Nawatafuta watu hawa kwa udi na uvumba. Zawadi nono itatolewa msimu huu wa sikukuu

Nawatafuta watu hawa kwa udi na uvumba. Zawadi nono itatolewa msimu huu wa sikukuu

Manow ya misheni kama sikosei. Na mbalizi pia.

Hizo cha mtoto shule zilikuwa

NDEMBELA
LUTENGANO

Nlisoma miezi 6 lutengano wakanifukuza.

Duh!hahha...jaman enzi zile Mbeya shule zilikua ni hatari tupu..shule zilizokuwa bora kwa ustaarabu ni Manow..Mbalizi kidg...!sasa uje Meta, Mbeya day🤣, sangu, uwiii!
 
Manow ya misheni kama sikosei. Na mbalizi pia.

Hizo cha mtoto shule zilikuwa

NDEMBELA
LUTENGANO

Nlisoma miezi 6 lutengano wakanifukuza.

Enzi zile ukifukuzw shule yaan hahha..sijui siku hiz vitoto vikoje hakuna ht amsha amsha!
 
Ngoja waje watoto wa down town kitambo.

Wale wazee wa Tambaza aka shemeji zake na Mzee wetu Mwinyi..
Watoto wa Aza Boy..

RIP Puza boy..
 
Sasa mimi walifikia hatua walimu wakasema huyu bwana tumemshindwa akasome huko huko alikotoka. Sielewi nlikuaje miaka ile. Sielewi mpaka leo. Kweli ile shule wakisikia mwanaume anasoma sangu wanamwona kama mchumba tu.ni bora ndembela lakini si sangu. Au bora Iyunga Tech

Ndembela alisoma my sis😅😅!lutengano walikua wana vurugu jaman..wakijua mnasoma shule ya madon mtakoma🤣🤣!Mbeya tumesoma kwa hofu mno jaman!
 
Tambaza boy waliiharibu Minaki sana kwani baada ya kuchoma moto shule yao qengi walipelekwa pale, wale watoto walikuwa hawafai kabisa
Ngoja waje watoto wa down town kitambo.

Wale wazee wa Tambaza aka shemeji zake na Mzee wetu Mwinyi..
Watoto wa Aza Boy..

RIP Puza boy..
 
Tambaza boy waliiharibu Minaki sana kwani baada ya kuchoma moto shule yao qengi walipelekwa pale, wale watoto walikuwa hawafai kabisa

Tambaza ilikuwa hatari sana, nakumbuka Mzee wetu Ijumaa anapita pale tunaimba zetu shemeji, shemeji, shemeji...hahahaha mzee akatuzoea lazima aje kutupa hi...
 
Back
Top Bottom