Nawatakia asubuhi njema watu wafuatao

Nawatakia asubuhi njema watu wafuatao

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,633
Naam kumekucha ni siku mpya tena [emoji23][emoji23]

>wasichana waliokuwa wakifagia ofisi za waalimu

>Wale wote waliokuwa maskauti

>Wale wavulana waliokuwa hawataki kukaa na wasichana dawati moja

>Waliokuwa viongozi wa TYCS, UKWATA, HUIMA n.k

>Waliokuwa wanapika kwenye nyumba za walimu

>Waliokuwa wagonga kengele (Time keeper)

>Waliokuwa wanawahi namba shule kila siku

>Waliokuwa wanaweka mashati yao blue

>Walionyoosha mashati mzingo mstastili kwa nyuma[emoji1787][emoji1787]

>Waliokuwa wapandisha Bendera

>Waliokuwa wapiga bendi za shule

>Waliokuwa kaka mkuu na Dada mkuu[emoji12]

>Waliokuwa wanashika namba moja kila mtihani[emoji14]

>Waliokuwa Monitor na monitress

>Wale wasichana Waliokuwa maarufu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na walimu

>Waliokuwa na kiherehere, wa kwanza kwenda kusema ofisini wanafunzi wenzao[emoji35]

>Bila kumsahau yule dada nlikaa nyuma yake kwenye mstari akafunga breki ghafla akasema nimembashia[emoji1][emoji1], nikala fimbo kama za RC Mbeya

> Wale walipinga Bong'oa mnasubiriana wakati wa kukaa hasa shule hazina madawati [emoji851][emoji851]

>Wale walipinga "mputo" [emoji1787][emoji1787] ole wako usahau ukashika kitu.

>Wale ma back benchers, wazee wa kupiga kelele

>Wale tulicheza "Mpuno" [emoji384][emoji383] wakanipiga hela ya shule

>Wale tulipinga "hakiombeki"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Nawasalimu sana!!
IMG-20191007-WA0029.jpeg
FB_IMG_1570331996409.jpeg



Tuma salamu zako kwa wale ulisoma nao Primary
 
Wale walioniambia siyo type yao! Hasa wale watoto wa matajiri.

Kwasasa wameshakuwa na watoto kama wanne wanne! Sijui utajiri wa baba zao ulikwenda wapi?
Dah! Haya maisha ni mzunguko aisee!
unawasalimu siyo😀😀😀
 
Salamu zangu ziwaendee wale wote walioota nywele sehemu isiyojulikana mapema wakiwa shule ya msingi!
 
Back
Top Bottom