashuhudia mambo mengi sana.
Uwepo wa P2 kwenye pharmacy umefuta kabisa kifungo cha miaka 30 jela
 
Mnapoteza pesa zenu tu bure kuwasomesha hawa watoto ambao mnawaita zoomers Generation( Gen Z)

Nimewachunguza hawa watu. Nimeenda hadi chuo kimoja cha kati kusoma kozi ya miezi mitatu ili niwasome hawa viumbe.

They have cut from a very different cloth.

Don't waste your money please.

Wapeleke Kayumba wasimamie vizuri hadi wafikie viwango vya mwisho vya elimu yao ila wafundishe kuhusu skills za maisha...

Kuna brother mmoja mtaani kwetu leo kataka kumuua mtoto wake wa kike( kamsomesha English Medium kuanzia la kwanza hadi la saba) Sekondady anasoma shule ya private hapa mjini ambayo jamaa analipa mamilioni.

Mtoto yupo form two. She was born in 2010..

Jamaa alimnunulia mtoto wake simu ( smart phone)kwa ajili ya kuitumia kujisomea, kufuatia ombi la mtoto mwenyewe.

Usiku mtoto aliacha simu kwenye Chaja sebuleni, jamaa alichelewa kurudi nyumbani usiku siku hiyo alirudi saa 7, akakuta simu sebuleni akasema ngoja nitazame nione kama mtoto wangu kuna " vimtu " vinamsumbua. Alichokutana nacho hakuamini. Meseji anazo chati mtoto na wanaume. Wanafunzi wenzake kwa watu wazima. Mzee kupitia chati ambazo mtoto anachati na wenzake akagundua kumbe mtoto wake kabikiriwa tangu yupo darasa la sita. Na ana ex boyfriend kama watatu hivi na kuna watu wengine ana wafahamu kabisa ( vijana wa mtaani wanamuita shemeji)

Mtoto anachati na wanaume zaidi ya kumi kati ya hao zaidi watatu wameshamla kwa nyakati tofauti.. na siku hiyo alikuwa katoka kudinywa na jamaa . Mtoto anamsifia jamaa " mboo yake tamu" na jamaa sio mtoto mwenzake ni bodaboda.

Kuna meseji nyingine za whatsapp mtoto anachati na jamaa mtoto anamwambia jamaa amtumie picha ya dushe. Jamaa anatuma picha ya dushe mtoto anamwambia hiyo ni ndogo kwake. Jamaa anasema yani nilipo one hiyo meseji nilichanganyikiwa kaka kwa sababu huyo jamaa anae ambiwa dushe yake ndogo Mimi kaizidi yangu mara mbili kwa hiyo mtoto anabeba mizigo mikubwa kuzidi mama ake.

Isingekuwa kwa juhudi zangu jamaa leo mngemsoma kwa Millard Ayo.

Nimekaa nae nimempa somo kuhusu watoto wa kike wa kizazi hiki hadi ame elewa somo. Nimempa na mifano kabisa. Mfano wa kwanza ni binti yangu mwenyewe ( kazaliwa 2007) niligundua ana boyfriend wakati yupo form two. Bahati nzuri alikuwa mwanafunzi mwenzake. Na nilimsomesha shule za mamilioni. Niliukubali ukweli nika move on. Sasa hivi hata akiniambia " baba nataka kwenda Kariakoo kununua urembo" Namwambia nenda lakini uwe umerudi kabla ya saa moja usiku. Na hapo ni saa2 asubuhi. Najua haendi Kariakoo wala nini. Anaenda kupelekewa moto. Akirudi atafanya kazi za nyumbani siku hiyo kama House girl vile.. Huu ni uhalisia ambao hatuwezi kuukwepa...

Jamaa kakubali kumsamehe mtoto wake ila anamuhamisha anampeleka shule ya kata na leo mtoto anapelekwa hospitali kupimwa kama ana magonjwa makubwa ya kuambukizwa...

Narudia tena wazazi wenye vipato vya kati ambao mna watoto waliozaliwa miaka ya elfu2, msijitese kutumia mamilioni kuwasomesha watoto wenu ENGLISH mediums. Mtaishia kujuta hapo baadae. Mfumo huo wa maisha ( kumsomesha mtoto shule ili aje awe mtu fulani sasa hivi sio valid tena)

Hiyo pesa bora wekeza kwenye assets. Msomeshe shule za kawaida. Msimamie. Mfundishe skills za maisha. Utakuja kunishukuru baadae..

Usijitese. Usiache kufurahia kwa sababu eti unatupa hela kwenye akaunti ya Mr. MGETTA in the name of Mgetta English Medium Nursery and Primary School.

Hujazaliwa ili uteseke. Usisahau kuishi. Kuna watu mpaka eti wanauza nyumba ili wawalipie watoto wao English Mediums.Duuh

Shule za English Mediums hazina umuhimu wowote kwenye maisha ya mtoto wako. Umuhimu umetengenezwa na Wamiliki wa shule hizo ili waweze kupata sababu ya kuchukua mamilioni kutoka kwako...
Usitake kulazimisha mawazo Yako yawe kama ya watu wengine,ingekuwa hivyo kusingekuwa na maendeleo au kungekuwa na maendeleo makubwa sana,maana tungekuwa tunawaza kitu kile kile.

By the way hao wazazi wa hao watoto Huwa wanakuomba ada? Acha kujipa umuhimu ambao haupo kwamba wewe ni mwamuzi wa shule zipi za kusomeshea watoto wetu.
 
Haina maana kwamba mwanao akisoma kayumba hataingia Kwny mahusiano Ondoa huo mtazamo potofu na hakuna uhusiano wowote wa private schools na mahusiano ya kimapenzi,watoto wetu siku hizi mabadiliko ya miili huanza mapema usiogope kuongea na mwanao juu ya elimu ya kijinsia kabla ya kudumbukia Kwny utitiri wa wapenzi.Hata kayumba ukiinda balaa kuna watoto wanaanza darasa la nne kabisa Tena na tumichepuko juu.Kosa la mzazi uliyesema ni kumnunulia simu mtoto mdogo wa Rika hilo Kwa kigezo Cha eti ya kusomea simu na kusomea tangu lini tuache uzungu Jamani waafrika hatuwezi kamharibu mtoto.
 
Ukiwa hauna hela vitu vya msingi unaona anasa tu yaani unakaa kujadili watoto wapate Elimu mbovu badala ya kusisitiza wapate Elimu bora kwenye shule bora..
Sahihi MTU akiwa Hana hela huwa na vi theory vya ajabu ajabu vya kimaskini mfano NI.mpeta mada
 
Kwanza faza utambue wazaz kweny hii genz wamechangia pakubwa sana kuharib watoto na kusema usasa imagine wengine tumetumia simu baad ya kumaliz form six lakin leo kitoto kipo la pili kina smart phone et usasa kanecheza game na bando kanawekewa wazaz mnaojiita wa kishua mmechangia pakubwa mno tena ukikgusa au kusem hiyo simu itunze mzaz wake anakujia juuu wew ndo baba ake wew unamlisha
 
Back
Top Bottom