Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
- Thread starter
- #41
Ila tambaza walikuwa wanawaonea watu wa dar. Wangekutana na njema za Mbeya,Rukwa,Iringa,Knjaro miaka hiyo shukenza boarding.ndo watu walikuwa wamepinda kweli kweli.
Tambaza boy waliiharibu Minaki sana kwani baada ya kuchoma moto shule yao qengi walipelekwa pale, wale watoto walikuwa hawafai kabisa