Nawasilimu kwa jina la Yoav Gallant. Ayatollah sijui yupo shimo gani sasa hivi

Hawa wanataka wajikaze wapige Iran lakini wanajua kitakacho wapata itakuwa history. Je watasubutu leo au kesho kushambulia Iran ukiona hizi siku mbili wanaogopa kugusa Iran ujuwe ndio basi hawalipizi tena.

Mimi nimesikia fununu wameona wasipo lipa itakuwa aibu kwao. na wanajitahidi walipe lakini wanajua kipigo cha Iran kitakuwa sio cha kawaida safari hi

Haya sisi tunasubiri tuone ubabe wao.
Nitakukumbusha
 
Nakumbukia ile speech ya PM Netanyah pale UN, siku ile ile alipohutubia, Na siku hiyo hiyo Nasra, akauwawa

Isije kuwa speech hii ikawa ndiyo yaleyalee..!

Kesho mnaamka mnapata habari za kiongozi mkubwa wa Iran yuko kwa allah akila zake bikira
Itakua vizuri, maana hiyo nchi yenye miji miwili itachakaa kwa makombora
 
Sasa hivi siyo Allah na Mudi waoga kama nini. Wamewaingiza mkenge wamekula kona na kuzama chaka.

Sasa hivi ni mkombozi waislam na uislamu siyo mwengine bali ni kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn ali A.S kupitia yeye tumepewa Tawfiq/Tawfeek (the ability and opportunity to succeed) na tuna uhakika wa jannah na firdaus.

Azidi kufanyiwa wepes na aendelee kupewa qauli thabeet.

Mcheki hapo chini kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa waislam na uislamu Imaam Hussein Ibn Ali the grandson of the prophet, the son of Ali prophet's cousin, the son of Fatma the daughter of the prophet, the brother to Hassan and father of Imaam Ali A.S peace be upon him maamaee!
View attachment 3120249

Nyonzo bin mvule
Nyau de adriz
Huyu ndo mnyazi..nungu
 
Kwanini asishushe vyuma kama mwanaume Iran alivyofanya hadharani?
Mambo ya kuviziana ni uoga inatakiwa atangaze hadharani lini atashusha vyuma kutoka Israel hadi Iran?
If you don't like the way Israel responds, don't attack it.

Hamas walichofanya October 7 walitangaza au walivizia na kuua watu majumbani mwao?

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu.....
 
View attachment 3120223

Israeli retaliation against Iran will be ‘lethal, precise and surprising’: Minister​

Reuters
Published: 09 October ,2024: 09:40 PM GSTUpdated: 09 October ,2024: 09:43 PM GS
Israeli Defense Minister Yoav Gallant appeared on Wednesday to say that retaliation against Iran for its missile attack will be “lethal, precise and surprising,” in a video published on Israeli media on Wednesday.

After describing Iran’s Oct. 1 missile attack as a failure, Gallant said: “Whoever attacks us will be hurt and will pay a price. Our attack will be deadly, precise and above all surprising, they will not understand what happened and how it happened, they will see the results,” he said.

1000368798.jpg

One down, one to go!
 
Vita bila propaganda hainogi-Nikita Khrushkev wa enemy at the gate.
 
Hawa wanataka wajikaze wapige Iran lakini wanajua kitakacho wapata itakuwa history. Je watasubutu leo au kesho kushambulia Iran ukiona hizi siku mbili wanaogopa kugusa Iran ujuwe ndio basi hawalipizi tena.

Mimi nimesikia fununu wameona wasipo lipa itakuwa aibu kwao. na wanajitahidi walipe lakini wanajua kipigo cha Iran kitakuwa sio cha kawaida safari hi

Haya sisi tunasubiri tuone ubabe wao.
Uzuri wanawatu wao ndani ya mifumo Iran, ndio maana walimuua rais wao kwa ajali fake na kiongozi wa juu wa Hamas ndani ya Iran, bila kusahau Generali bingwa wa nyukilia Quaseem
 
View attachment 3120223

Israeli retaliation against Iran will be ‘lethal, precise and surprising’: Minister​

Reuters
Published: 09 October ,2024: 09:40 PM GSTUpdated: 09 October ,2024: 09:43 PM GS
Israeli Defense Minister Yoav Gallant appeared on Wednesday to say that retaliation against Iran for its missile attack will be “lethal, precise and surprising,” in a video published on Israeli media on Wednesday.

After describing Iran’s Oct. 1 missile attack as a failure, Gallant said: “Whoever attacks us will be hurt and will pay a price. Our attack will be deadly, precise and above all surprising, they will not understand what happened and how it happened, they will see the results,” he said.
Maneno ya kwenye khanga
 
Hawa wanataka wajikaze wapige Iran lakini wanajua kitakacho wapata itakuwa history. Je watasubutu leo au kesho kushambulia Iran ukiona hizi siku mbili wanaogopa kugusa Iran ujuwe ndio basi hawalipizi tena.

Mimi nimesikia fununu wameona wasipo lipa itakuwa aibu kwao. na wanajitahidi walipe lakini wanajua kipigo cha Iran kitakuwa sio cha kawaida safari hi

Haya sisi tunasubiri tuone ubabe wao.
Tunataka Lebanoni iwe mikononi mwetu Kisha ili Iran asiwwze kutumia mahandaki ya LEBANONI kujificha na kufanya uhalifu Israel
 
Hawa wanataka wajikaze wapige Iran lakini wanajua kitakacho wapata itakuwa history. Je watasubutu leo au kesho kushambulia Iran ukiona hizi siku mbili wanaogopa kugusa Iran ujuwe ndio basi hawalipizi tena.

Mimi nimesikia fununu wameona wasipo lipa itakuwa aibu kwao. na wanajitahidi walipe lakini wanajua kipigo cha Iran kitakuwa sio cha kawaida safari hi

Haya sisi tunasubiri tuone ubabe wao.
Nimekupata vema mwl kashasha. Tuwasikilize kina cha-cha maginga
 
😂😂 Wanataka kufanya ugaidi ndani ya Iran?

Kwanini asishushe vyuma kama mwanaume Iran alivyofanya hadharani?

Mambo ya kuviziana ni uoga inatakiwa atangaze hadharani lini atashusha vyuma kutoka Israel hadi Iran?

Mikwara mbuzi haisaidii zama hizi kinachotakiwa ni vitendo kama anavyofanya mbabe Iran.
We endelea kutulia ila ujue MSIBA mkubwa upo karibu sana
 
Ukiona hivyo, ujue mitego ya muisrael ya kulipa kisasi Iran ilishategwa miaka mingi sana, walikua wanasuburi Iran ajichanganye. Tusubiri, ni sual la uamuzi tu ila kitakachowakuta naamin hakuna kombora litarushwa kutoka Israel, moto utawawakia ndani kwa ndani
Kitakachofuata!
👇👇👇
GZdv1dSWcAAEA4k.jpeg
 
Mikwara mbuzi kumtishia ngedere,, mbona gaza ndani ya masaa 24 tu walijibu,, iweje kule iran mpaka leo wanambwela,, sungusungu tu wanamtoa kamasi kule gaza na Lebanon iwe jeshi kamili la iran,, kipindi cha nyuma Kuna watu walikuwa wanasema iran akithubu kurusha jiwe tu Israel basi ndo itakuwa mwisho wake, sasa mwanaume karusha makombora Dunia nzima imeona na hakuna ngedere yoyote alieleta fyoko.
Israel bila marekani ni sawa tu na uso wa babu genge la ukabaji kule kimara bonyokwa.
Kuna uhusiano wowote kati ya kuwa muislam na kukosa akili?
 
Back
Top Bottom