Nawatafuta watu hawa kwa udi na uvumba. Zawadi nono itatolewa msimu huu wa sikukuu

Nawatafuta watu hawa kwa udi na uvumba. Zawadi nono itatolewa msimu huu wa sikukuu

na ukiona umepotezana na mtu-tambua fika kati yenu moja hana umuhimu kwa mwingine.
 
Duuh mkuu umenikumbusha mbali sana hasa kwa huo mgomo wa bukuku coz alihamishwa kutoka shuleni kwetu.

Tuliandama hadi kwa mkuu wa mkoa nadhani alikuwa mateo qares tukitaka arudishwe haraka alikuwa amefanya makubwa sana hapo shuleni kwetu kwa miaka michache aliyokuwa headmaster.

Tulidakwa na polisi na kurudishwa kwa virungu na mabomu. Kuna bukuku wachache sana, mungu ambariki sana huyu mzee kokote aliko.
 
dah kila la kheri bana.

tatizo wakati mwingine maisha hayako fare kabisa,unawezakuta hali walizonazo kwa sasa hata uwezo wa kumiliki simu ya torch ni mtihani.maana kama ingekuwa tofauti ungewakuta angarau facebook.
Pia anaweza kuwapata ila wakawa hawanampango naye tena...yaani wako busy na maisha yao kiasi kwamba huo urafiki wao wa zamani si mali kitu tena!

Anyway tunamtakia kila la heri katika kuwasaka hao rafiki zake wa zamani.
 
Mi namtafuta Jacqueline Richard , back in 1990s ilikuwa nikimuota na nikiwahadithia jamaa zangu, halafu asikie ilikuwa tabu sana. Last time meeting her was early 2000s alikuwa journalist by then, nilikuwa namwelewa sana na kitabu chetu cha Hisabati za Kikwetu. Nakumbuka siku moja tukiwa "last year" aliniazima daftari la Sayansi Kilimo kesho yake akaja kalijaradia na kaandika majina yangu mimi Pangu Pakavu , hata sasa ninalo hilo daftari.
 
Huyu siku mkionana itakuwa siku ya furaha sana kwenu. Mlikuwa marafiki wapenzi hasa.
Mi namtafuta Jacqueline Richard , back in 1990s ilikuwa nikimuota na nikiwahadithia jamaa zangu, halafu asikie ilikuwa tabu sana. Last time meeting her was early 2000s alikuwa journalist by then, nilikuwa namwelewa sana na kitabu chetu cha Hisabati za Kikwetu. Nakumbuka siku moja tukiwa "last year" aliniazima daftari la Sayansi Kilimo kesho yake akaja kalijaradia na kaandika majina yangu mimi Pangu Pakavu , hata sasa ninalo hilo daftari.
 
Pia anaweza kuwapata ila wakawa hawanampango naye tena...yaani wako busy na maisha yao kiasi kwamba huo urafiki wao wa zamani si mali kitu tena!

Anyway tunamtakia kila la heri katika kuwasaka hao rafiki zake wa zamani.
Hii ni kweli.

Kiukweli baada ya miaka mingi kupita mnakuwa tofauti sana. Maisha ya kila mmoja unakuta yamebadilika sana.

Wkt mwngine mnakutana hamna tena kinachowaunganisha.
 
Tambaza boy waliiharibu Minaki sana kwani baada ya kuchoma moto shule yao qengi walipelekwa pale, wale watoto walikuwa hawafai kabisa
Ebana tuombe radhi hatukuwahi choma shule yetu vurugu zote zilizokuwa zinafanyika zilikuwa nje ya Tambaza
 
Tatizo hao mnaowatafuta ni wake/ waume za watu kwa sasa
 
Back
Top Bottom