Nawatakia asubuhi njema watu wafuatao

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] hadi kutembea na maticha

[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
[emoji87][emoji87][emoji87]
Karibu vyote vyanihusu jamani
 
Salam zimfikie yule jamaa ambae alikua akinyolewa na mkasi anaokota zile nywele anazibandika sehem nyeti ili aonekane mkubwa ang'oe warembo wa madarasa ya juu.
 
Salam zimfikie yule jamaa ambae alikua akinyolewa na mkasi anaokota zile nywele anazibandika sehem nyeti ili aonekane mkubwa ang'oe warembo wa madarasa ya juu.
Jamaa jembe kinoma nazani saivi atakuwa mswati,[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] helikopta sio hedikopta
Kijijini kwetu tuliambiwa na mwenyekiti tuite "hedikopta"!Tukileta ubishi atatupeleka kwa mtendaji wa kijiji ili tupate cha mtemakuni kwa kutotii mamlakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kijijini kwetu tuliambiwa na mwenyekiti tuite "hedikopta"!Tukileta ubishi atatupeleka kwa mtendaji wa kijiji ili tupate cha mtemakuni kwa kutotii mamlaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…