GE2025 Nawatafuta Rais Samia na Jakaya Kikwete niwashauri bure

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1764548935667.png

Hakuna ubishi. Desemba 9 inakaribia. Wote tunajua kitakachotokea ingawa wengine wanajiridhisha kuwa hakuna kitakachotokea.

Mie ni mwanafunzi siku zote. Wakati wengi wakiwazodoa Gen Z kuwa wasingekinukisha kikanuka Oktoba 29, mie nilisema watakinukisha kama walivyokinukisha Tanzania, kisiwa cha amani, kikanuka na kugeuka kisiwa cha fujo, mauji, na vurugu. Kwa kujua madhara ya kitakachotokea, nawatafuta watajwa hapo juu ni wape ushauri wa bure kuwa:

Mosi, batilisheni uchaguzi na matokeo yake

Pili, kubalini kupisha kuundwa kwa serikali ya mpito ilil tupite haya na kuendelea na safari ya kurejesha kisiwa cha amani.

Tatu, wajibikeni kwa mliyosababisha.

Nne, ombeni msamaha na kutubia huenda mkasamehewa japo kuadhibiwa ndiyo haki wengi wanaingojea.

Tano, achieni ngazi ili kuepuka ICC kuwaumbua.

Sita, kwanini wasaidizi wenu kama fwala mmoja aitwaye Mwiguu Nchembuz anasisitiza kuhusiana kuharibwa kwa mali bila kuhusisha masanduku ya kura au kujali utu wa waliopotea au kufa ambao mnajitahidi kuwazima wakati haiwezekani.

Saba, mjue na kukubali kuwa huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa usanii wa Chichiemu nanyi.

Nane, mjue, kadri mnavyozidi kuwazengua watanzia, wanaweza kuwatia kitanzini.

Tisa, mjue, hama pa kujificha tena.

Kumi, jitahidi muwezavyo, muepuke kurudia makosa.
 
Wakiendelea kutumia nguvu na kushupaza shingi basi vikundi vyenye silaha vitatokea na vitakuwa na nguvu isiyokuwa kawaida maana itapata uungwaji mkono wa wananchi wengi, wazalendo waliopo kwenye vyombo vya dola na hata mashirika ya kimataifa kifedha maana wataamini wanapambania haki ya raia wengi.
 
Huwa nacheka sana nikiliona linyumbu limekomaa kumzodoa mtu kuhusu uchawa Huku lenyewe likiwa tayari hata kushikishwa kinyesi Cha lissu au lema.
We ndo chawa na nyuumbu. Tumewashika pabaya nyie mnaoishi kwenye makalio ya mama yenu. Na bado utaumia sana. Na ukiona hivyo, jua imeingia vizuri .
 
Hakuna ubishi. Desemba 9 inakaribia. Wote tunajua kitakachotokea ingawa wengine wanajiridhisha kuwa hakuna kitakachotokea.

Mie ni mwanafunzi siku zote. Wakati wengi wakiwazodoa Gen Z kuwa wasingekinukisha kikanuka Oktoba 29, mie nilisema watakinukisha kama walivyokinukisha Tanzania, kisiwa cha amani, kikanuka na kugeuka kisiwa cha fujo, mauji, na vurugu. Kwa kujua madhara ya kitakachotokea, nawatafuta watajwa hapo juu ni wape ushauri wa bure kuwa:

Mosi, batilisheni uchaguzi na matokeo yake

Pili, kubalini kupisha kuundwa kwa serikali ya mpito ilil tupite haya na kuendelea na safari ya kurejesha kisiwa cha amani.

Tatu, wajibikeni kwa mliyosababisha.

Nne, ombeni msamaha na kutubia huenda mkasamehewa japo kuadhibiwa ndiyo haki wengi wanaingojea.

Tano, achieni ngazi ili kuepuka ICC kuwaumbua.

Sita, kwanini wasaidizi wenu kama fwala mmoja aitwaye Mwiguu Nchembuz anasisitiza kuhusiana kuharibwa kwa mali bila kuhusisha masanduku ya kura au kujali utu wa waliopotea au kufa ambao mnajitahidi kuwazima wakati haiwezekani.

Saba, mjue na kukubali kuwa huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa usanii wa Chichiemu nanyi.

Nane, mjue, kadri mnavyozidi kuwazengua watanzia, wanaweza kuwatia kitanzini.

Tisa, mjue, hama pa kujificha tena.

Kumi, jitahidi muwezavyo, muepuke kurudia makosa.
Screenshot_20251201-133439~2.png
 
We ndo chawa na nyuumbu. Tumewashika pabaya nyie mnaoishi kwenye makalio ya mama yenu. Na bado utaumia sana. Na ukiona hivyo, jua imeingia vizuri .
Mpumbavu kweli wewe, mtamuhangaisha nani zaidi ya wenyewe tu nyie haters?!!! Jaribio lenu, kwa msaada wa TEC, la kumtoa tarehe 29.10 lilishindwa vibaya naona Sasa mnajitahidi kutaka kujaribu tena.........karibuni.
 
Huwa sibishani na mataahira na machawa nyumbuu mkubwa
 
Mpumbavu kweli wewe, mtamuhangaisha nani zaidi ya wenyewe tu nyie haters?!!! Jaribio lenu, kwa msaada wa TEC, la kumtoa tarehe 29.10 lilishindwa vibaya naona Sasa mnajitahidi kutaka kujaribu tena.........karibuni.
TEC anahusika vipi? au ndio mambo ya udini, sasa mnataka kuigeuza hii issue iwe ya udini, watu wa hovyo sana mmejaza ujinga tuu, acha wenye akili wapiganie nchi yao bila kujali dini
 
Back
Top Bottom