The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Hasa akiwa chawa na zwazwa kama wewe mnyonya makalio ya awafugayeHakuna mwenye mamlaka amaweza kubali huo upuuzi
Sawa mama la mama naona umepagawa endelea kusubiri meli airportHasa akiwa chawa na zwazwa kama wewe mnyonya makalio ya awafugaye
Huwa nacheka sana nikiliona linyumbu limekomaa kumzodoa mtu kuhusu uchawa Huku lenyewe likiwa tayari hata kushikishwa kinyesi Cha lissu au lema.Hasa akiwa chawa na zwazwa kama wewe mnyonya makalio ya awafugaye
We ndo chawa na nyuumbu. Tumewashika pabaya nyie mnaoishi kwenye makalio ya mama yenu. Na bado utaumia sana. Na ukiona hivyo, jua imeingia vizuri .Huwa nacheka sana nikiliona linyumbu limekomaa kumzodoa mtu kuhusu uchawa Huku lenyewe likiwa tayari hata kushikishwa kinyesi Cha lissu au lema.
Hakuna ubishi. Desemba 9 inakaribia. Wote tunajua kitakachotokea ingawa wengine wanajiridhisha kuwa hakuna kitakachotokea.
Mie ni mwanafunzi siku zote. Wakati wengi wakiwazodoa Gen Z kuwa wasingekinukisha kikanuka Oktoba 29, mie nilisema watakinukisha kama walivyokinukisha Tanzania, kisiwa cha amani, kikanuka na kugeuka kisiwa cha fujo, mauji, na vurugu. Kwa kujua madhara ya kitakachotokea, nawatafuta watajwa hapo juu ni wape ushauri wa bure kuwa:
Mosi, batilisheni uchaguzi na matokeo yake
Pili, kubalini kupisha kuundwa kwa serikali ya mpito ilil tupite haya na kuendelea na safari ya kurejesha kisiwa cha amani.
Tatu, wajibikeni kwa mliyosababisha.
Nne, ombeni msamaha na kutubia huenda mkasamehewa japo kuadhibiwa ndiyo haki wengi wanaingojea.
Tano, achieni ngazi ili kuepuka ICC kuwaumbua.
Sita, kwanini wasaidizi wenu kama fwala mmoja aitwaye Mwiguu Nchembuz anasisitiza kuhusiana kuharibwa kwa mali bila kuhusisha masanduku ya kura au kujali utu wa waliopotea au kufa ambao mnajitahidi kuwazima wakati haiwezekani.
Saba, mjue na kukubali kuwa huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa usanii wa Chichiemu nanyi.
Nane, mjue, kadri mnavyozidi kuwazengua watanzia, wanaweza kuwatia kitanzini.
Tisa, mjue, hama pa kujificha tena.
Kumi, jitahidi muwezavyo, muepuke kurudia makosa.
Sawa *****Sawa mama la mama naona umepagawa endelea kusubiri meli airport
kiburi kina tabia moja kubwa,kadri kinavyopaa ndivyo kinatengeneza anguko lakoHakuna mwenye mamlaka amaweza kubali huo upuuzi
Mpumbavu kweli wewe, mtamuhangaisha nani zaidi ya wenyewe tu nyie haters?!!! Jaribio lenu, kwa msaada wa TEC, la kumtoa tarehe 29.10 lilishindwa vibaya naona Sasa mnajitahidi kutaka kujaribu tena.........karibuni.We ndo chawa na nyuumbu. Tumewashika pabaya nyie mnaoishi kwenye makalio ya mama yenu. Na bado utaumia sana. Na ukiona hivyo, jua imeingia vizuri .
We boya unafikiri watu wote humu ni nyumbu kama nyie ee?!!! Traore is far too smart kuweza kuongea kipuuzi kama hivyo.
We boya unafikiri watu wote humu ni nyumbu kama nyie ee?!!! Traore is far too smart kuweza kuongea kipuuzi kama hivyo.
Huwa sibishani na mataahira na machawa nyumbuu mkubwaMpumbavu kweli wewe, mtamuhangaisha nani zaidi ya wenyewe tu nyie haters?!!! Jaribio lenu, kwa msaada wa TEC, la kumtoa tarehe 29.10 lilishindwa vibaya naona Sasa mnajitahidi kutaka kujaribu tena.........karibuni.
TEC anahusika vipi? au ndio mambo ya udini, sasa mnataka kuigeuza hii issue iwe ya udini, watu wa hovyo sana mmejaza ujinga tuu, acha wenye akili wapiganie nchi yao bila kujali diniMpumbavu kweli wewe, mtamuhangaisha nani zaidi ya wenyewe tu nyie haters?!!! Jaribio lenu, kwa msaada wa TEC, la kumtoa tarehe 29.10 lilishindwa vibaya naona Sasa mnajitahidi kutaka kujaribu tena.........karibuni.