Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

Mzee kwan mtaala wa elimu umebadilika kias hicho? 90% ya ulioyasoma na ndio hayo wanasoma tena wao yamepungua viwango. Mtihani wa mathematics wa form 2 leo hii sis ndio zilikua test za form 1.
Acha uongo,mitaala ya ya sasa imeboreshwa hasa kwenye sayansi kwani Kuna mambo yamebadilika sana.
 
Halafu shule bora kwa mtazamo wangu sio zenye gharama kubwa au zilizofaulisha.Mimi huwa nampeleka shule mtoto zile shule za kati yaani zenye ufaulu wa division 1 ,2 ,3 ,4 na hata zero kwa uwiono.Ili awe na network ya kila Aina ya watu na shule ya namna hii ndio iliyofundisha sasa.
 
T

Tumia akili wewe fala mleta uzi amesema wazi kuwa familia za uwezo wa chini ndiyo ziwe makini kusomesha watoto kwenye shule za gharama kubwa ...foolish
Kipato cha chini anawezaje kusomesha shule ya gharama kubwa? Wewe ndie kichwani hazimo

Kinachoamua MTU asome shule ya gharama kubwa NI kipato

Unashaurije sasa MTU mwenye kipato kidogo asisomeshe shule ya gharama kubwa wakati kipato chake hakiruhusu

NI paradox ushauri wako umekaa kibwege

MTU akisonesha shule ya gharama kubwa ujue kipato chake zinaruhusu sababu kule hawasoneshi bure

Huo ushauri NI hewa hakuna mwenye kipato kidogo awezae somesha shule ya gharama kubwa
 
Mnapoteza pesa zenu tu bure kuwasomesha hawa watoto ambao mnawaita zoomers Generation (Gen Z)

Nimewachunguza hawa watu. Nimeenda hadi chuo kimoja cha kati kusoma kozi ya miezi mitatu ili niwasome hawa viumbe.

They have cut from a very different cloth.

Don't waste your money please.

Wapeleke Kayumba wasimamie vizuri hadi wafikie viwango vya mwisho vya elimu yao ila wafundishe kuhusu skills za maisha...

Kuna brother mmoja mtaani kwetu leo kataka kumuua mtoto wake wa kike(kamsomesha English Medium kuanzia la kwanza hadi la saba) Sekondary anasoma shule ya private hapa mjini ambayo jamaa analipa mamilioni.

Mtoto yupo form two. She was born in 2010..

Jamaa alimnunulia mtoto wake simu (smart phone)kwa ajili ya kuitumia kujisomea, kufuatia ombi la mtoto mwenyewe.

Usiku mtoto aliacha simu kwenye Chaja sebuleni, jamaa alichelewa kurudi nyumbani usiku siku hiyo alirudi saa 7, akakuta simu sebuleni akasema ngoja nitazame nione kama mtoto wangu kuna " vimtu " vinamsumbua.

Alichokutana nacho hakuamini. Meseji anazo chati mtoto na wanaume. Wanafunzi wenzake kwa watu wazima. Mzee kupitia chati ambazo mtoto anachati na wenzake akagundua kumbe mtoto wake kabikiriwa tangu yupo darasa la sita. Na ana ex boyfriend kama watatu hivi na kuna watu wengine ana wafahamu kabisa (vijana wa mtaani wanamuita shemeji)

Mtoto anachati na wanaume zaidi ya kumi kati ya hao zaidi watatu wameshamla kwa nyakati tofauti.. na siku hiyo alikuwa katoka kudinywa na jamaa . Mtoto anamsifia jamaa " mboo yake tamu" na jamaa sio mtoto mwenzake ni bodaboda.

Kuna meseji nyingine za WhatsApp mtoto anachati na jamaa mtoto anamwambia jamaa amtumie picha ya dushe. Jamaa anatuma picha ya dushe mtoto anamwambia hiyo ni ndogo kwake. Jamaa anasema yani nilipoona hiyo meseji nilichanganyikiwa kaka kwa sababu huyo jamaa anae ambiwa dushe yake ndogo Mimi kaizidi yangu mara mbili kwa hiyo mtoto anabeba mizigo mikubwa kuzidi mama yake.

Isingekuwa kwa juhudi zangu jamaa leo mngemsoma kwa Millard Ayo.

Nimekaa nae nimempa somo kuhusu watoto wa kike wa kizazi hiki hadi ameelewa somo. Nimempa na mifano kabisa. Mfano wa kwanza ni binti yangu mwenyewe (kazaliwa 2007) niligundua ana boyfriend wakati yupo form two. Bahati nzuri alikuwa mwanafunzi mwenzake. Na nilimsomesha shule za mamilioni.

Niliukubali ukweli nika move on. Sasa hivi hata akiniambia " baba nataka kwenda Kariakoo kununua urembo" Namwambia nenda lakini uwe umerudi kabla ya saa moja usiku. Na hapo ni saa 2 asubuhi. Najua haendi Kariakoo wala nini. Anaenda kupelekewa moto. Akirudi atafanya kazi za nyumbani siku hiyo kama House girl vile.. Huu ni uhalisia ambao hatuwezi kuukwepa.

Jamaa kakubali kumsamehe mtoto wake ila anamuhamisha anampeleka shule ya kata na leo mtoto anapelekwa hospitali kupimwa kama ana magonjwa makubwa ya kuambukizwa...


Narudia tena wazazi wenye vipato vya kati ambao mna watoto waliozaliwa miaka ya elfu2, msijitese kutumia mamilioni kuwasomesha watoto wenu ENGLISH mediums. Mtaishia kujuta hapo baadae. Mfumo huo wa maisha (kumsomesha mtoto shule ili aje awe mtu fulani sasa hivi sio valid tena)

Hiyo pesa bora wekeza kwenye assets. Msomeshe shule za kawaida. Msimamie. Mfundishe skills za maisha. Utakuja kunishukuru baadae.

Usijitese. Usiache kufurahia kwa sababu eti unatupa hela kwenye akaunti ya Mr. MGETTA in the name of Mgetta English Medium Nursery and Primary School.

Hujazaliwa ili uteseke. Usisahau kuishi. Kuna watu mpaka eti wanauza nyumba ili wawalipie watoto wao English Mediums. Duuh

Shule za English Mediums hazina umuhimu wowote kwenye maisha ya mtoto wako. Umuhimu umetengenezwa na Wamiliki wa shule hizo ili waweze kupata sababu ya kuchukua mamilioni kutoka kwako.

- Mtanzania acha kuji-stress kuwalipia watoto wako mamilioni kwenye shule za English Medium. Kilichomtokea Mr. Ibu kinaweza kukutokea hata wewe
Wewe ni liongo sana smart phone gani inakosa password??
 
Kipato cha chini anawezaje kusomesha shule ya gharama kubwa? Wewe ndie kichwani hazimo

Kinachoamua MTU asome shule ya gharama kubwa NI kipato

Unashaurije sasa MTU mwenye kipato kidogo asisomeshe shule ya gharama kubwa wakati kipato chake haziruhusu

NI paradox ushauri wako umekaa kibwege

MTU akisonesha shule ya gharama kubwa ujue kipato chake zinaruhusu sababu kule hawasoneshi bure

Huo ushauri NI hewa hakuna mwenye kipato kidogo awezaue somesha shule ya gharama kubwa
Wako watu wanaishi uswahilini tunawajua wanasomesha watoto wao kwenye hizo shule kama uamini nenda kwenye hizo shule utakuta tatizo la ulipaji ada kwa baadhi ya wanafunzi ..wazazi wao wanaungaunga kulipa
 
Tanzania hii hakuna shule yenye elimu bora. Labda kwa zile shule chache ambazo hazitumii mitaala ya Tanzania. Tofauti ya English Medium na na hizi za kawaida (Kayumba) ni matumizi ya lugha tu ila mitaala au kiwango cha ubora wa elimu kiko sawa.
Mzazi mwenyewe achague sehemu sahihi ya watoto wake kusoma.
Ushauri wangu kwa wazazi wenzangu, tusipoteze pesa nyingi kwenye shule zinazojinasibu ni bora maane kadiri mtoto anavyosogea mbele watakutana kwenye Form 5, Diploma na Bachelor. Katika hayo madaraja ndio utagundua hakuna tofauti kati ya Kayumba na hizo zingine.
Kwa hiyo, wazazi tutumie busara katika kuwasomesha watoto wetu. Tujikite katika kuwekeza zaidi ili hao watoto wakipata elimu zao wawe wasimamizi wa miradi tuliyowekeza. Sasa wewe poteza mahela kibao mwanao akimaliza elimu yake aanze kuhangaika kutembeza bahasha. Badala ya kutumia pesa nyingi kusomesha, wekeza ili huyo mtoto akihitimu anaingia kwenye ajira ambayo umeshaitengeneza.
 
Ni kweli sipotezi hela na toa ml 1 tu kwa ada ya mwaka kwa watoto sitaki apelekwe na basi ajue atarudije au kitamwambia mtu akamchukue au aingie dalala kuna njia ambayo nitamtafutia arudi home ila 2. 5 to 20 ml huo ni ukichaa na biashara za kufanya
 
Wewe ni liongo sana smart phone gani inakosa password??
Kila mwenye smart phone anakuwaga na password?

Mtoto wa miaka 14 anaweza kuweka password kwenye simu yake?

Unaishi kwa kukariri eeh? Unauliza kwa nini sijavaa mkanda wakati suruali hainibani.
 
Back
Top Bottom