Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tunapita nje na "hedikopta".Hebu toa mkono njee kama unacheza Yope ya InnosB tukuone uokolewe!😂😂😂😂Hizi salamu nazituma nikiwa chumba cha jirani. Changu kimekua swimming pool
Jamaa jembe kinoma nazani saivi atakuwa mswati,[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]Salam zimfikie yule jamaa ambae alikua akinyolewa na mkasi anaokota zile nywele anazibandika sehem nyeti ili aonekane mkubwa ang'oe warembo wa madarasa ya juu.
Kijijini kwetu tuliambiwa na mwenyekiti tuite "hedikopta"!Tukileta ubishi atatupeleka kwa mtendaji wa kijiji ili tupate cha mtemakuni kwa kutotii mamlaka😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] helikopta sio hedikopta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kijijini kwetu tuliambiwa na mwenyekiti tuite "hedikopta"!Tukileta ubishi atatupeleka kwa mtendaji wa kijiji ili tupate cha mtemakuni kwa kutotii mamlaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]