Nawatakia asubuhi njema watu wafuatao

Nawasalimu.

Wale jamaa masnich waliokuwa wanaishi kama mashushushu.Sisi tukipiga story zetu kuhusu walimu wao wanaenda kuwapa walimu taarifa.Nawauliza je walifanikiwa kupata kazi TISS?

Kuna Wale mafundi wa kuchora waliokuwa wanapamba michoro yao na rangi mbalimbali.Nawasalimu huku nikiwauliza je wanaendeleaje na kazi hapo Sadolin?
 
>Waliokuwa wanashika namba moja kila mtihani[emoji14]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nipo hapa mkuu najimwambafia mwambafi...mwakilishi wa kijiji uboizini..

Hii nafasi niliitendea haki kwa miaka 5 mfululizo nikiwa primary.

Ingekuwa ni utajiri ningekuwa mbali dadeki...
 
Salamu zikufikie hapo BOT[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] salamu ziwafikie popote walipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…