Nawatafuta watu hawa kwa udi na uvumba. Zawadi nono itatolewa msimu huu wa sikukuu

Nawatafuta watu hawa kwa udi na uvumba. Zawadi nono itatolewa msimu huu wa sikukuu

Ngoja waje watoto wa down town kitambo.

Wale wazee wa Tambaza aka shemeji zake na Mzee wetu Mwinyi..
Watoto wa Aza Boy..

RIP Puza boy..
Nimemkumbuka "Nganga" alifariki kabla ya paper form 4-'97
 
Atakaye nionea Lucy Lymo aseme[emoji16].
Inbox ipo wazi. Nimepoteana naye buseko Hill sec 2009
Mkuu huyu lucy lymo hembu dadavua kidogo, asijekua yule school mate wangu na rafiki sana enzi zile tuliyepotezana stend aliponisindikiza, siku nahamishwa shule kwa lazima ndio ikaishia pale...
Maji ya kunde mrefu....Hizo sifa nyingne nakuachia ww kama unamjua..
Tusije kua tunamtafua mtu mmoja humuu...
Yule mtoto wa kichaga yuleee....
O-level alisoma wapi?

Kuna hawa wawili walisoma kifungiro girls
linda poul(huyu alikua head girl that days) na lilian elykana tulipotezana safarini

kuna Huyu mwamba Pasco Enock nilimtafuta bila mafanikio, Mazengo enzi zile mzee wa kupindua ma tranka, ukificha chakula tuu ukija tumelichekecha na kulipindua.

Na wana woote, popote walipo Thumb up, Mungu awalinde, tukutane tusikutane, cha msingi ni kumbukumbu,
Na ukiwakumbuka na ukakumbuka na those moments we shared unapata furaha flani hivi...., mda mwingne hio tuu inatosha na maisha yanaendelea,
Hatuwezi kurudi nyuma kubadilisha mwanzo uwe mwisho, na hii ndio maana tupaswa kuitendea haki leo yako.
 
Mkuu huyu lucy lymo hembu dadavua kidogo, asijekua yule school mate wangu na rafiki sana enzi zile tuliyepotezana stend, ndio ikaishia pale...
Maji ya kunde mrefu....Hizo sifa nyingne nakuachia ww kama unamjua..
Tusije kua tunamtafua mtu mmoja humuu...
Yule mtoto wa kichaga yuleee....
O-level alisoma wapi?

Kuna hawa wawili walisoma kifungiro girls
linda poul(huyu alikua head girl that days) na lilian elykana, mwenye taarifa zao
Huu ujasiri wa kuandika majina ya watu hapa mnautoa wapi wakati yenu mmehide.!?
 
Muna abdillah nilisoma nae madrasa ksl binti Wa kisomali sijui sasa yuko wapi namkumbuka sana alikuwa ananiletea sambusa na kastam pale Madrasa kwa ustadh RAMA kasulu kigoma alikuwa rafiki yangu sana miaka ya 2000,alipenda kukaa karibu yangu tukipiga stori sana tukiwa madrasani.
 
Muna abdillah nilisoma nae madrasa ksl binti Wa kisomali sijui sasa yuko wapi namkumbuka sana alikuwa ananiletea sambusa na kastam pale Madrasa kwa ustadh RAMA kasulu kigoma alikuwa rafiki yangu sana miaka ya 2000,alipenda kukaa karibu yangu tukipiga stori sana tukiwa madrasani.

Hao wanaolewaga mapema sana atakua amejukuu
 
Unaposema sangu nakumbuka mbali kidg aise
Me ni product ya bukuku..... anapenda kesema wapendwa muwe mnawai shule au mpendwa usiluke ukuta ..
Nilikuwa nachele shule kalibu siku zote na mkuta getini ananichapa viboko 2 naingia darasani
Nimechapwa na bukuku hadi nipo form 6 ila maisha haya yanabadilika



Hahahahaa! Mm nilikua panctual sana kuhusu shule ..kitu kimoja nilifeli! Nilikuw mwizi mno wa kuiba misosi!yaan chefcoooker akipika nyama au maandazi napanda dirishani..kadirisha kako juu..mie naambaa na ukute .!yaan boys siku hyo wakitaka salad(kachumbari), nyama, wali mwingi wananitafta!orchard nilikua natamaa hata nusu saa jaman kisa kuiba nyanya mtengeneze kachumbari mlie wali😉😉!dah..sijui nlikua nawachengaje..yaan naiba jitu liko hapo hapo!dah!
 
M nawatafuta wafuatao

✓Masinga mtimbange
✓Elias mwakibinga
✓Lidya chonde
✓Patrick mkama

Hawa nlisoma nao pale kawawa primary school,..kigogo luhanga daresalam.
 
Mimi kuna harmed jana kanikimbia maenei ya check point pugu kigogo. Sijui anaitwa enjo. Namtafuta kweli labda ahame hii Dar.
Mkuu kahamia hapa buza maeneo ya batoto night club usijar ntakulipia mm
 
Sodoku,
kuna baadhi waliletwa ifakara sekondari nikiwa o,level wale jamaa walikuwa watukutu sana kuna mmoja alikuwa anajiita niga walikuwa wanatukimbiza puta sana
 
kaka nimesoma pale 1999-2002 daa nakumbuka mbali ulikuwa bweni gani casto la watoto wa dsm na moro
 
Back
Top Bottom