Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
>Waliokuwa wanashika namba moja kila mtihani[emoji14]
Salamu zikufikie hapo BOT[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo hapa mkuu najimwambafia mwambafi...mwakilishi wa kijiji uboizini..
Hii nafasi niliitendea haki kwa miaka 5 mfululizo nikiwa primary.
Ingekuwa ni utajiri ningekuwa mbali dadeki...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] salamu ziwafikie popote walipoNawasalimu.
Wale jamaa masnich waliokuwa wanaishi kama mashushushu.Sisi tukipiga story zetu kuhusu walimu wao wanaenda kuwapa walimu taarifa.Nawauliza je walifanikiwa kupata kazi TISS?
Kuna Wale mafundi wa kuchora waliokuwa wanapamba michoro yao na rangi mbalimbali.Nawasalimu huku nikiwauliza je wanaendeleaje na kazi hapo Sadolin?
Pia najitakia asubuhi njema mimi mchuuzi wa numbu na songwe kutoka kinyangongwa Madibila Iringa![emoji23][emoji23][emoji23] zimefika
[emoji23][emoji23][emoji23] bila kuwasahau Wale mahandsome waliokuwa wanapendwa na mademu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] salamu ziwafikie popote walipo
Salamu nyingine zikufikie wewe Alvin A. kwa kuwa na avatar ya vijamaa nilivyovipenda sama wakati nikiwa mvulanaZikufikie mkuu na uzidi kulima mpunga huko Madibila
Ww unataka mada ibadilikeMshukuru Mungu manake ndiye aliyemfanya jamaa akukumbushe mbali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Salamu zikufikie hapo BOT[emoji1787][emoji1787]
Kama unawakumbuka mpaka leo, hivi papuchi yako waliiacha salama kweli?