Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

Sawa
 
Sawa ngosha
 
You are the true son of your father. Asante kwa kunisaidia kumuelewesha huyo jamaa.
 
You are the true son of your father. Asante kwa kunisaidia kumuelewesha huyo jamaa.
 
Jamaa anapoint naye asikilizwe
 
Ukiwa hauna hela vitu vya msingi unaona anasa tu yaani unakaa kujadili watoto wapate Elimu mbovu badala ya kusisitiza wapate Elimu bora kwenye shule bora..
Mbona mleta mada akusema hivyo ..kasome tena hakusema kuwa elimu bora au shule bora siyo muhimu ...mfano wewe unayo fsmilia na chakula cha mchana mnatumia sh10000 ila mtoto wako mmoja ni mgonjwa na anatakiwa kupata dawa za sh 10000 na hauna pesa nyingine je utafuta mlo wa mchana kwa siku hiyo ili kumtibia mtoto wako kwa hiyo sh 10000 au utaacha kumtibia na kununua mlo wa mchana? Bila shaka utaacha familia wakose mlo mmoja wa mchana na kufanikisha matibabu ya mtoto mgonjwa hii ndiyo logic ya huu uzi ...pesa unayotumia kwenye shule za kulipia ukichukua robo tu inatosha kumfanya mtoto wako kusoma kifalme kwenye shule za serikali na kufanya vizuri kimasomo kutokana na hiyo pesa....kumnunulia vitu vyote vyema vya masomo kama vitabu.. gambuti za mvua... koti la mvua hata na baiskeli ya kuendea shule instead of school bus.
 
Nakazia
 
mimi naona kumsomesha mtoto shule za mamilioni hakuna maana kabisa kwasabab kwanza zile shule zinadumaza thinking capacity ya wastoto wetu kwa sababu zile shule wanatafuniwa kila kitu jamani mtoto anafika chuokikuu anajua kingereza tu lakini hana akili kabisa darasani uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana jamani
 
Uko sahihi sehemu kubwa. Ila tusikwepe kuwafundisha watoto wetu elimu ya ngono. Akienda kufundishwa shule pamoja na walimwengu elimu inakuwa kwa vitendo tofauti na mzazi. Watoto wanafundishwa reproduction/elimu ya mfumo wa uzazi wakiwa darasa la nne. Yale ambayo wazazi tunahisi hawajui bado wadogo wanayajua kabla hata hawajafikisha miaka kumi. Mkipita baba na mama wanawachora tu wanajua kuwa mnafanyana.

TV na vipindi vyake vinavuruga sana mambo. Elimu inayotolewa humo ni advanced mno. Utakwepa kumpeleka Medium schools lakini atajufunza sebuleni kwako na atapractice na mtoto wa jirani. Ukimpeleka shule za kata yupo mwalimu shababi atamharibu.

Timiza wajibu wako kama uwezo unaruhusu mpeleke shule nzuri kisha weka huo usimamizi unaosema. Wajibika kama mzazi na mengine mkabidhi mikononi mwa Mungu. Maharamia wanaoharibu watoto wako kila sehemu. Kuanzia kwenye nyumba zetu, mtaani, shule na hata makanisani. So kusema kupeleka Medium schools itakuwa ni kupoteza pesa hapana ndugu mzazi. Peleka akasome huko kama una uwezo. Communication skills kwa dunia ya sasa ni muhimu sana kuliko hata ajira yenyewe.

Form two kumpa simu mtoto wa miaka 14 ni kumuendekeza na kumletea matatizo ambayo mzazi atajilaumu mwenyewe. Unapompa simu unarahisha kutongozwa na kupatikana na haishangazi akiwa na wanaume kumi. Kutompa simu kungepunguza idadi ya wanaume na upatikanaji wake. Simu iliyopo nyumbani inatosha kuwasiliana naye. Huyo bwana anavuna alichopanda. Hakuna uhuru usio na mipaka. My daughter vipindi vya kwenye king'amuzi cha kisauzi vilitosha kumfundisha ushenzi while she is just 10 yrs of age. Nimeblock Channel zote kwa hasira.

Baada ya hapo nikataka kupima uelewa wao wa mambo ya ngono kwa kuwapa Quiz kwa kuwa nina kwaida ya kuwafundisha. Maswali kama How can you avoid HIV transmission jibu mojawapo lilikuwa avoid sexual intercoarse na huyo ana miaka 8 nikajua nimekwisha.

Tuwafundishe watoto maswala ya ngono na athari zake kulingana na umri wao. Vinginevyo tutaanza kuwafundisha kwa kuchelewa tukitumia viboko wakati tayari ameshaonja utamu umemkaa kwenye ubongo. Huyo hawezi kukuelewa atakuona mzazi mmoja katili sana na anakuwa tayari kutoroka nyumbani asikuone tena.
 
Achana na matajiri wewe tajiri hawezi waza kimaskini hivyo eti umnunulie mtoto baiskeli ya kwenda shule na kurudi Una mawazo ya kimaskini mno

Ona hawa matajiri WA Kenya shule zimefunga midterm wameenda kufuata watoto wao na helicopter binafsi hawa utawashauri huo ujinga wako WA eti watumie hata robo Tu ya pesa wanazolipa wawanulie watoto madaftari na baiskeli

Aisee kakeshe kanisani ukiomba Mungu akuondolee umaskini na mawazo ya kimaskini


View: https://youtu.be/KDJ0Ir28J8Q?si=UwOB6Is7xUbed28u
 
T
Tumia akili wewe fala mleta uzi amesema wazi kuwa familia za uwezo wa chini ndiyo ziwe makini kusomesha watoto kwenye shule za gharama kubwa ...foolish
 
[emoji7][emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…